SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,076
- 75,427
Wewe mwenyewe ni zao la ombaomba ndiyo maana humjui babako halisiWaislam ni ombaomba sana
Wewe mwenyewe ni zao la ombaomba ndiyo maana humjui babako halisiWaislam ni ombaomba sana
Funza wameshafanya yaoSukuma gang hamtaki kabisa kukubali kuwa jamaa hayupo tena. Aongelewe asiongelewe haisaidii kitu
Shetani haachwi kutajwa hata kwenye nyumba za ibada nk.Wataalam wa siasa mnisaidie kunielewesha. Kwa nini kila kona ya nchi mtu anayeongelewa sana kwenye mijadala ni Magufuli?
Mwanzoni nilijua ni ishu temporary kutokana amekufa akiwa madarakani, ila kila kukicha ni kama moto unaotambaa kwenye nyasi kavu zilizotandazwa.
Of course kuna upande unamsifu sana na kuna upande unamsema vibaya sana.
Swali langu kwa nini yeye na kuna wastaafu wengi tu na walifanya mambo mengi (mabaya na mazuri)?
Maana nnaona dalili ya kizazi cha sasa awa waliozaliwa kuanzia 1997 hapo kuendelea wanaanza kumtumia kama reference as tulivyofanya sisi watu wazima kwa Nyerere.
Mzalendo wa vipofu na viwete wa akili.Maono yake yalikuwa ya hali ya juu, watu wanayakumbuka. Hajawahi kutokea kiongozi "mzalendo" kama huyo.
Pia zipo familia za Saanane, Azory, Mawazo, Saguye, Lissu nk ambazo pengine kila asubuhi zinaomba Mola amuongezee kipigo huko alikoHapoi kwa sababu kuna Magufuli Bus Terminal, Magufuli Hostels, Magufuli Secondary School, Magufuli Bridge, Magufuli Town-Dodoma, Magufuli Legacy, na Magufuli policy
msoga gang
Jpm ndo alikuwa wa hivyo Sana na uchaguzi wa 2020 ungekuwa huru basi wabunge wa ccm wasingefika kumiUtendaji mbovu sana wa aliyepokea kijiti ndio sababu ya kutajwa kwake sana.
Chama chake kimekuwa cha hovyo zaidi hasa kwa upande wa uchumi na utawala bora kiasi cha viongozi wake wanaweza kukosa majibu ya maana kwenye dhiki za raia na kuwajibu waende Burundi na hakiwakemei. Ni kama vile chama kimejaa MAZOBA
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Jiwe alikuwa mtu wa hovyo Sana, ndio Maana akafa kibwege,Wataalam wa siasa mnisaidie kunielewesha. Kwa nini kila kona ya nchi mtu anayeongelewa sana kwenye mijadala ni Magufuli?
Mwanzoni nilijua ni ishu temporary kutokana amekufa akiwa madarakani, ila kila kukicha ni kama moto unaotambaa kwenye nyasi kavu zilizotandazwa.
Of course kuna upande unamsifu sana na kuna upande unamsema vibaya sana.
Swali langu kwa nini yeye na kuna wastaafu wengi tu na walifanya mambo mengi (mabaya na mazuri)?
Maana nnaona dalili ya kizazi cha sasa awa waliozaliwa kuanzia 1997 hapo kuendelea wanaanza kumtumia kama reference as tulivyofanya sisi watu wazima kwa Nyerere.
Uwanja wa ndege wa Chato Kwa sasa unatumika kuanikia MpungaWataalam wa siasa mnisaidie kunielewesha. Kwa nini kila kona ya nchi mtu anayeongelewa sana kwenye mijadala ni Magufuli?
Mwanzoni nilijua ni ishu temporary kutokana amekufa akiwa madarakani, ila kila kukicha ni kama moto unaotambaa kwenye nyasi kavu zilizotandazwa.
Of course kuna upande unamsifu sana na kuna upande unamsema vibaya sana.
Swali langu kwa nini yeye na kuna wastaafu wengi tu na walifanya mambo mengi (mabaya na mazuri)?
Maana nnaona dalili ya kizazi cha sasa awa waliozaliwa kuanzia 1997 hapo kuendelea wanaanza kumtumia kama reference as tulivyofanya sisi watu wazima kwa Nyerere.
Ibilisi haachwi kutajwa hata kwenye nyumba za ibadaWataalam wa siasa mnisaidie kunielewesha. Kwa nini kila kona ya nchi mtu anayeongelewa sana kwenye mijadala ni Magufuli?
Mwanzoni nilijua ni ishu temporary kutokana amekufa akiwa madarakani, ila kila kukicha ni kama moto unaotambaa kwenye nyasi kavu zilizotandazwa.
Of course kuna upande unamsifu sana na kuna upande unamsema vibaya sana.
Swali langu kwa nini yeye na kuna wastaafu wengi tu na walifanya mambo mengi (mabaya na mazuri)?
Maana nnaona dalili ya kizazi cha sasa awa waliozaliwa kuanzia 1997 hapo kuendelea wanaanza kumtumia kama reference as tulivyofanya sisi watu wazima kwa Nyerere.
Pia tusisahau kuwa hawezi kupoa Kwa Sababu anapigwa Kuni za Moto wa Hatari huko alikoHapoi kwa sababu kuna Magufuli Bus Terminal, Magufuli Hostels, Magufuli Secondary School, Magufuli Bridge, Magufuli Town-Dodoma, Magufuli Legacy, na Magufuli policy
Ni wewe unaye muongelea... alishapoa kitambo mbona...Wataalam wa siasa mnisaidie kunielewesha. Kwanini kila kona ya nchi mtu anayeongelewa sana kwenye mijadala ni Magufuli?
