Kwanini hutaki kuoa kijana, una matatizo gani?

Kwanini hutaki kuoa kijana, una matatizo gani?

Ndoa gani vipigo visivyoisha,ulevi,matusi mbele ya watoto,ukatili uliokithiri? Kwa mtu anaejuwa amani ya mtu binafsi ni nini? hawezi kujiingiza katika Hilo gereza lililopambwa Kwa Maru Maru.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tembelea uzi wangu wa Darasa la Mafundisho ya ndoa.... Kupata maarifa zaidi kuhusu Ndoa
 
Kwa maisha ya sasa

Ndoa ni upuuzi
Ndoa ni Kwa watu dhaifu
Ndoa ni kichaka Cha unafiki
Ndoa ni laana
Ndoa ni kujichimbia kaburi
Ndoa ni baraka

Ndoa huleta heshima

Ndoa ni furaha

Ndoa ni huleta mapenzi

Ndoa ni malezi
 
Ndoa ni raha kama tu unauwezo thabiti wa kumudu matakwa na mahitaji ya mke tena hawa wa kisasa. Kama ni kijana anayejitafuta mwenyewe hana wa kumshika mkono basi mimi kama kijana mwenye akili nyingi namshauri asioe mapema, ajitafute hadi auone mwanga wa maisha yake. Hakuna sifa ya kuoa kisha wewe na familia yako mkawa watu wa kuteseka. Nina washkaji zangu wameoa ila daily mizinga, hii ni hatari sana.

Naendelea kujifunza kwa mwamba kabisa Kris Lukos. Mwamba ana 56 Maria ana 14. Wanangu msiwasikilize hawa wazee, life la enzi zao ni tofauti na hili, wake wa enzi zao hawakuwa wanagharimu hata 20k ya kujiremba ila hawa wa sasa mahitaji yao ni kisanga sana
Tembelea uzi wangu wa Darasa la Mafundisho ya ndoa.... Kupata maarifa zaidi kuhusu Ndoa
 
Bila pesa za kuhudumia Huyo mwanamke Hakuna raha yeyote ya ndoa ...

Pesa ,zimekuwa ngumu mno , vijana wanafanya Kazi vibarua Kwa mwezi Laki tatu ,mbaya Zaidi mwanamke anayetaka kumuoa anataka ahudumiwe Kila kitu kuanzia chini mpaka juu ,mavazi ,chakula n.k ....vijana majukumu yanawazidia wanaona kabisa wanatapeliwa kwenye ndoa ,haiwezekani uwe unahudumua tu MTU back mmekutana ukubwani eti Ni mke Bila yeye kuwa na faida yeyote Kwa mwanaume Zaidi ya sex ( hapa ndipo utapeli unaanzia ) ...

Vijana wakiwezeshwa kipesa wanaoa ...na wanawake siku watakapo kubali kuacha kutanguliza kuhudumiwa badala wao wajitafute wataolewa ...
Usisubiri uwe na maisha mazuri ndo uoe bali oa mwanamke iwe sababu ya nyinyi nyote kuwa na maisha mazuri
 
Unaogopa nini kuoa unazuia vipi matamanio yako na uko baleghe hutaki kuoa badilika owa ustarehe na mkeo ndoa Raha Sana

Badiliken vijana ambao bado mjaoa muowe

Karibu katika Darasa la Mafundisho ya Ndoa
Na Mohamedex121

View attachment 2817375
Waacheni watu waishi maisha waliyochagua, msitake kuwapangia waishi maisha mnayotaka nyie.

Wewe unayependa kuoa, akija mtu akakupangia usioe, utajisikiaje?
 
Kuna mtoto wa dada yangu alioa mwaka jana , wana mtoto mmoja. Anafanya kazi analipwa laki 3. Wanaishi kwa wazazi wa mume. Naona mke anataka kuondoka kwao anasema maisha hayawezi. Mwingine kaoa mwaka juzi, karudi kuishi na wazazi kujipanga tena.

Kuoa si lelemama.
Tembelea uzi wangu wa Darasa la Mafundisho ya ndoa.... Kupata maarifa zaidi kuhusu Ndoa
 
Kuna dada mmoja kaolewa mwezi wa 3, nimeambiwa anataka kurudi kwao kisa mwanaume mkataba wa kazi umeisha. Eti amechoka kuhudumia familia. Kazi mnayo wanaume. Ile kwa shida na raha haipo tena.
Kwa maisha ya sasa, kuoa ni mtihani kama huna kipato cha uhakika na umeoa mama wa nyumbani au mke mbinafsi.
Usikariri maisha
 
Acha ujinga wewe unaandka pumba pumba tu ndoa ndoa unazjua hoja za wasiotaka ndoa au ndo kujtoa akili au siyo.
Usikariri maisha... Usifananishe ndoa za wengine na ya kwako

Tembelea uzi wangu wa Darasa la Mafundisho ya ndoa.... Kupata maarifa zaidi kuhusu Ndoa
 
Bila pesa za kuhudumia Huyo mwanamke Hakuna raha yeyote ya ndoa ...

Pesa ,zimekuwa ngumu mno , vijana wanafanya Kazi vibarua Kwa mwezi Laki tatu ,mbaya Zaidi mwanamke anayetaka kumuoa anataka ahudumiwe Kila kitu kuanzia chini mpaka juu ,mavazi ,chakula n.k ....vijana majukumu yanawazidia wanaona kabisa wanatapeliwa kwenye ndoa ,haiwezekani uwe unahudumua tu MTU back mmekutana ukubwani eti Ni mke Bila yeye kuwa na faida yeyote Kwa mwanaume Zaidi ya sex ( hapa ndipo utapeli unaanzia ) ...

Vijana wakiwezeshwa kipesa wanaoa ...na wanawake siku watakapo kubali kuacha kutanguliza kuhudumiwa badala wao wajitafute wataolewa ...
🙂 😀 😀 😀 😀ukitaka kujua utamu una thamani nenda kwenye madanguro uone watu wanavyopoteza helaa kisa genyee wewe nunua mmoja uishii naoo.
 
Katika mahitaji ya msingi ya mwanaume NGONO ni moja wapo hapa siongelei wanaume makapukuu ambao mfuko unatosha kula ugali dagaa na kulala itabdi apambane na SABUNI tu.
 
Back
Top Bottom