Kwanini hutaki kuoa kijana, una matatizo gani?

Kwanini hutaki kuoa kijana, una matatizo gani?

Kuoa bila kuwa na uchumi imara ni chocho ya matatizo. Kinachofelisha wengi ni uchumi mbovu
Inategemea na mwanamke uliyemuoa ..

Waswahili tunasema. Usisubiri uwe na maisha mazuri ndio uoe bali oa mwanamke iwe sababu ya nyinyi nyote kuwa na maisha mazuri
 
Kuoa vijana wanataka sana ila huyo mwanamke wa kuolewa yuko wapi?
Ktk wasichana 100 sasahivi hakuna mke hata 1, wote macho juu kwenye pesa, ukimkuta kashafikisha 30yrs anataka mtoto azae ila kufugwa hataki.
Waliooa kumpea mimba mke mpaka mke atake vinginevyo haiwezekani.
Tembelea uzi wangu wa Darasa la Mafundisho ya ndoa.... Kupata maarifa zaidi kuhusu Ndoa
 
Kuna faida nyingi mwanaume anazipata kwenye ndoa tofauti na ngono

Tembelea uzi wangu wa Darasa la Mafundisho ya ndoa.... Kupata maarifa zaidi kuhusu Ndoa
 
Katika mahitaji ya msingi ya mwanaume NGONO ni moja wapo hapa siongelei wanaume makapukuu ambao mfuko unatosha kula ugali dagaa na kulala itabdi apambane na SABUNI tu.
Kuna faida nyingi mwanaume anazipata kwenye ndoa tofauti na ngono

Tembelea uzi wangu wa Darasa la Mafundisho ya ndoa.... Kupata maarifa zaidi kuhusu Ndoa
 
Mimi mamaangu hakuolewa lakini amenizaa.

ndiomana nakuona wewe nijinga mojatuu.
pía ninawatoto lakini sijaoa
Kwahiyo unafurahia kuzaliwa nje ya ndoa??? Ungekuwa unafahamu mtoto kupata malezi ya wazazi wote wawili sidhani kama ungepinga suala la ndoa???.
Yote kwa yote umeathirika na malezi mazazi mmoja. Jitahidi watoto wako wasije ishi maisha uliyoyaishi wewe
 
Kuna faida nyingi mwanaume anazipata kwenye ndoa tofauti na ngono

Tembelea uzi wangu wa Darasa la Mafundisho ya ndoa.... Kupata maarifa zaidi kuhusu Ndoa
faida nyingi mimi nilipofika sometimes kuna mambo unajikuta ya msingi unafanya sababu ya push toka kwake...otherwise ningeweka kwenye utamu tu na pombe
 
Back
Top Bottom