Kwanini huniamini?

Kwanini huniamini?

Kwema humu.

Hivi kwanini ukimfatilia mpenzi wako nyendo zake wanakimbilia neno kwanini huniamini hasa hawa akina dada au kumfatilia mpenzi wako vibaya tena wengine hufikia hatua ya kusema ukimchunguza sana bata huwezi kumla.

Sasa hii maana yake nini au wapo sahihi wakisema hivyo.

Ni kweli una haki ya kujiridhisha na kuchunguza nyendo za mpenzi wako kama ni sawa.Hauwezi kuamini kirahisirahisi hivyo bila kuthibitisha kama unachokiamini ni sahihi.
 
Mkuu Eli79 nilikuwa nimeamua kufuatilia huu uzi kimya kimya ili nisome tu na sikupenda kuchangia. Comment zako hasa ndo zimenifanya nichangie! Kuna watu ukisoma mawazo yao unashangaa na wakati mwingine huamini wanachosema. Mtu ambae anavua nguo mbele yako, unamshika kila sehemu ya mwili,huna wasiwasi kwamba anaweza kukunyonga ukiwa umelala lkn eti simu inaonekana Muhimu kuliko yote hayo!!! Eti simu ashike yake na me nishike yangu! Hivi mnatania au mko serious!? Hasa mkuu atoto & miss chagga siwaelewi kwakweli. Hivi simu yangu km haina charge siwezi kutumia simu yako!?
magode, wanachoongea miss chagga na atoto ndicho kinachofanyika na wengi katika jamii yetu, usishangae sana....! Hiyo ni ishara tosha kuwa % kubwa ya watz hawana uaminifu si katika mahusiano tu bali katika nyanja nyingi za maisha.

Mtu akiona simu ni kila kitu kwake na isishikwe na yoyote kisa ni "mobile", hata mumewe...then kwangu he/she leaves a lot to be desired..!
 
Last edited by a moderator:

Km hiki nnachokisikia kwa miss chagga & atoto basi nyumba zinaficha mengi! Lkn wanajaribu kuonyesha jinsi ambavyo kwao uaminifu ni msamiati mgumu! Lkn kwa nini ujitese namna hiyo!? Maana hayo ni mateso,huwezi kuacha simu hata km unaenda kuoga nk,ukiiacha unaweka silent na password,hivi hamuoni km hii nayo ni aina kichaa!?
 
anashika simu yangu akitafuta nini huko????
 
Last edited by a moderator:
Km hiki nnachokisikia kwa miss chagga & atoto basi nyumba zinaficha mengi! Lkn wanajaribu kuonyesha jinsi ambavyo kwao uaminifu ni msamiati mgumu! Lkn kwa nini ujitese namna hiyo!? Maana hayo ni mateso,huwezi kuacha simu hata km unaenda kuoga nk,ukiiacha unaweka silent na password,hivi hamuoni km hii nayo ni aina kichaa!?

hiki ni kichaa salama
 
Last edited by a moderator:
!
!
mkuu ni kweli kabisa, na najijua kuwa sio mwaminifu, niliwahi kuwa ila sijawa mwaminifu kwa muda mrefu sana mpaka nimesahau lini nilikuwa. Nasikitika sana lakini ndio basi tena, nitafanyaje sa ndio nshakuwa.
Basi tena.

Ukimwamini YESU moyoni mwako na kumkiri kwa kinywa chako na nguvu zake zikiingia kwako atakuwezesha kuyaacha yote.Dawa ni wokovu tu ndugu yangu ndo utakutoa hapo ulipo la sivyo Jehanamu nje nje.
 
mweeee!!! hili swali si lilikuwa la miss chagga? sasa mbona waniuliza mimi tena?
Nimekuuliza na wewe coz mna mentality moja..
lakini unaonekana kuwa na kigugumizi, nimeshapata jibu la swali langu...
...bado tuna safari ndefu...!
 
sasa nakujibu nini wakati hayupo huyo wa kuwa mwaminifu kwake!!! hebu subiri kwanza maybe baaadaeeeee ndio uniulize nitakuwa na majibu
 
atoto, kwani huna boyfriend kweli?..au tayari ushaanza...teeeeeh!
ngoja nimuite yule jamaa nimuulize coz nilidhani yeye no mmiliki...!
 
Last edited by a moderator:
atoto, kwani huna boyfriend kweli?..au tayari ushaanza...teeeeeh!
ngoja nimuite yule jamaa nimuulize coz nilidhani yeye no mmiliki...!

mmmh!!! jamaa gani tena??? huu sasa ni.......... ole wako niachike utanioa nakwambia!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom