Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,349
- 8,081
Mh tena ukishika mwingine ananuna wiki haongei madai umuamini
!
!
sasa pichu si mnavua kwa maandalizi maalum mkuu!????.......tatizo kwenye simu kunaweza kuwa na vitu ambavyo hauko tayari kuvifuta kwa muda huo, hata hivyo vingine vinaweza ingia mda wowote vikaamsha waliolala. Mie sishiki yake na yeye ya kwangu asishike bana. Kuwekana roho juu inahuuu.