Kwanini hutaki kuoa kijana, una matatizo gani?

Kwanini hutaki kuoa kijana, una matatizo gani?

Ndoa ni baraka

Ndoa huleta heshima

Ndoa ni furaha

Ndoa ni huleta mapenzi

Ndoa ni malezi
Ingekua ndoa ni baraka tusingeona wanaume waliooa wanakufa masikini. Umasikini ni laana

Ingekua ndoa ni heshima tusingeona wazee wetu wanakimbizwa na mapanga na wake zao wanaziacha nyumba zao nakuja kushinda na sisi vijiwe vya kahawa

Ingekua ndoa ni furaha baba zetu wasinge walalamikia wake zao kuwa ni chanzo cha matatizo na umasikini wao

Ingekua ndoa ni malezi tusingekua na watoto wa halifu, wanawake madanga, dada poa na wanaotumia lugha chafu.


WAKATAA NDOA WASIKILIZWE WANAHOJA NZITO.
 
Back
Top Bottom