Kwanini historia ya Zanzibar ya kweli haisomeshwi?

Huwa nalia sana nikiona hivi, naona kama niliponea chupuchupi tu, huenda ningekuwa natumika USA, mleta hizi picha usirudie tena kufanya hivi naweza kuua bila kukusudia.
Ni bora ungekuwa mtumwa USA yawezekana waarabu wangekuuwa njiani kwa uvivu wako
 
Mkuu acha kuzunguka mbuyu katika kuwatetea waarabu waliokuwa wafadhili wa utumwa.
Wafadhili wa utumwa hawatarudi tena Zanzibar wala pande hizi za Afrika.
Kama mzee Mandela alivyosema alipotoka gerezani na kupata urais wa Afrika Kusini....

Mandela , May 10th 1994
"Never, never and never again shall it be that this beautiful land will again experience the oppression of one by another and suffer the indignity of being the skunk of the world."

Zanzibar baada ya 1964........Never, and never again will the arabs be left to return.
Aende tu akajifunze historia ya magogoni pale kigamboni
Hapo ndipo atawajuwa waarabu nao walikuwa watu wa aina gani
Wote wazungu,waarabu wamewafanyia mambo ya kikatili wafrika

Ova
 
Huwa nalia sana nikiona hivi, naona kama niliponea chupuchupi tu, huenda ningekuwa natumika USA, mleta hizi picha usirudie tena kufanya hivi naweza kuua bila kukusudia.
Sorry wakati huu Camera ilikuwa bado kuvumbuliwa. Hizo picha zilipigwa na camera ipi?
 
Aende tu akajifunze historia ya magogoni pale kigamboni
Hapo ndipo atawajuwa waarabu nao walikuwa watu wa aina gani
Wote wazungu,waarabu wamewafanyia mambo ya kikatili wafrika

Ova
Ulikuwepo? Hakuna mtu mshenzi Kama mtu mweusi. Hivi huoni wanayofanya CCM?Au hujawahi kubambikiwa kesi ukasota rumande. Huko utaanza kumjua nani mwafrika
 
Aende tu akajifunze historia ya magogoni pale kigamboni
Hapo ndipo atawajuwa waarabu nao walikuwa watu wa aina gani
Wote wazungu,waarabu wamewafanyia mambo ya kikatili wafrika

Ova

Hakuna cha magogoni sikiliza hapa uone miafrika ilivyo mikatili

Sorry wakati huu Camera ilikuwa bado kuvumbuliwa. Hizo picha zilipigwa na camera ipi?
statues za mafarao wa misri zili jengwa km vile walivyo kabisaaa...nasema hayo ujue kuwa kulikuwa na wachoraji hatareee!! Wafinyanzi ni utachoka. ....kitu usicho kijua ni kuwa Duniani hakuna jipya yooote uyaonayo yalikuwepo...gharika ndo iliturudisha nyuma....hapa tulipo kimaendeleo hatujafikia hata nusu ya maendeleo ya kale. Vitu km pyramids.bermuda triangles nk. Ni vielelezo vya mifano ua maendeleo tuliyopiga kitambo muhimu mnoo. Sijui km unanielewaaaaa.....
 
Ni bora ungekuwa mtumwa USA yawezekana waarabu wangekuuwa njiani kwa uvivu wako
Nilivo Mkakasi bin mtata. Aseee? Wangeona kila nyota...hapo bongo nilikiwa na boss langu jinga jinga hivi!! lilinitishia kunikata mshahara....kulikomesha ili lijue nina hela zaidi ya hizo zake anazo nilingishia...kesho yake nilimwachia vumbi........panda ndege kwenda New zealand...mpaka leo sijarudi.....na mshahara mkubwa tu.....kila alipopiga simu alijibiwa na ksle ka sauti kale....
 
