Kwanini hatutengenezi barabara za zege tunakomaa na lami?

Na lami zenyew zinatifautiana viwango kwa mfano ila nimeona mwenyew excavator ikipita lazima iharibu hiyo lami ila kuna nyngne imejengwa mwaka jana wanaasema inaitwa super pave hii ni shida hairuhusu maji kuingingia kweny lami na inahimiri uzito wowotee. Mfano barbara ya iringa to igawa , njombe to makete hizi excavator unapishana nazo ila haziharbu hiizo barabara
 
Chama kitapata wapi pesa za kushonea sare ?

Kwa mfano barabara ya Dar - Moro - Iringa - Mbeya inajengwa tangu sijazaliwa , hadi leo nazeeka bado inajengwa tu , hata muda huu naandika haya bado inajengwa tu , kama siyo kitonga basi ni Ilula au Mafinga
 
Wakati duniani wanaanza kutengeneza barabara za kuvuna "solar energy" Sisi tunafikiria zege! Tazama...

Kwa kifupi ni cost ndicho tunacho kikwepa
Zege inahitaji pesa sana kulinganisha na rami

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mtaalamu niliyemsikiliza mimi, alisema kuwa zege na lami gharama zake hazipishani sana, na possibly lami iko juu kidogo kuliko zege kwa sababu ingredients zinazotumika kwenye zege, ni cement na kokoto, wakati kwenye lami cement na kokoto zinatumika pia, ukiongezea na lami yenyewe. Sasa kwa mtu mbaye ni layman kama mimi, mtu akishanipa muainisho wa aina hii, lazima tu nikubali kuwa lami ni gharama kuliko zege, na hasa muanibnisho ukiwa umetolewa na mtu ambaye ni mtaalamu. Unasemajhe katika hili? Bado sikubaliana na wewe kuwa zege ina ghrarama kuliko lami
 
Mtaalamu hakusema hivyo. Yeye alisema kuwa barabara nyingi zinajengwa kwa lami badala ya zege kwa sababu zege ina mitikisiko zaidi kuliko lami. By the way, wewe unadhani ni kwa nini wanatumia lami zaidi kuliko zege, wakati gharama za kujenga barabara kwa zege zinaweza kuwa ziko chini kidogo kuliko za barabara zilizojengwa kwa lami? Logic yake ni nini? Au wajenzi wa barabara wanapenda watumie hela nyingi zaidi kwenye miradi yao ili wafurahi?
1585595859548.png

Why Concrete?
Durability and maintenance free life
Concrete roads have a rated service life of twenty five to thirty years (more in reality), whereas asphalt roads theo- cratically last for ten years at the most.

Frequent repair and associated costs
Concrete road do not require frequent repair or patching work like asphalt roads.

Vehicles consume less fuel
Vehicles on concrete roads, consumes 15-20% less fuel than that on asphalt roads since, a concrete road does not get deflected under the wheels of loaded trucks.

Inert nature
Concrete roads do not get damaged by the leaking oils from the vehicles or by the extreme weather conditions like excess rain or extreme heat.

Greener construction process
Bitumen produces lots of highly polluting gases at the time of melting it for paving. Also, less fuel consumption by the vehicle running on a concrete road means less pollution.

Conserves natural resources
Bitumen is produced from imported petroleum, a non renewable resource. On the other hand, concrete (cement) is produced from abundantly available limestone. Precious foreign exchange is saved if we opt for concrete pavements.

Durability
Heavy rain and other extreme weather conditions damage the asphalt road, and the roads need to be repaired frequently.

Light reflectivity
Concrete reflects light better than the black coloured bitumen road. As a result the requirement for road lighting is reduced by half saving electrical energy and giving better visibility at night.

https://indiancementreview.com/News.aspx?nId=rxmkDX9ivLXkFndkRqJzQg==
 
View attachment 1404372

Bado nadhani hapa hatujaelewana vizuri, you are still evading the main theme of my question. Na kwa majibu haya, swali langu ndiyo unazidi kulipa nguvu zaidi. Kwa nini watu wanapendelea lami, wakati kulingana na majibu yako hapa, lami inaonekana ni gharama zaidi kuliko Zege? Kama Zege ni rahisi kwa maana ya durability, na kwamba haina matengenezo ya mara kwa mara, na zaidi kuwa ni imara zaidi kuliko lami, kwa nini watu wanapendelea lami wakati lami ina gharama kubwa?

