Kwanini hivi jamani...

Wewe umemaliza kuongea mtu anajulikana hata kabla hamjafika mbali

Kwa kawaida humu nikama mtaani tu tabia zinatofautiana
 
Hapo kumsoma mtu tena umsome kwa umakini mkubwa sana vinginevyo utauvaa mkenge. Kuna watu wazuri sana humu kama binadamu ambao unaweza kabisa kuwakaribisha hata nyumbani kwako kwa mlo au kupiga story tu au wao kukualika kwao. Pia kuna watu wabaya sana humu wa kuogopa kama UKOMA. Ukiwa makini basi hata siku moja hutajutia kumfahamu mtu humu vinginevyo itakula kwako.

Mkuu kati ya sehemu za kuwa makini ni JF, unaweza kutongozwa hata na mkeo.

Na unapotaka kumfuata mtu pm Kuepusha yote hayo lazima umsome kuanzia siku anapost JF hadi leo...na pm usifike tu ukaanza kujiachia achia kama upo sebuleni kwako
 
haitokuacha salama...!!!

sent from motorola bapa and nokia jeneza
Lazima utaumbuka tu, yaani piga ua kuna siku utaumbuka. Hata lifestyle yako tu, eti huko wasap unaweka avatars za familia yako, siku likibuma tu zile picha zitakuwa silaha kwao, yani hii dunia ya utandawazi naamini kabisa waafrika tumeivamia, kama tunavyovamia mambo mengi tu.

Leo hii watu wamevamia mapenzi ya jinsi moja, kufanya mapenzi na yeyote kama mbuzi tu...sijui nani ametulaani sisi.
 
Huo sio uanaume

Kwanza kwenda tu pm kutongoza ni ushamba na ujinga... unatongozaje usiemjua wakati mtaani mademu wakali wengi tu
Kutongozana ni kawaida, katika jamii yoyote lazima watu watongozane, so long kuna me na ke, (well, siku hizi hata kama ni jinsia moja bado unaweza kusikia 'aunt John' alimtongoza flani), but its important to play your cards well.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…