ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,365
- 118,746
"sasa nakujibu nini wakati hayupo huyo wa kuwa mwaminifu kwake!!!"hahahahaaaa hebu nikumbushe ni wapi huko??
"sasa nakujibu nini wakati hayupo huyo wa kuwa mwaminifu kwake!!!"hahahahaaaa hebu nikumbushe ni wapi huko??
"sasa nakujibu nini wakati hayupo huyo wa kuwa mwaminifu kwake!!!"
yes nikujibu nn wakati wa kuwa mwaminifu kwake hayupo???? so hilo swali nadhani limewahi kabla ya wakati wake
Ooh..sasa nimeelewa, kumbe yupo lakini huna sababu ya kuwa mwaminifu kwake..daaamn!!
Watu wengi hatuko waaminifu asilimia 100. Kama hatuchiti kikweli kweli basi tunachiti kihisia.
Ndo sababu ya kuhoji 'kwa nini huniamini'.
nadahani nikizinduka yeye atakuwa mauti uti ... simu inamengi kama moyo wake sasa usipende sana kujua
Mimi nadhani kuanza kupekenyua simu za wanawake ni kuwakosea adabu, ni kama kupenda kukaa kwenye baraza zao wakiwa na maongezi yao faragha. Ukitaka picha muombe akuonyeshe zile anazoona unastahili kuziona. Sasa unataka uone na picha alizotumiwa na mashoga zake, rafiki zake wa shuleni, rafiki za shemeji zako, utapanic halafu uanze kuuliza maswali ya ajabu. Akicheat unaweza kumchunga wewe?
miss chagga...are you faithful to your partner? Nijibu hapo..!
Yes i am.. and u?
Hata mimi, lakini kwako ntakosa uaminifu kwa mke wangu..teh!Yes i am.. and u?
Kwako itabidi uaminifu niuweke pembeni ili nile vitam..teh teh!!ajikute tu!
tafuta chapaa unichukue hapa kiulaini tu bila vikwazo
Hata mimi, lakini kwako ntakosa uaminifu kwa mke wangu..teh!
Sasa akikuchukua mi ntabaki na nani?
Kwako itabidi uaminifu niuweke pembeni ili nile vitam..teh teh!!