apakak
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 896
- 662
mtaalamu wa shabaha Daudi Mzena (TISS) au wengine katika idara walipenda kumuita the snake
Huyu jamaa ana undugu na Emilio Mzena director wa kwanza wa TISS au unaongelea mtu yule yule ila umekosea jina?
mtaalamu wa shabaha Daudi Mzena (TISS) au wengine katika idara walipenda kumuita the snake
hakuna ubishi wowote hapa mkuu.najaribu kuweka mambo sawa.hebu nikuulize laurent kabila alianza uasi lini?enterehamwe wale warwanda alishirikiana nao lini? aliishi tanzania lini?alirudi zaire lini? hata kama alikutana na che guevara lakin hakumsaidia kwenye kumng'oa mobutu
kuwa dar sio tatizo.okello aliiteka zanzibar.tofautisha utekaji na mapinduzi.karume alifanya mapinduzi wakati okello alifanya utekaji.hapo ndio kuna tofauti
Wewe nawe...! hivi umejua kwa nini katika Afrika mashariki ni Rais Yoweri Museven ndiye amealikwa na kupewa fursa ya kuhutubia kwenye maadhimisho ya miaka hamsini ya mapinduzi ya Zanzibar? Wazanzibar wanatambua umuhimu wa Okello ndiyo maana wamemkaribisha...na yeye (Yoweri) akawashukuru kwa kutambua mchango wa Okello kwa kusema kinyume nyume kwa ati anawashukuru wazanzibari kwa kuisaidia Uganda kupambana na utawala dhalimu.okello hakuwa mzanzibar wewe.yule alikuwa gaidi.hawezi kuingia kwenye historia ya zanzibar.mapinduzi yaliongozwa na karume. mbona wewe unatudanganya ni mtoto wa nyerere
Acha u m.a.ku wewe. Namsikiliza balozi ali karume sasa hivi saa 6:41 usiku tbc anaelezea kuhusumapinduzi ya zanzibar .okello hakuwa mzanzibar wewe.yule alikuwa gaidi.hawezi kuingia kwenye historia ya zanzibar.mapinduzi yaliongozwa na karume. mbona wewe unatudanganya ni mtoto wa nyerere
Acha u m.a.ku wewe. Namsikiliza balozi ali karume sasa hivi saa 6:41 usiku tbc anaelezea kuhusumapinduzi ya zanzibar .
Ameeleza kwamba aliyeongoza mapinduzi ya zanzibar ni john okelo.
Acha umburura wako. Historia haiwezi kufichwa kirahisirahisi hivyo. MAKU wewe. Na unaudhi kwa kutaka kutupotosha
ni kwasababu ndio siku okello aliotangazia wazanzibar mapinduzi feki.wazanzibar kwa kutokujua kinachoendelea nyuma ya pazia wakaiamini.ikawa ngumu kuibadilisha.unajua zamani mambo mengi yalikuwa yanafanywa kwa kuficho sana
mkuu karume ni mzanzibar achana na story za vijiweni.huwezi kumfananisha karume na okello.okello alikuwa mganda.ukombozi wa zanzibar ulifanywa na karume .karume ndio baba wa zanzibar.alikuwa mzalendo wa kweli ndio maananyerere alikubali kushirikiana nae.we jiulize kwa nini nyerere hakumkubali okello.okello alikuwa kibaraka wa wazungu
Hivi Maku iliwakosea nini?mbona maku imekuleta Duniani maku inaleta familia maku inawajengea watu nyumba inasababisha watu wamiliki magari pasipo kutarajia Maku kwa kuheshimika imekatazwa isibakwe wala kukeketwa Sasa Mbona wewe unafananisha maoni ya mtu na kiungo cha mama yako Mzazi kiungo cha shangazi yako dada yako nk jaribuni Kuwa na mbinu digital za matusi staili hii imepitwa na wakatiAcha u m.a.ku wewe. Namsikiliza balozi ali karume sasa hivi saa 6:41 usiku tbc anaelezea kuhusumapinduzi ya zanzibar .
Ameeleza kwamba aliyeongoza mapinduzi ya zanzibar ni john okelo.
Acha umburura wako. Historia haiwezi kufichwa kirahisirahisi hivyo. MAKU wewe. Na unaudhi kwa kutaka kutupotosha
mkuu tuache matusi okello aliiteka zanzibar.kiongozi wa mapinduzi alikuwa karume.hebu jiulize kwa nini nyerere hakumpenda okello?kwa nn okello alifukuzwa zanzibar? wazanzibar hawakumtaka okello kutokana na ukatili wake
ha ha ha ha mkuu umeniacha hoi duuhhivi maku iliwakosea nini?mbona maku imekuleta duniani maku inaleta familia maku inawajengea watu nyumba inasababisha watu wamiliki magari pasipo kutarajia maku kwa kuheshimika imekatazwa isibakwe wala kukeketwa sasa mbona wewe unafananisha maoni ya mtu na kiungo cha mama yako mzazi kiungo cha shangazi yako dada yako nk jaribuni kuwa na mbinu digital za matusi staili hii imepitwa na wakati
halafu unaonekana unaleta ubishi wa vitu usivyovijua mkuu vitu vingine si vya kuleta ushabiki....mambo haya yanahitaji usomi na ujuzi ni bora unyamaze kuficha umamuma wako utapata aibu bure na kwa ushauri zaidi nakushauri usome kitabu cha ghassany "kwaheri ukoloni...kwaheri uhuru"mkuu tuache matusi okello aliiteka zanzibar.kiongozi wa mapinduzi alikuwa karume.hebu jiulize kwa nini nyerere hakumpenda okello?kwa nn okello alifukuzwa zanzibar? Wazanzibar hawakumtaka okello kutokana na ukatili wake
mkuu kama utapata muda unaweza ukasoma kitabu cha kwaheri ukoloni kwaheri uhuru cha harisi ghasanykwa asilimia fulani nakubaliana na makene, huwa najiuliza kwa nini okello hatajwi ila kwenye picha anatolewa tena na kofia yake ya kijeshi, mhe. Karume haonekani kwenye picha hata kidogo ila ndiyo mwanamapinduzi. Kuna kitu kimejificha hapo.
okello hakuwa mzanzibar wewe.yule alikuwa gaidi.hawezi kuingia kwenye historia ya zanzibar.mapinduzi yaliongozwa na karume. mbona wewe unatudanganya ni mtoto wa nyerere
Nitakitafuta kiongozimkuu kama utapata muda unaweza ukasoma kitabu cha kwaheri ukoloni kwaheri uhuru cha harisi ghasany
Kabila aliwekwa na kina kagamehivi harakati za kumng'oa mabutu zilianza lini?kabila aliingia lini madarakani?acha uongo kabila hajawahi kusaidiwa na che guevara hata siku moja wewe.harakati za kumtoa kabila zilianza wakati che guevara ameshakufa siku nyingi
Join Date : 12th January 2014 -Usidandie Train kwa Mbele kama hujui historia ya nnchi hii omba ushauri!
Woooo, ubarikiweunaweza kipakua hicho hapo