PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,444
- Thread starter
- #41
Aise mbona kama ananisema...
Aise mbona kama ananisema...
Aise mbona kama ananisema...
Najitaid kumjibu ila kuna muda dah!Mjibu hata kwa sehemu, sio unamkaushia hivyo asee, inauma sanaa, yaani text zoote hizo hujibu asee
Nimeumia kwa kweli
Mkuu haijakutokea ndio maana unaona kama nachezeaHahaha daah wewe unachezea penzi me nalilia penzi kwel maisha so fair ok
Naomba Mungu nisije kuwa na moyo kama wa huyo Dada. Hadi nimemuonea huruma.
Mimi haijalishi nakupenda sana, au laah.(kwanza siku hizi huwa sipendi zaidi ya kupretend).
Nikikutumia msg nasubiri ujibu ndiyo nitume nyingine, usipojibu ndiyo kwisha habari mpaka siku utakapoamua kujibu.

wengine tunatamani tupate mtu wa hivyo maana hawa tuliona nao ni money mongers tu..
..Dahwengine tunatamani tupate mtu wa hivyo maana hawa tuliona nao ni money mongers tu..
..
Amenimwenyezi mungu ajaalie binti yangu acje kufanyiwa hivi muda wake ukifika in sha allah!
Lakini wengine huwa hawaigizi.Aisee mimi sijui nikoje yaani mwanamke akijidai ananipenda sana ndo ANAANZA KUNITIBUA, huyo lazima tutaachana na kosa lake ni kunipenda.
Sana sana ntaona mapicha tu ananiigizia.
Kwanza hua naamini "real love never exist"
Sihitaji mwanamke kunipenda, nahitaji mwanamke aniheshimu behind my back hapo tutaenda sawa.
Kwenye maisha yangu niliwahi kupenda Mara moja tuu, na nahisi sitokuja kupenda kiukweli tena.Hahahaha, cute b omba usikutwe na huyu bwana pepsi
!ipo siku utalia na kusaga menoMimi nilivyoanza kumtongoza ilikuwa utani utani tu, sikudhani kama ataniganda hivyo, kiufupi nilimtani tu,
Hakuna kitu kibaya kama kumpa mtu nafasi ya kijifunza kukupenda. Ipo siku atarudia ujinga wake wa awali.Kama humpendi angalau basi usimuumize,tafuta peaceful way ya kukueleza
Otherwise jifunze kumpenda
Kuna mtu nilimpigia hakupokea na mim skumtafuta tena. Tunaenda mwezi wa pili sasa na silence mode.Sms kwa sms,call kwa call by I.M
mwenyezi mungu ajaalie binti yangu acje kufanyiwa hivi muda wake ukifika in sha allah!