Kwanini Heche hapingi vita Mashariki ya kati?

Dah! Bangi watu waga wanaisingizia tuu! 😁
Watu wanadata wenyewe tuu.
 
Kabla hujahoji sababu za Heche kutokupinga vita ya huko.

Na wewe tueleze kwa nini uliaga unaondoka humu ila umerudi tena.
 
Kwanini CHADEMA hawapingi vita Mashariki ya kati ili mafuta yashuke bei?

Katika statement zao, sijaona wala kusikia angalau kuilamu USA kuivamia Iran.

Wao wanamlaumu Rais wa Tanzania tu badala angalau kutoa statement 1 ya kulaumu nchi zilizosababisha haya mambo
Hao unaowataja walifanya nini ndugu zetu walipouwawa October
 
Kwanini CHADEMA hawapingi vita Mashariki ya kati ili mafuta yashuke bei?

Katika statement zao, sijaona wala kusikia angalau kuilamu USA kuivamia Iran.

Wao wanamlaumu Rais wa Tanzania tu badala angalau kutoa statement 1 ya kulaumu nchi zilizosababisha haya mambo

Anamsubiri mzee wasira aanze
 
Back
Top Bottom