Kwanini hatutengenezi barabara za zege tunakomaa na lami?

Tairi za gari za mwendokasi haziwezi kuwa sawa na za gari zetu ndogo. Ubapa na ukubwa wa tairi una mchango katika kuficha mitikisiko. Ukitaka ujue vizuri zaidi, panda mwendokasi inayotembea kwenye lami, halafu ukapande tena mwendokasi inayoembea kwenye zege, hapo ndo utaweza kulinganisha vizuri. Usilinganishe kwa kuangalia gari ndogo inaytembea kwenye lami, na gari kubwa inayotembea kwenye zege. Ukifanya hivyo, kisayansi utakuwa unafanya makosa makubwa

Wewe jamaa nimefatilia comment zako naona unabisha tu pasipo kua na fact
Unapewa mifano unakataa iyo barabara ya mwendokasi inatumika sana na gari private usiku ni swala la kujaribu tu uchukue izo gari zenye tairi ndogo upite utapata matokeo binafsi nimeishapita sana izo barabara icho unachosema sijawai kukiona lakini pia sio kila kitu mtaalamu anachosema yuko sahihi ndo mana kuna disagreement of decision na inakubaliwa kabisa kama una detail za kutosha juu ya jambo fulani usipende shikilia kila kinachosemwa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ndugu yangu haya mambo mimi wala sijui kitu chochote, isipokuwa nilikuwa namnukuu mtaalamu ambaye niliwahi kumsikia akiongea kwenye media. Tukirudi tena sasa kwenye swali letu la msingi, je ni kwa nini basi wahandisi wanapendelea zaidi kujenga barabara kwa kutumia lami na si zege?
Hawa tunaowaita wataalamu ndio watu wanaotupiga hela kwa kutumia utaalamu.

Barabara ya zege ina uimara zaidi kuliko ya lami. Lami ina life span ya miaka 20+but ya zege ni life span ya 40+.

Kumbuka barabara kwetu sio anasa kusema tunakwepa gharama na tunajengewa vitu vya muda mfupi kiubora.....

Barabara inatakiwa kukaa muda mrefu sana ili ipunguze usumbufu wa service za mara kwa mara.

Barabara za zege ni imara sana katika makazi ya joto kali kwasababu wakati wa jua kali huwa hailainiki na kuharibiwa kirahisi na uzito wa magari.

Lami inawahi kuharibika ikipigwa na jua halafu mvua ikanyesha lazima mashimo yaanze. Na hata vile viraka wanazibia huwa havidumu vinakuwa ni vya muda tu kisha mashimo yanaanza upya.......

Ila hauwezi kukuta hii hali katika barabara ya zege miaka yote.....

Hawa jamaa wanaojiita wataalamu wanafanya hivi ili kampuni zao zipewe tena tenda ya viraka au kujenga upya barabara kila baada ya muda mfupi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa nimefatilia comment zako naona unabisha tu pasipo kua na fact
Unapewa mifano unakataa iyo barabara ya mwendokasi inatumika sana na gari private usiku ni swala la kujaribu tu uchukue izo gari zenye tairi ndogo upite utapata matokeo binafsi nimeishapita sana izo barabara icho unachosema sijawai kukiona lakini pia sio kila kitu mtaalamu anachosema yuko sahihi ndo mana kuna disagreement of decision na inakubaliwa kabisa kama una detail za kutosha juu ya jambo fulani usipende shikilia kila kinachosemwa

Sent from my iPhone using JamiiForums
Okay sawa nakubaliana na wewe, ila inabidi sasa turudi tena kwenye swali letu la msingi;kwamba kama Zege ina advantage juu ya Lami, kinachopelekea sasa barabara zinajengwa kwa Lami na si Zege nini? Tatizo mjadala wetu unajikita kwenye sababu za kitaaalamu ambazo mpaka sasa bado hazijaweza kujibu swali hili la msingi. Mimi ninapotoa majibu yangu mnayakataa kisa tu siyo mtaalamu, na bila kutoa ya kwenu. Tupeni sasa na majibu yenu kwa nini Lami ni zaidi kuliko Zege
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Hawa tunaowaita wataalamu ndio watu wanaotupiga hela kwa kutumia utaalamu.

Barabara ya zege ina uimara zaidi kuliko ya lami. Lami ina life span ya miaka 20+but ya zege ni life span ya 40+.

Kumbuka barabara kwetu sio anasa kusema tunakwepa gharama na tunajengewa vitu vya muda mfupi kiubora.....

Barabara inatakiwa kukaa muda mrefu sana ili ipunguze usumbufu wa service za mara kwa mara.

Barabara za zege ni imara sana katika makazi ya joto kali kwasababu wakati wa jua kali huwa hailainiki na kuharibiwa kirahisi na uzito wa magari.