Zaidi umenipa advantages za upande mmoja, hujanipa adbvantage za barabara ya lami ukilinganisha na ya zege. Au lami yenyewe haina advantages ukilinganisha na Zege? Maana haiwezekani kwamba Zege iwe na advantages over lami, lakini lami yenyewe ikawa haina kabisa advantages zake over Zege
 
Chama kitapata wapi pesa za kushonea sare ?

Kwa mfano barabara ya Dar - Moro - Iringa - Mbeya inajengwa tangu sijazaliwa , hadi leo nazeeka bado inajengwa tu , hata muda huu naandika haya bado inajengwa tu , kama siyo kitonga basi ni Ilula au Mafinga
Watakula wapi sasa
 
Bado nadhani hapa hatujaelewana vizuri, you are still evading the main theme of my question. Na kwa majibu haya, swali langu ndiyo unazidi kulipa nguvu zaidi. Kwa nini watu wanapendelea lami, wakati kulingana na majibu yako hapa, lami inaonekana ni gharama zaidi kuliko Zege? Kama Zege ni rahisi kwa maana ya durability, na kwamba haina matengenezo ya mara kwa mara, na zaidi kuwa ni imara zaidi kuliko lami, kwa nini watu wanapendelea lami wakati lami ina gharama kubwa?

Zaidi umenipa advantages za upande mmoja, hujanipa adbvantage za barabara ya lami ukilinganisha na ya zege. Au lami yenyewe haina advantages ukilinganisha na Zege? Maana haiwezekani kwamba Zege iwe na advantages over lami, lakini lami yenyewe ikawa haina kabisa advantages zake over Zege
Hatujengi kwa zege kwa sababu kuu mbili, kwanza hii Ni technology mpya, pili nimazoea tu kuwa barabara Ni za lami
 
Mtaalamu niliyemsikiliza mimi, alisema kuwa zege na lami gharama zake hazipishani sana, na possibly lami iko juu kidogo kuliko zege kwa sababu ingredients zinazotumika kwenye zege, ni cement na kokoto, wakati kwenye lami cement na kokoto zinatumika pia, ukiongezea na lami yenyewe. Sasa kwa mtu mbaye ni layman kama mimi, mtu akishanipa muainisho wa aina hii, lazima tu nikubali kuwa lami ni gharama kuliko zege, na hasa muanibnisho ukiwa umetolewa na mtu ambaye ni mtaalamu. Unasemajhe katika hili? Bado sikubaliana na wewe kuwa zege ina ghrarama kuliko lami
Tofautii ya hiii linganisha apo chinii usiseme kua zege ni cheap man
IMG_20200327_173259.jpeg
Screenshot_20200327-172849.jpeg
 
Mikocheni pale migombani chini kidogo ukishuka kama unatoka zantel kuelekea kwa kikwete,kuna barabara ya zege mchina mmoja aliweka pale ni kipande cha miguu 50 hivi,kiko mpaka Leo na hakija wahi hata kuweka shimo,ajabu sasa baada ya kile kipande kuna lami iliweka kila siku inatiwa viraka kama shakaza vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tatizo africa imelaaniwa ....
 
Mtaalamu hakusema hivyo. Yeye alisema kuwa barabara nyingi zinajengwa kwa lami badala ya zege kwa sababu zege ina mitikisiko zaidi kuliko lami. By the way, wewe unadhani ni kwa nini wanatumia lami zaidi kuliko zege, wakati gharama za kujenga barabara kwa zege zinaweza kuwa ziko chini kidogo kuliko za barabara zilizojengwa kwa lami? Logic yake ni nini? Au wajenzi wa barabara wanapenda watumie hela nyingi zaidi kwenye miradi yao ili wafurahi?
Usirudie kusema hiki kitu Mkuu..
 
Dubai wanatumia zege bara bara zao nzuri sana.
 
Kuna barabara za plastics kwanini..tuzisiweke nchini.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mtaalamu niliyemsikiliza mimi, alisema kuwa zege na lami gharama zake hazipishani sana, na possibly lami iko juu kidogo kuliko zege kwa sababu ingredients zinazotumika kwenye zege, ni cement na kokoto, wakati kwenye lami cement na kokoto zinatumika pia, ukiongezea na lami yenyewe. Sasa kwa mtu mbaye ni layman kama mimi, mtu akishanipa muainisho wa aina hii, lazima tu nikubali kuwa lami ni gharama kuliko zege, na hasa muanibnisho ukiwa umetolewa na mtu ambaye ni mtaalamu. Unasemajhe katika hili? Bado sikubaliana na wewe kuwa zege ina ghrarama kuliko lami

Zege linahitaji
1. Simenti
2. Nondo
3. Kokoto
4. Mchanga
5. Nailoni za kutandaza chini
 
Back
Top Bottom