Kwanini hatutengenezi barabara za zege tunakomaa na lami?

Samcezar

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
13,096
Reaction score
22,818
Habari wanajamvi.

Leo napenda tupeane ushauri sisi wenye nchi. Kwa kipindi kirefu kumekuwa na uwekezaji wa miundombinu ya barabara kuu na za vitongoji ambazo zinajengwa kwa kiwango cha lami.

Ila kwa bahati mbaya rami hii huwa haidumu hata kidogo na huwa tunakumbwa na adha ya mashimo (potholes) karibuni kila kona ambayo hukua na kugeuka kuwa mashimo makubwa sana hatarishi kwa usalama wa raia na vyombo vyao.

Nimejiuliza kwann mataifa makubwa kama Marekani, barabara zao kubwa tena unakuta za line ya nne kwa nne au sita kwa sita zimejengwa kwa kiwango cha ZEGE.

Na unaambiwa hizi barabara zina life span ya minimum miaka 20 hadi 40 kinyume na za lami ambazo huwa ni 15 years maximum kabla hazijaanza kuwekwa viraka.

Kwanini serikali katika hizi barabara za vitongoji kusiwekwe tu kiwango cha zege tusahau hii changamoto ya mashimo ambayo sasa imekuwa ni kero maana kushughulikiwa ni hadi miaka ya kukaribia uchaguzi ndipo utaona vifusi vinawekwa.

Kwanini hatuwekezi katika barabara za zege?

Kwa wale ambao hamjawahi jua kuna barabara za zege nendeni mkatazame barabara za basi za mwendokasi mtajionea barabara ya zege ina muonekano gani pamoja na uimara wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wanajamvi.

Leo napenda tupeane ushauri sisi wenye nchi. Kwa kipindi kirefu kumekuwa na uwekezaji wa miundombinu ya barabara kuu na za vitongoji ambazo zinajengwa kwa kiwango cha rami.

Ila kwa bahati mbaya rami hii huwa haidumu hata kidogo na huwa tunakumbwa na adha ya mashimo (potholes) karibuni kila kona ambayo hukua na kugeuka kuwa mashimo makubwa sana hatarishi kwa usalama wa raia na vyombo vyao.

Nimejiuliza kwann mataifa makubwa kama Marekani, barabara zao kubwa tena unakuta za line ya nne kwa nne au sita kwa sita zimejengwa kwa kiwango cha ZEGE.

Na unaambiwa hizi barabara zina life span ya minimum miaka 20 hadi 40 kinyume na za rami ambazo huwa ni 15 years maximum kabla hazijaanza kuwekwa viraka.

Gharama yake ni kubwa usipime,
 
Nimeshaziona barabara za zege tatu kwa mkoa wa Dsm
Moja inaanza kimara korogwe jirani na mwendo kasi inaeleka sehemu inaitwa Kilungule na nyingine mbili nimeziona Mwananyala

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia kipande cha barabara ya Mlima Kitonga ni zege, Kipande cha barabara ya Mlima wa LYAMBA LYA MFIPA ni Zege na ni uhakika haswaa
 
Habari wanajamvi.

Leo napenda tupeane ushauri sisi wenye nchi. Kwa kipindi kirefu kumekuwa na uwekezaji wa miundombinu ya barabara kuu na za vitongoji ambazo zinajengwa kwa kiwango cha rami.

Ila kwa bahati mbaya rami hii huwa haidumu hata kidogo na huwa tunakumbwa na adha ya mashimo (potholes) karibuni kila kona ambayo hukua na kugeuka kuwa mashimo makubwa sana hatarishi kwa usalama wa raia na vyombo vyao.

Nimejiuliza kwann mataifa makubwa kama Marekani, barabara zao kubwa tena unakuta za line ya nne kwa nne au sita kwa sita zimejengwa kwa kiwango cha ZEGE.

Na unaambiwa hizi barabara zina life span ya minimum miaka 20 hadi 40 kinyume na za rami ambazo huwa ni 15 years maximum kabla hazijaanza kuwekwa viraka.

Kwanini serikali katika hizi barabara za vitongoji kusiwekwe tu kiwango cha zege tusahau hii changamoto ya mashimo ambayo sasa imekuwa ni kero maana kushughulikiwa ni hadi miaka ya kukaribia uchaguzi ndipo utaona vifusi vinawekwa.

Kwanini hatuwekezi katika barabara za zege?

