Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,526
- 11,402
ASANTE KATIBU [emoji23]NDOA NI UTAPELI
NDOA NI WIZI
NDOA NI UJAMBAZI
ASANTE KATIBU [emoji23]NDOA NI UTAPELI
NDOA NI WIZI
NDOA NI UJAMBAZI
Kaishi sayari ya pekeyakoTusipangiane Maisha [emoji35][emoji35]
Kweli mdada.ni vizuri kujipanga before ujaoa.shida na raha ni maneno ya altaren tu pale.Kuna dada mmoja kaolewa mwezi wa 3, nimeambiwa anataka kurudi kwao kisa mwanaume mkataba wa kazi umeisha. Eti amechoka kuhudumia familia. Kazi mnayo wanaume. Ile kwa shida na raha haipo tena.
Kwa maisha ya sasa, kuoa ni mtihani kama huna kipato cha uhakika na umeoa mama wa nyumbani au mke mbinafsi.
Kuoa bila kuwa na uchumi imara ni chocho ya matatizo. Kinachofelisha wengi ni uchumi mbovuKuna mtoto wa dada yangu alioa mwaka jana , wana mtoto mmoja. Anafanya kazi analipwa laki 3. Wanaishi kwa wazazi wa mume. Naona mke anataka kuondoka kwao anasema maisha hayawezi. Mwingine kaoa mwaka juzi, karudi kuishi na wazazi kujipanga tena.
Kuoa si lelemama.
Kuna dada mmoja kaolewa mwezi wa 3, nimeambiwa anataka kurudi kwao kisa mwanaume mkataba wa kazi umeisha. Eti amechoka kuhudumia familia. Kazi mnayo wanaume. Ile kwa shida na raha haipo tena.
Kwa maisha ya sasa, kuoa ni mtihani kama huna kipato cha uhakika na umeoa mama wa nyumbani au mke mbinafsi.
NDOA NI PANGO LA WANYANG'ANYI😁😁😁NDOA NI UTAPELI
NDOA NI WIZI
NDOA NI UJAMBAZI
Thread closed!Ndoa ni ajira kwa mwanamke , Ni mkataba pekee ambao mwanamke hana majukumu na akiuvunja atapata faida/mali. Hakuna faida za moja kwa moja kwa mwanume zaidi ya sonona, stress na kudhalilika.
Ni muungano pekee uliobase kwenye social presssure ila ukiwauliza walio oa watakwambia jiunge chamani ili uteseke nasi
NAKAZIA [emoji419][emoji419][emoji419]UZINZI NI LAANA
UZINZI NI KUJIBEBEA MIKOSI
UZINZI NI UCHAFU
UZINZI NI UFUKARA
UZINZI NI KUJIFUPISHIA MAISHA
UZINZI HUKUONDOLEA HESHIMA
UZINZI NI USHETANI
Una matatizo ya AkiliHatutaki kuoaaaa
PUNYETO NI LAANANDOA NI UTAPELI
NDOA NI WIZI
NDOA NI UJAMBAZI
WEWE PIA NI TAPELI KAMA MATAPELI WENGINENakazia sana hapa. NDOA NI UTAPELI KAMA UTAPELI MWINGINE TU.
PUNYETO NI LAANANAKAZIAAAA
Tembelea uzi wangu wa darasa la Mafundisho ya Ndoa.. kupata maarifaSiyo lazima kuoa ila nyie mliooa tuambieni ni zipi faida za ndoa kwa kuzingatia usawa wa kijinsia 50/50 ili hali wanaume hatubebi mimba wala kuwa na siku zetu kama walivyo wanawake ?
HASARA NI KWA TAIFA NA JAMII KWA UJUMLA. HIVO NI LAZIMA KUHAMASISHA KUOA KWA USTAWI WA JAMII NA TAIFAUkioa wewe inatosha...wengine wasipoa wewe unapata hasara Gani?
Tembelea uzi wangu wa Darasa la Mafundisho ya ndoa.... Kupata maarifa zaidi kuhusu NdoaNdoa ni ajira kwa mwanamke , Ni mkataba pekee ambao mwanamke hana majukumu na akiuvunja atapata faida/mali. Hakuna faida za moja kwa moja kwa mwanume zaidi ya sonona, stress na kudhalilika.
Ni muungano pekee uliobase kwenye social presssure ila ukiwauliza walio oa watakwambia jiunge chamani ili uteseke nasi
Tembelea uzi wangu wa Darasa la Mafundisho ya ndoa.... Kupata maarifa zaidi kuhusu NdoaKuoa na kuacha zinaa ni vitu viwili tofauti. Unaweza oa halafu michepuko ya kutosha.
Tembelea uzi wangu wa Darasa la Mafundisho ya ndoa.... Kupata maarifa zaidi kuhusu Ndoatuna mishahara ya laki 3 tunaowaje, kwakati iyo laki 3 tu sigle haitoshi?? au unataka mke awe mdangaji?
Msifanye ndoa kuwa jambo gumuKuoa kuna taka nako mtaji, kuuendesha familia ni biashara kama biashara zingine tu!
Malazi, mavazi, shule, matibabu na chakula vyote hv vinatakiwa kutoka kwa muoaji, muolewaji atavikuta!!
Kuoa ni mchakato [emoji2]
Tembelea uzi wangu wa Darasa la Mafundisho ya ndoa.... Kupata maarifa zaidi kuhusu NdoaWanawake wenyewe wakuoa wako wapi mkuu?