Kwanini huniamini?

Kwanini huniamini?

mmh we nae umezidi na viporo loh punguzu

!
!
Miss Chagga na wewe!? kiporo hakihitaji moto mwingi na wewe kukipasha, hata na gazeti tu au mshumaa inawezekana. Kwanza ukiona vipi unakila hivyohivyo. Muhimu kuwa na kiporo hasa wikiendi.
Mapishi mapya mlima japo chakula kinakuwa fresh.
 
ha ha ha ha nimekusoma ndiyo maana :yawn:
 
Nashindwa kuelewa hili tatizo, mtu yupo radhi kuvua chupi akae uchi mbele ya mpenzi wake lakini hawezi kumpa mwenzi wake simu aangalie hata picha...!
 
Watu wengi hatuko waaminifu asilimia 100. Kama hatuchiti kikweli kweli basi tunachiti kihisia.

Ndo sababu ya kuhoji 'kwa nini huniamini'.

mtu wako akiku chiti kihisia.....huwezi kusamehe?
is it really a big deal kwa ku chiti kihisia?
 
Nashindwa kuelewa hili tatizo, mtu yupo radhi kuvua chupi akae uchi mbele ya mpenzi wake lakini hawezi kumpa mwenzi wake simu aangalie hata picha..!

Mh tena ukishika mwingine ananuna wiki haongei madai umuamini
 
Nyingine password kila idara msg, phonebook Yani cm na michepuko ni janga la kitaifa kama Aids
 
Nashindwa kuelewa hili tatizo, mtu yupo radhi kuvua chupi akae uchi mbele ya mpenzi wake lakini hawezi kumpa mwenzi wake simu aangalie hata picha...!

simu ya mupenzi weka mbali na watoto

hatari kwa afya
 
Back
Top Bottom