Kwa wale ambao hamjawahi jua kuna barabara za zege nendeni mkatazame barabara za basi za mwendokasi mtajionea barabara ya zege ina muonekano gani pamoja na uimara wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Barabara za zege ni gharama sana, kama hapa Tz barabara nyingi ni Surface dressing (cheap) na siyo asphalt mix.
Hafu Rigid pavements siyo nzuri katika magari na katika mwendo pia, gari zenyewe hapa Tz tunanunua zilizoachwa kutumika huko manchi yaliyoendelea,
 
Gharama ni kubwa sana hata hao USA na nchi nyingine zilizoendelea wana barabara nyingi za lami na bado wanaendelea kujenga. Hata hizi za lami zina viwango vyake pia kulingana na ubora kama mchangiaji mmoja hapo juu alivyofafanua. Hizi za mtaani nyingi wanakwepa gharama kwa kujenga kwa viwango vya chini.
 
Kwa kifupi ujenzi wa barabara ya zege ni gharama sana ukilinganisha na hizi za lami tunazojenga hapa bongo, yaani
Kwa haraka haraka 5km za zege unaweza jenga 10km hadi 15km za lami yetu hii inayoweza kuishi miaka 10

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mawe yote nchini yataisha nchi itabaki haina jiwe hata moja tukijenga barabara za nzege.Mawe tuliyonsyo machache
Nafikiri zipo za zege na za mawe,ukienda mitaa ya bugando Kuna barabara za mawe,hizi naona xitadumu hata miaka 100,tatizo gari ikiingia instetememeka kila kiungo ,miaka miwili tu gari limeshakuwa mkweche
 
Barabara ya zege lazima iwe na sababu ya kujengwa. Kwa hapa kwetu ni zile sehemu ambazo maji ya ardhini yanaharibu barabara ya lami.
Zege linatumika kwenye barabara ambazo kiwango cha magari yanayopita kwa siku ni mengi sana hivyo huweza kuhimili kutokuchoka mapema1
 
Gharama ni kubwa sana hata hao USA na nchi nyingine zilizoendelea wana barabara nyingi za lami na bado wanaendelea kujenga. Hata hizi za lami zina viwango vyake pia kulingana na ubora kama mchangiaji mmoja hapo juu alivyofafanua. Hizi za mtaani nyingi wanakwepa gharama kwa kujenga kwa viwango vya chini.
Hapana kabisa, Tanzania tuna viwanda vya cement 13 na Tanzania ndio mzalishaji mkubwa wa cement Africa, pipa moja la lami ni Zaidi ya laki tatu, ambalo halitoshi hata 1/2 mita za barabara wakati kwa bei ya kiwandani laki tatu unapata mifuko 80 inayotosha mita 12 za barabara ya zege, lakini tukitumia zege tutakuwa tumeokoa fedha za kigeni na kuongeza soko kwa cement yetu.
 
Kwa kifupi ujenzi wa barabara ya zege ni gharama sana ukilinganisha na hizi za lami tunazojenga hapa bongo, yaani
Kwa haraka haraka 5km za zege unaweza jenga 10km hadi 15km za lami yetu hii inayoweza kuishi miaka 10

Sent using Jamii Forums mobile app
hapana pipa moja la lami ni laki tatu halitoshi hata nusu mita za barabara wakati kwa bei ya kiwandani unapata mifuko 80 ya cement inayotosha mita 12 za barabara, zege inakaa miaka 65 wakati hii lami ya nyanza rodi miaka 3 tunaanza kuziba mashimo na kuweka viraka
 
Habari wanajamvi.

Leo napenda tupeane ushauri sisi wenye nchi. Kwa kipindi kirefu kumekuwa na uwekezaji wa miundombinu ya barabara kuu na za vitongoji ambazo zinajengwa kwa kiwango cha rami.

Ila kwa bahati mbaya rami hii huwa haidumu hata kidogo na huwa tunakumbwa na adha ya mashimo (potholes) karibuni kila kona ambayo hukua na kugeuka kuwa mashimo makubwa sana hatarishi kwa usalama wa raia na vyombo vyao.

Nimejiuliza kwann mataifa makubwa kama Marekani, barabara zao kubwa tena unakuta za line ya nne kwa nne au sita kwa sita zimejengwa kwa kiwango cha ZEGE.

Na unaambiwa hizi barabara zina life span ya minimum miaka 20 hadi 40 kinyume na za rami ambazo huwa ni 15 years maximum kabla hazijaanza kuwekwa viraka.

Kwanini serikali katika hizi barabara za vitongoji kusiwekwe tu kiwango cha zege tusahau hii changamoto ya mashimo ambayo sasa imekuwa ni kero maana kushughulikiwa ni hadi miaka ya kukaribia uchaguzi ndipo utaona vifusi vinawekwa.

Kwanini hatuwekezi katika barabara za zege?

Kwa wale ambao hamjawahi jua kuna barabara za zege nendeni mkatazame barabara za basi za mwendokasi mtajionea barabara ya zege ina muonekano gani pamoja na uimara wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila kitu ni dill wakitengeneza cha kudumu watakula wapi.
 
Back
Top Bottom