Lami inawahi kuharibika ikipigwa na jua halafu mvua ikanyesha lazima mashimo yaanze. Na hata vile viraka wanazibia huwa havidumu vinakuwa ni vya muda tu kisha mashimo yanaanza upya.......

Ila hauwezi kukuta hii hali katika barabara ya zege miaka yote.....

Hawa jamaa wanaojiita wataalamu wanafanya hivi ili kampuni zao zipewe tena tenda ya viraka au kujenga upya barabara kila baada ya muda mfupi.

Sent using Jamii Forums mobile app
JPM amekaa ujenzi kama Waziri karibia miaka 20. Sina shaka naye hata chembe ingekuwa hivyo hiki kitu lazima angefanya, lazima. Mbali na hivyo, wataalamu dunia nzima kwa nini wanajenga kwa lami? Ni upigaji wa dunia nzima, professionals walishakubalian kufanya hivyo dunia nzima?
 
Hii na barabara ya njombe ludewa ina zege km 50 gharama yake ni kubwa ukilinganisha na barabara za lami ntaleta gharama zake
IMG_20200326_103136.jpeg
IMG_20200326_103114.jpeg
FB_IMG_1585207321954.jpeg
 
Habari wanajamvi.

Leo napenda tupeane ushauri sisi wenye nchi. Kwa kipindi kirefu kumekuwa na uwekezaji wa miundombinu ya barabara kuu na za vitongoji ambazo zinajengwa kwa kiwango cha lami.

Ila kwa bahati mbaya rami hii huwa haidumu hata kidogo na huwa tunakumbwa na adha ya mashimo (potholes) karibuni kila kona ambayo hukua na kugeuka kuwa mashimo makubwa sana hatarishi kwa usalama wa raia na vyombo vyao.

Nimejiuliza kwann mataifa makubwa kama Marekani, barabara zao kubwa tena unakuta za line ya nne kwa nne au sita kwa sita zimejengwa kwa kiwango cha ZEGE.

Na unaambiwa hizi barabara zina life span ya minimum miaka 20 hadi 40 kinyume na za lami ambazo huwa ni 15 years maximum kabla hazijaanza kuwekwa viraka.

Kwanini serikali katika hizi barabara za vitongoji kusiwekwe tu kiwango cha zege tusahau hii changamoto ya mashimo ambayo sasa imekuwa ni kero maana kushughulikiwa ni hadi miaka ya kukaribia uchaguzi ndipo utaona vifusi vinawekwa.

Kwanini hatuwekezi katika barabara za zege?

Kwa wale ambao hamjawahi jua kuna barabara za zege nendeni mkatazame barabara za basi za mwendokasi mtajionea barabara ya zege ina muonekano gani pamoja na uimara wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Barabara ya zege ya kwanza nchini iko Mbagala Rangitatu Bias, ilijengwa na kampuni ya Bias wakati wa Rais Mwinyi kama barabara ya mfano kwa ubora wa zege, licha ya kupita malori mazito kwenda viwandani bandari kavu haina shimo hata moja.
 
Barabara za zege ni gharama sana, kama hapa Tz barabara nyingi ni Surface dressing (cheap) na siyo asphalt mix.
Hafu Rigid pavements siyo nzuri katika magari na katika mwendo pia, gari zenyewe hapa Tz tunanunua zilizoachwa kutumika huko manchi yaliyoendelea,
Umetumia vizuri taaluma yako japo sina uhakika kama hiyo ndiyo taaluma yako
 
Lifespan yake Ni miaka mingapi? Na lami ingetumia shs ngapi na Ingedumu kwa miaka mingapi?
Huwa inakaa miaka 20 kwa bara bara ya zege na pia lami zimetofautiana kutokana na teknolojia ya sasa
Screenshot_20200327-223221.jpeg
 
Okay sawa nakubaliana na wewe, ila inabidi sasa turudi tena kwenye swali letu la msingi;kwamba kama Zege ina advantage juu ya Lami, kinachopelekea sasa barabara zinajengwa kwa Lami na si Zege nini? Tatizo mjadala wetu unajikita kwenye sababu za kitaaalamu ambazo mpaka sasa bado hazijaweza kujibu swali hili la msingi. Mimi ninapotoa majibu yangu mnayakataa kisa tu siyo mtaalamu, na bila kutoa ya kwenu. Tupeni sasa na majibu yenu kwa nini Lami ni zaidi kuliko Zege

Kwa kifupi ni cost ndicho tunacho kikwepa
Zege inahitaji pesa sana kulinganisha na rami

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Akili zako kama sangu[emoji91]

Back
Top Bottom