chaz beezz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 217
- 877
Tusipangiane Maisha [emoji35][emoji35]
😂Haya bana, mi ningeuliza uzinzi ni Nini..ila nitaambiwa naharibu Uzi😂 😂 😂 😂 Hapigwi Mtu Hapa
Ndoa ni raha kama tu unauwezo thabiti wa kumudu matakwa na mahitaji ya mke tena hawa wa kisasa. Kama ni kijana anayejitafuta mwenyewe hana wa kumshika mkono basi mimi kama kijana mwenye akili nyingi namshauri asioe mapema, ajitafute hadi auone mwanga wa maisha yake. Hakuna sifa ya kuoa kisha wewe na familia yako mkawa watu wa kuteseka. Nina washkaji zangu wameoa ila daily mizinga, hii ni hatari sana.Unaogopa nini kuoa unazuia vipi matamanio yako na uko baleghe hutaki kuoa badilika owa ustarehe na mkeo ndoa Raha Sana
Badiliken vijana ambao bado mjaoa muowe
Karibu katika Darasa la Mafundisho ya Ndoa
Na Mohamedex121
View attachment 2817375
Lazima awe na will kuoaa...pia awe financial kdg kuweza kumtunza huyo mke atii safari ndefuuu saaanaaaaUnaogopa nini kuoa unazuia vipi matamanio yako na uko baleghe hutaki kuoa badilika owa ustarehe na mkeo ndoa Raha Sana
Badiliken vijana ambao bado mjaoa muowe
Karibu katika Darasa la Mafundisho ya Ndoa
Na Mohamedex121
View attachment 2817375
Kuna mtoto wa dada yangu alioa mwaka jana , wana mtoto mmoja. Anafanya kazi analipwa laki 3. Wanaishi kwa wazazi wa mume. Naona mke anataka kuondoka kwao anasema maisha hayawezi. Mwingine kaoa mwaka juzi, karudi kuishi na wazazi kujipanga tena.Bila pesa za kuhudumia Huyo mwanamke Hakuna raha yeyote ya ndoa ...
Pesa ,zimekuwa ngumu mno , vijana wanafanya Kazi vibarua Kwa mwezi Laki tatu ,mbaya Zaidi mwanamke anayetaka kumuoa anataka ahudumiwe Kila kitu kuanzia chini mpaka juu ,mavazi ,chakula n.k ....vijana majukumu yanawazidia wanaona kabisa wanatapeliwa kwenye ndoa ,haiwezekani uwe unahudumua tu MTU back mmekutana ukubwani eti Ni mke Bila yeye kuwa na faida yeyote Kwa mwanaume Zaidi ya sex ( hapa ndipo utapeli unaanzia ) ...
Vijana wakiwezeshwa kipesa wanaoa ...na wanawake siku watakapo kubali kuacha kutanguliza kuhudumiwa badala wao wajitafute wataolewa ...
YesKwani wa kiume tu ndio wanaoa?
Sasa wakike utaoaje kwa mfano katoto sorry atotoKwani wa kiume tu ndio wanaoa?
Hamna, mbona mmeolewa wengi tu!
Afu na huyo muolewaji mwenye anafanya kazi pesa yake huioni kanakambwa yeye hausiki katika kusimamisha uchumituna mishahara ya laki 3 tunaowaje, kwakati iyo laki 3 tu sigle haitoshi?? au unataka mke awe mdangaji?
basi kila mtu akae kwake au kwaoAfu na huyo muolewaji mwenye anafanya kazi pesa yake huioni kanakambwa yeye hausiki katika kusimamisha uchumi