Kwanini Heche hapingi vita Mashariki ya kati?

Una Malaria kali sana..Katafune Mronge.

Kwanza Mkurya na Vita ni ndugu.....
 
Kwanini CHADEMA hawapingi vita Mashariki ya kati ili mafuta yashuke bei?

Katika statement zao, sijaona wala kusikia angalau kuilamu USA kuivamia Iran.

Wao wanamlaumu Rais wa Tanzania tu badala angalau kutoa statement 1 ya kulaumu nchi zilizosababisha haya mambo
Tumia japo kasehemu ka ubongo wako kalikosalia bila kubunguliwa na malaria! Unaachaje kumuua chawa aliye maungoni mwako unakwenda kumuua aliyepo kwa mwingine?
Ya waarabu watajua wenyewe hayatuhusu.
 
Huyo kibwengo ubongo wake umechanganyika na haja kubwa
 
Kwanini CHADEMA hawapingi vita Mashariki ya kati ili mafuta yashuke bei?

Katika statement zao, sijaona wala kusikia angalau kuilamu USA kuivamia Iran.

Wao wanamlaumu Rais wa Tanzania tu badala angalau kutoa statement 1 ya kulaumu nchi zilizosababisha haya mambo
Ibadaa njema inaanzia nyumbani

Anaanza kupinga udhalimu wa ndani ndio akamaliza ataelekea huko unakotaka

Sio vyama wachumia tumbo ya Irana yanaonekana lkn ya october 29 hawaonii na waandishi uchwara.kama wewe
 
Kwanini CHADEMA hawapingi vita Mashariki ya kati ili mafuta yashuke bei?

Katika statement zao, sijaona wala kusikia angalau kuilamu USA kuivamia Iran.

Wao wanamlaumu Rais wa Tanzania tu badala angalau kutoa statement 1 ya kulaumu nchi zilizosababisha haya mambo
Si ulisema unajiondoa Jf mbona kigeugeu ?
 
Mashariki ya kati inamuhusu nini ulishasikia mashariki ya kati Wanasemea Tanzania acha waoneshane u babe huko Hiyo ndio inatakiwa Ningekuona wamana ungezungumzia SUDANI, CONGO, SOMALIA mavi kabisa ww
 
Back
Top Bottom