Kwanini hatutengenezi barabara za zege tunakomaa na lami?

hapana pipa moja la lami ni laki tatu halitoshi hata nusu mita za barabara wakati kwa bei ya kiwandani unapata mifuko 80 ya cement inayotosha mita 12 za barabara, zege inakaa miaka 65 wakati hii lami ya nyanza rodi miaka 3 tunaanza kuziba mashimo na kuweka viraka
Biashara za watu hizi
 
Habari wanajamvi.

Leo napenda tupeane ushauri sisi wenye nchi. Kwa kipindi kirefu kumekuwa na uwekezaji wa miundombinu ya barabara kuu na za vitongoji ambazo zinajengwa kwa kiwango cha rami.

Ila kwa bahati mbaya rami hii huwa haidumu hata kidogo na huwa tunakumbwa na adha ya mashimo (potholes) karibuni kila kona ambayo hukua na kugeuka kuwa mashimo makubwa sana hatarishi kwa usalama wa raia na vyombo vyao.

Nimejiuliza kwann mataifa makubwa kama Marekani, barabara zao kubwa tena unakuta za line ya nne kwa nne au sita kwa sita zimejengwa kwa kiwango cha ZEGE.

Na unaambiwa hizi barabara zina life span ya minimum miaka 20 hadi 40 kinyume na za rami ambazo huwa ni 15 years maximum kabla hazijaanza kuwekwa viraka.

Kwanini serikali katika hizi barabara za vitongoji kusiwekwe tu kiwango cha zege tusahau hii changamoto ya mashimo ambayo sasa imekuwa ni kero maana kushughulikiwa ni hadi miaka ya kukaribia uchaguzi ndipo utaona vifusi vinawekwa.

Kwanini hatuwekezi katika barabara za zege?

Kwa wale ambao hamjawahi jua kuna barabara za zege nendeni mkatazame barabara za basi za mwendokasi mtajionea barabara ya zege ina muonekano gani pamoja na uimara wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna lami zilijengwa na mkoloni hadi Leo zipo shida ni uchakachuaji
 
Hapana kabisa, Tanzania tuna viwanda vya cement 13 na Tanzania ndio mzalishaji mkubwa wa cement Africa, pipa moja la lami ni Zaidi ya laki tatu, ambalo halitoshi hata 1/2 mita za barabara wakati kwa bei ya kiwandani laki tatu unapata mifuko 80 inayotosha mita 12 za barabara ya zege, lakini tukitumia zege tutakuwa tumeokoa fedha za kigeni na kuongeza soko kwa cement yetu.
Una hakika na data zako ndugu? Hasa hapo kwenye uzalishaji wa saruji?
 
Hapana kabisa, Tanzania tuna viwanda vya cement 13 na Tanzania ndio mzalishaji mkubwa wa cement Africa, pipa moja la lami ni Zaidi ya laki tatu, ambalo halitoshi hata 1/2 mita za barabara wakati kwa bei ya kiwandani laki tatu unapata mifuko 80 inayotosha mita 12 za barabara ya zege, lakini tukitumia zege tutakuwa tumeokoa fedha za kigeni na kuongeza soko kwa cement yetu.

Hiyo si zege tu lazima kuwe na nondo ndani na nondo zinazofaa ni za nje!!!!!
 
Hata mimi baada ya kuiona barabara ya majichumvi - kilungule - kimara Korogwe namna ilivyojengwa kwa kutumia zege na nondo na uimara wake nilitamamni barabara zote za nchi zijengwe kwa njia hiyo kwani sitegemei kuona shimo ndani ya barabara hiyo kwa miaka 20 ijayo.

Ila itakuwa vizuri wataalamu watuambie gharama ya kuijenga hiyo barabara kwa ujumla ni kiasi gani na iwapo ingejengwa kwa lami ni kiasi gani ili tuweze kulinganisha gharama.

Pia tuchambuwe faida ya ziada kwa kujenga barabara zetu kwa zege kwa kupitia malighafi zinazozalishwa hapa nchini kama kokoto, simenti, nondo n.k.
 
Habari wanajamvi.

Leo napenda tupeane ushauri sisi wenye nchi. Kwa kipindi kirefu kumekuwa na uwekezaji wa miundombinu ya barabara kuu na za vitongoji ambazo zinajengwa kwa kiwango cha rami.

Ila kwa bahati mbaya rami hii huwa haidumu hata kidogo na huwa tunakumbwa na adha ya mashimo (potholes) karibuni kila kona ambayo hukua na kugeuka kuwa mashimo makubwa sana hatarishi kwa usalama wa raia na vyombo vyao.

Nimejiuliza kwann mataifa makubwa kama Marekani, barabara zao kubwa tena unakuta za line ya nne kwa nne au sita kwa sita zimejengwa kwa kiwango cha ZEGE.

Na unaambiwa hizi barabara zina life span ya minimum miaka 20 hadi 40 kinyume na za rami ambazo huwa ni 15 years maximum kabla hazijaanza kuwekwa viraka.

Kwanini serikali katika hizi barabara za vitongoji kusiwekwe tu kiwango cha zege tusahau hii changamoto ya mashimo ambayo sasa imekuwa ni kero maana kushughulikiwa ni hadi miaka ya kukaribia uchaguzi ndipo utaona vifusi vinawekwa.

Kwanini hatuwekezi katika barabara za zege?

Kwa wale ambao hamjawahi jua kuna barabara za zege nendeni mkatazame barabara za basi za mwendokasi mtajionea barabara ya zege ina muonekano gani pamoja na uimara wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona mitaa mingi sasa hivi ina barabara za zege?!
 
Barabara za zege ni gharama sana, kama hapa Tz barabara nyingi ni Surface dressing (cheap) na siyo asphalt mix.
Hafu Rigid pavements siyo nzuri katika magari na katika mwendo pia, gari zenyewe hapa Tz tunanunua zilizoachwa kutumika huko manchi yaliyoendelea,
Hebu fafanuka vema, yaani sio nzuri kwa namna gani kwa magari,

Na je kwako unaona ni vema tuwe tunatengeneza barabara kila wakati huku tukiingia gharama zaidi au kujenga barabara imara...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kifupi ujenzi wa barabara ya zege ni gharama sana ukilinganisha na hizi za lami tunazojenga hapa bongo, yaani
Kwa haraka haraka 5km za zege unaweza jenga 10km hadi 15km za lami yetu hii inayoweza kuishi miaka 10

Sent using Jamii Forums mobile app
So kitu kinachokaa miaka kumi halafu na bado hapo katikati tunarepair viraka kila wiki...... Unaona sio gaharama kwa upande wako?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapana pipa moja la lami ni laki tatu halitoshi hata nusu mita za barabara wakati kwa bei ya kiwandani unapata mifuko 80 ya cement inayotosha mita 12 za barabara, zege inakaa miaka 65 wakati hii lami ya nyanza rodi miaka 3 tunaanza kuziba mashimo na kuweka viraka
True

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia nyerere road jinsi ilivyo imara,ile layer ya chini ni zege..
 
Back
Top Bottom