yericko nyerere labda hujanielewa. haya ndo mwl. nyerere aliyokuwa akihubiri kwa zaidi ya miaka 21, na hawa wanachofanya ni kurudia tu yale aliyoyaasisi mwl. ukisema kwa nini ikulu inaendelea kuudanganya ulimwengu unamaanisha mwalimu nyerere alidanganya ulimwengu? maana hawa wanaendeleza alichokuwa akikifanya mwalimu.Kichwa cha mada hii kinasema, "Kwanini Ikulu inaendelea kuudanganya ulimwengu?"
Tafsiri ya kichwa hicho ni kuwa taasisi ya urais imeendelea kuudanganya ulimwengu kuhusu ukweli huo wa mapinduzi tangu yalipotukia,
Acha kumumunya maneno/kupindisha maandishi. swali langu lipo straight forward.