Mwanzoni nilijua ni ishu temporary kutokana amekufa akiwa madarakani, ila kila kukicha ni kama moto unaotambaa kwenye nyasi kavu zilizotandazwa.
Of course kuna upande unamsifu sana na kuna upande unamsema vibaya sana.
Swali langu kwa nini yeye na kuna wastaafu wengi tu na walifanya mambo mengi (mabaya na mazuri)?
Maana nnaona dalili ya kizazi cha sasa awa waliozaliwa kuanzia 1997 hapo kuendelea wanaanza kumtumia kama reference as tulivyofanya sisi watu wazima kwa Nyerere.
Fuvu litapasuka mkuu, hebu tafuta clip inayoonyesha ziara yake ya kwanza sikumoja tu baada ya kuingia madarakani alafu urudi usome tena posti yako.Magufuli ameacha nini? Ameacha wizi wa Tsh 2.4 Trilion, chuki dhidi ya upinzani, ubaguzi wa maendeleo kwa kupendelea Chato, umalaya kwa akina Jokate na Kairuki, matusi kwenye majukwaa, kuropoka, ubishi wa Corona mpaka imemuua, uuaji wa akina Ben Saanane na Azory Gwanda, utekaji wa akina MoDewji, maonezi kwa akina Eric Kabendera na Tito Magoti na dharau kwa wanawake tu.
Atakumbukwa kwa UDIKTETA, kukandamiza Demokrasia, Wizi wa uchaguzi Serikali za Mitaa 2019, wizi wa kura uchaguzi Mkuu 2020, kuvunja Katiba, kudhibiti Bunge na kuitishia Mahakama. Vilevile kuminya uhuru wa kujieleza na kuitishia vyombo vya habari.
Nani atanikamata leo nikisema Magufuli alikuwa muuaji? Hakuna kwa vile Rais SSH anakubali kukosolewa kwa misingi ya Sheria. Ila wapumbavu kama wewe wanafiriaalikuwa mtu wa maana
Aacha upotoshaji Mitume ndio wanatajwa sana kwenye nyumba za ibada NK.Shetani haachwi kutajwa hata kwenye nyumba za ibada nk.
Pia zipo familia za mamilioni ya watanzania wakiwepo wajomba zako na nduguzako vijijini kwenu huko wanamuombea heri na raha ya milele huko mbinguni astarehe kwa amani.Pia zipo familia za Saanane, Azory, Mawazo, Saguye, Lissu nk ambazo pengine kila asubuhi zinaomba Mola amuongezee kipigo huko aliko
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Magufuli was controversial figure.
1.Alitangaza vita vya vyeti fake huku akilinda baadhi ya watumishi wakuu na idara nyingine wasiguswe.
2.Alihubiri kuangamiza rushwa lakini akiwaruhusu traffic police kupewa pesa za hongo alioiita pesa ya kupiga brush viatu.
3.Alianzisha elimu bure matokeo yake darasa la kwanza wanafunzi kwenye chumba kimmoja walijaa zaidi ya 200.
Hata pale vilipopatikana au kujenga vyumba vya madarasa hakuajiri walimu wapya kuendana na wingi wa madarasa.
4.Aliomba mkopo/msaada wa Elimu wenye thamani ya 400 million dollars uliokuwa na sharti ya kuruhusu waliozaa kurudi shuleni kuendelea na masomo,lakini ulipokuwa tiyari akauruka kimanga.
5.Akiwa waziri wa miundo mbinu wakati wa Jk,aliufagilia mradi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo,lakini alipoukwaa uraisi akaukana kabisa.
6.Alitumia pesa nyingi kujenga uzio wa kuzunguka eneo zima la madini ya Tanzanite huko Merelani ili kudhibiti utoroshaji wa madini hayo,kumbe wajanja wakachimba mahandaki kama ya wa Palestine ukanda wa Gaza,wakaendelea kutorosha madini hayo kwa njia za chini kwa chini.
7.Alihamia Dodoma kwa kuhamisha serikali yake na Taasisi mbali mbali tokea Dar kwa kile alichodai makao makuu ya nchi,lakini kwa nyakati mbali mbali akaifanya Chato kufanya shughuli mbali mbali za kitaifa hata kuliko Dodoma.
8.Hakupenda kukosolewa lakini yeye akiwakosoa waliomtangulia na viongozi wengine kwenye serikali yake.
9.Alikataa safari za kwenda nchi za nje za mbali akidai anapunguza matumizi kumbe alikuwa na kitufe Pacemaker chenye kurekebisha mapigo ya moyo ambacho kinaweza kuadhirika sana kwasababu ya mitambo ya electronic ya ndege.
10.Tuliambiwa tunadai ushuru wa makanikia sh 360 trillion tukaambuli sh 700 billion hata trillioni mmoja haijafika.
Kibaya zaidi Barrick waliitoa pesa hiyo kwa awamu wakisema ni msaada wa maendeleo wala si kodi ya makanikia hawadaiwi.
11.Alituhamasisha ataleta maendeleo kwa wananchi wote, kuwa hajali mwananchi anatokea chama gani lakini wakati mwingine akidai kuwabomolea nyumba ambao hawakumchagua.
12.Takwimu za viwanda alivyodai 8000 vimejengwa wakati wa utawala wake haikuwa sahihi.
Sijui kuna ibada itapita bila shetani kutajwa!!Wataalam wa siasa mnisaidie kunielewesha. Kwanini kila kona ya nchi mtu anayeongelewa sana kwenye mijadala ni Magufuli?