Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,764
- 29,280
Ila wewe ndiyo una RUKSA ya kutumia miguvu kumpamba marehemu ambaye hayupo?? Wewe Liwagu una akili ya pwagu kabisa. Wewe unatumia nguvu kumsifia miradi halafu unasema Mimi nisitumie nguvu kusema maovu yake? NONSENSEHuna haja ya kutumia miguvu kupambana na marehemu sababu hayupo.
Miaka mi 5 tu imetosha kumuwekea magu kuwa kiongozi Bora wa mfano katika kupambana na umaskini, angalia miradi yote ya kimkakati akili zitakurudia.
Nasema kila mtu ashinde MECHI zake, wasomaji wataaamua siyo wewe