MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,070
!
!
kama kati ya vitu navitamani basi ni hicho cha kujisafisha, na niwe na mmoja tu. Lakini nimejenga tabia ya kupenda mno viporo, yani sana kiasi kwamba huwa nikihitaji napasha tu fasta kwani havihitaji mito mwingi najikuta naelea humohumo kwenye. Daaaah noma mno aisse.
Nadhani kuwa clean is impossible, labda sijui uweje aisee.
Haya kila la kheri