M zeee sasa umechoka hasa!!...... hivi Mzee unajua Queen Elizabeta kafa?? wakaa wapi wey huko kusiko fikika kwa radio wala TV?? au huna habari mwenzetu siku zinaenda kasi sana ina bidi nikamate nchi sie ndo wazee sasa!! nyie pisheni......kakae huko ulee vitukuu!...unanisikia Babauu
 
statues za mafarao wa misri zili jengwa km vile walivyo kabisaaa...nasema hayo ujue kuwa kulikuwa na wachoraji hatareee!! Wafinyanzi ni utachoka. ....kitu usicho kijua ni kuwa Duniani hakuna jipya yooote uyaonayo yalikuwepo...gharika ndo iliturudisha nyuma....hapa tulipo kimaendeleo hatujafikia hata nusu ya maendeleo ya kale. Vitu km pyramids.bermuda triangles nk. Ni vielelezo vya mifano ua maendeleo tuliyopiga kitambo muhimu mnoo. Sijui km unanielewaaaaa.....
Mbona umekuja na jaziba , zile ni picha Za kuchora au Za kamera?au ni kazi ya mfinyanzi? ,tuwekee wazi
 
Nilivo Mkakasi bin mtata. Aseee? Wangeona kila nyota...hapo bongo nilikiwa na boss langu jinga jinga hivi!! lilinitishia kunikata mshahara....kulikomesha ili lijue nina hela zaidi ya hizo zake anazo nilingishia...kesho yake nilimwachia vumbi........panda ndege kwenda New zealand...mpaka leo sijarudi.....na mshahara mkubwa tu.....kila alipopiga simu alijibiwa na ksle ka sauti kale....
Uko NZ mji gani? Wacha kujipakazia
 
KWA NINI HISTORIA YA ZANZIBAR YA KWELI HAISOMESHWI?

Mohamed Said Salum Bin Rawahy...kiasi cha mwaka mmoja hadi kufika leo tuliweka hadharani fikra za Prof. Ibrahim Noor kupitia kitabu chake ''Tanzania na Propaganda za Udini,'' ambayo kwa uhakika msomaji anakutana na matatizo yanayosababisha kushindwa kusomeshwa historia ya kweli ya Zanzibar. Matokeo yake zinasomeshwa ngano za madhila ya utumwa.
Mzee Mohamed Said ukipata muda unaweza kutuambia kuhusu mtu anayeitwa Ally Tambwe, je alikuwa nani hasa ? na upi mchango wake kwenye mapinduzi ya Zanzibar mpaka muungano ?
 
Walikuwa wanachukuliwa huku kwetu, wanafika Zanzibar, baadhi wanabaki Zanzibar kwenye mashamba ya karafuu lakini wengi wanauzwa nchi zingine hasa za kiarabu,

Kwa Marekani wapo wengi sana tu na wameweza kuingiliana na races nyingine,

Ilikuwaje kwenye nchi za kiarabu ambako walikuwa wanapelekwa wengi zaidi hawapo, ama kama wapo ni nadra sana.
 
Warabu walkuwa madalali tu wao walkuw hawakai na kizibo
 
Historia ya biashara ya utumwa ni ngumu na inajumuisha mzunguko mkubwa wa biashara ya watumwa kutoka maeneo mbalimbali duniani. Wakati wa biashara ya utumwa, watu kutoka Afrika walichukuliwa na kusafirishwa kwa nguvu kwenda sehemu mbalimbali duniani, ikiwa ni pamoja na Mashariki ya Kati.

Watumwa wengi kutoka Afrika walipelekwa katika maeneo ya Mashariki ya Kati kwa ajili ya kufanya kazi katika mashamba ya kilimo, migodini, majumbani, na katika biashara nyingine. Utumwa ulikuwa sehemu kubwa ya uchumi wa eneo hilo kwa karne nyingi.

