Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,515
- 42,646
mkuu huyo dogo anaonekana hajui lolote na analeta umaarufu usio na tijakabila aliwekwa na kina kagame
mkuu huyo dogo anaonekana hajui lolote na analeta umaarufu usio na tijakabila aliwekwa na kina kagame
pouwa kazi kwako mkuu usijisikie uvivu kusomawoooo, ubarikiwe
kama hutojali tafuta muda ujisomee kitabu hiki ili usipoteze mda kupigana na ukweli ambao ni kama ukuta ukipigana nao utaumiaokello hakuwa mzanzibar wewe.yule alikuwa gaidi.hawezi kuingia kwenye historia ya zanzibar.mapinduzi yaliongozwa na karume. Mbona wewe unatudanganya ni mtoto wa nyerere
okello hakuwa mzanzibar wewe.yule alikuwa gaidi.hawezi kuingia kwenye historia ya zanzibar.mapinduzi yaliongozwa na karume. mbona wewe unatudanganya ni mtoto wa nyerere
Nashangazwa na kiwango cha uandishi wa habari hii hususan mpangilio na mtiririko wa habari. Ni vgumu kuamini kuwa habari hii imetoka katika Kurugenzi ya Mawasiliano ya Raisi. Aliyeandika habari hii hakwenda shule kusomea fani anayoifanya?THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com press@ikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425
PRESIDENTS OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.
​haiyumkiniki ndio nyie mliopata division 5...teehteehhivi harakati za kumng'oa mabutu zilianza lini?kabila aliingia lini madarakani?acha uongo kabila hajawahi kusaidiwa na che guevara hata siku moja wewe.harakati za kumtoa kabila zilianza wakati che guevara ameshakufa siku nyingi
​haiyumkiniki ndio nyie mliopata division 5...teehteeh
laurent kabila aliwekwa madakani kwa msaada wa akina kagame.che guevara huusiki hapa mkuu
Sio kosa lako ni shule yako ndogo..peruzi tena vitabu ndo utajua che guevara alishatia timu hadi hapo bongo..bongo ilkua ndo maskani ya wanamapinduzi Afrika...ndo maana L.Kabila alikua anaishi hapo..na kwa kifupi basi Che Guevara alishashiriki vita vya Congo akimsaidia huyo huyo kabila...hio unayoongea ya kina kagame ni juzi juzi ndo maana nakwambia rudi darasani ili uiondoe hio div.5.....haahahaa.
Duuh sio mtoto wa nyerere ni tapeli wa jina
Akili ingekuwa ndo kiungo cha uzazi, wewe ungekuwa huzailaurent kabila aliwekwa madakani kwa msaada wa akina kagame.che guevara huusiki hapa mkuu
Kuongoza mapinduzi sio lazima kuwa Karume alikuwepo mwenyewe mstari wa mbele, inawezekana yeye kama kiongozi alikuwa naatoa amri kwa wapiganaji wake toka mbali. Huenda huyo Okello alikodishwa kutokana na utaalamu wake katika vita.
Akili ingekuwa mdo kiungo cha uzazi, wewe ungekuwa huzai
laurent kabila aliwekwa madakani kwa msaada wa akina kagame.che guevara huusiki hapa mkuu
hivi harakati za kumng'oa mabutu zilianza lini?kabila aliingia lini madarakani?acha uongo kabila hajawahi kusaidiwa na che guevara hata siku moja wewe.harakati za kumtoa kabila zilianza wakati che guevara ameshakufa siku nyingi
Nikusaidie ndugu yangu,
Kwenye mapinduzi ya ukombozi wa muafrika kwanza ilikuwa ni uafrika, pili dhamira,
Utaifa yaikuwa ishu yamsingi,
Che Guevara ndie baba wa Taifa la Cuba, lakini yeye alikuwa ni Muajentina,
Vilevile alishitiki harakati za ukombozi wa DRC dhidi ya dikteta Mobutu,
Alishiriki akiwa sambamba na R. Kabila, na moja ya karipio lake kwa tabia mbaya ya Kabila ilikuwa ni,
"...Ni vigumu kutegemea vijana waliogubikwa na mawazo ya ngono na wasio na elimu endelevu kuleta mapinduzi katika nchi maskini! Mapinduzi hayaletwi na watu wanaoabudu `Ngono' na `Pombe!" ~ CHE GUEVARA (Maneno haya alimwambia kijana shupavu wa kivita, pale Congo DRC LAULENT KABILA 1964)
Kwa anayejua historia hii ya mapinduzi hasa habari za John Okello anijuze tafadhari