Notorious_Marcc
JF-Expert Member
- Feb 16, 2024
- 2,599
- 6,130
Mfano wa mganga ndio umeona uko relevant na hii mada?Fundi hatengenezi gari anarekebisa matobo na kufunga nati zilizolegea.
Mganga yeye Pesa anakwambia anakufanyia mpango ili hali ana ndugu zake wamechoka mno na hawafanyii mpango.