Ni muhimu kutambua kwamba "Mashariki ya Kati" inajumuisha nchi nyingi tofauti na historia na mizani ya biashara ya utumwa ilikuwa tofauti kati ya nchi hizo. Baadhi ya maeneo kama vile Oman, Yemen, na eneo la Ghuba lilikuwa na biashara kubwa ya utumwa kutoka Afrika, wakati maeneo mengine kama vile Misri na Levant (eneo la Bahari ya Mediterania) pia yalikuwa na biashara ya utumwa, ingawa kwa kiwango kidogo zaidi.

Hata hivyo, kumbukumbu za kihistoria na uchunguzi wa kisayansi unaonyesha kuwa idadi kubwa ya watu kutoka Afrika walipelekwa Amerika (hasa katika Amerika ya Kaskazini na Amerika ya Kusini) wakati wa biashara ya utumwa. Hii ina maana kwamba idadi kubwa ya watu wa asili ya Afrika katika eneo la Mashariki ya Kati ilikuwa na asili tofauti, kama vile uhamiaji wa kisiasa, kiuchumi, au kijamii badala ya utumwa.

Kwa hiyo, ingawa kulikuwa na biashara ya utumwa katika Mashariki ya Kati, idadi kubwa ya waathirika wa biashara hiyo kutoka Afrika waliishia Amerika. Ni muhimu kutambua kwamba historia ya biashara ya utumwa ni tata na inahusisha mzunguko mkubwa wa watu, na mifumo ya biashara ya utumwa iliyofanya kazi kwa njia tofauti katika maeneo tofauti duniani.
 
Walikuwa wanachukuliwa huku kwetu, wanafika Zanzibar, baadhi wanabaki Zanzibar kwenye mashamba ya karafuu lakini wengi wanauzwa nchi zingine hasa za kiarabu,

Kwa Marekani wapo wengi sana tu na wameweza kuingiliana na races nyingine,

Ilikuwaje kwenye nchi za kiarabu ambako walikuwa wanapelekwa wengi zaidi hawapo, ama kama wapo ni nadra sana.
Wanapiga U-turn kuwa waarabu walikuwa madalali ili kuficha ukweli kuwa walikua wakiwa hasi na kuwaua.
Huo udalali sijui ni wa aina gani wakati walikua wakikutana wanapihana au mwarabu anakimbia.
Hata pale Iringa Mkwawa alikua akifanya biashara ya kuuza watumwa kwa waarabu, walipokuja german akaona wanakuja kuharibu biashara na ndiyo mwanzo wa mapambano.
Mwarabu alikua na demands za watumwa, hakuwa dalali, wazungu nao walikua na demands za watumwa, hawakua madalali. Hawa wote walikutana sana huko field kugombea watumwa kila mtu akijaribu kuwa win watemi.
Baada ya mapinduzi ya viwanda ulaya, biashara ya utumwa ilipigwa marufuku na kila nchi iliacha biashara hiyo kwa nyakati tofauti. Waarabu waliendelea kusomba watumwa na kuwapeleka huko uarabuni na meli zao zikawa zikikamatwa.
Sasa hivi waarabu wa Mtoni kwa Aziz Ali wanakwambia Mwarabu alikua ni dalali tu.
 
KWA NINI HISTORIA YA ZANZIBAR YA KWELI HAISOMESHWI?

Mohamed Said Salum Bin Rawahy...kiasi cha mwaka mmoja hadi kufika leo tuliweka hadharani fikra za Prof. Ibrahim Noor kupitia kitabu chake ''Tanzania na Propaganda za Udini,'' ambayo kwa uhakika msomaji anakutana na matatizo yanayosababisha kushindwa kusomeshwa historia ya kweli ya Zanzibar. Matokeo yake zinasomeshwa ngano za madhila ya utumwa.
We veepee? Huumwi? Nyani wajulishwe kuwa wametoka Congo juzi tu na waliletwa wauzwe na Tippu Tipp wakakosa soko?

Watajiitaje tena eti kabila lao ni Washirazi wenye asili ya Iran? Watabanaje pua eti wazenji sie👌🏻👈👃🤫🤧
 
Back
Top Bottom