Kwanini hutaki kuoa kijana, una matatizo gani?

Kwanini hutaki kuoa kijana, una matatizo gani?

Mohamedex121

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2022
Posts
1,734
Reaction score
3,310
Unaogopa nini kuoa, unazuia vipi matamanio yako na uko baleghe hutaki kuoa. Badilika ow ustarehe na mkeo, ndoa Raha sana.

Badilikeni vijana ambao bado hamjaoa muoe.

Karibu katika Darasa la Mafundisho ya ndoa.

Na Mohamedex121

ba0166c7a50d96eb270097f3f911e08a_L.jpg
 
Ndoa ni ajira kwa mwanamke , Ni mkataba pekee ambao mwanamke hana majukumu na akiuvunja atapata faida/mali. Hakuna faida za moja kwa moja kwa mwanume zaidi ya sonona, stress na kudhalilika.

Ni muungano pekee uliobase kwenye social presssure ila ukiwauliza walio oa watakwambia jiunge chamani ili uteseke nasi
 
Unaogopa nini kuoa unazuia vipi matamanio yako na uko baleghe hutaki kuoa badilika owa ustarehe na mkeo ndoa Raha Sana

Badiliken vijana ambao bado mjaoa muowe

Karibu katika Darasa la Mafundisho ya Ndoa
Na Mohamedex121

View attachment 2817375
tuna mishahara ya laki 3 tunaowaje, kwakati iyo laki 3 tu sigle haitoshi?? au unataka mke awe mdangaji?
 
Ndoa ni ajira kwa mwanamke , Ni mkataba pekee ambao mwanamke hana majukumu na akiuvunja atapata faida/mali. Hakuna faida za moja kwa moja kwa mwanume zaidi ya sonona, stress na kudhalilika.

Ni muungano pekee uliobase kwenye social presssure ila ukiwauliza walio oa watakwambia jiunge chamani ili uteseke nasi
Facts
 
Back
Top Bottom