Kwanini hatupendi kuwaomba ushauri watu masikini?

Kwanini hatupendi kuwaomba ushauri watu masikini?

Kama wasomi ndiyo suluhisho, mbona wengi wao wakishapata nafasi serikalini huwa sehemu ya matatizo badala ya suluhisho?
Wengi tukiwa nje ya mfumo kelele ni nyingi, tukiingia na sisi tunakuwa ni walewale; tatizo litakuwa ni nini?
 
Katika ukuaji wangu huu sijawahi kuona mtu yeyote yule akienda kuomba ushauri kwa maiskini.

Sababu kuu itakuwa ni nini?​
  • Tunawadharau,​
  • Hawana mawazo,​
  • Hawana dira,​
  • Ubongo wao haufanyi kazi au​
  • Sababu inaweza kuwa ipi?​
Ushauri wa maskini ni sawa na Wa.motivesheni spika
 
Najaribu kufikiria uhusiano wa masikini na mganga wa kienyeji, je ni lazima mganga wa kienyeji awe masikini?
Hilo swali nimekosa jibu kabisa

Lakini gumu zaidi inakuwaje Wasomi na viongozi pia wanaenda kwa mganga Asiekuwa na elimu ?

Huwa wanajionaje wanapoambiwa njoo nikuchanje chale anainama daa

Kweli Mungu anagawa riziki bila hesabu
Mtu analala kwenye nyumba ya nyasi anatembelewa na V8 😂😂
 
Teknolojia imebadilika, kuliko kwenda kuraruliwa ngozi ya mwili, tutaenda kwenye greenhouse kupata upako uliojaa.
 
Wale ni digital witch doctors, hawashiki nyembe, ni neno tu mambo yananyooka.​
Naona waganga wa kienyeji watawaroga sasa hawa maana sio kwa utajiri huo

Hivi wakitunishiana misuli ngoma hapo itakuwaje?

Hebu weka ukweli hapa 😜
 
Naona waganga wa kienyeji watawaroga sasa hawa maana sio kwa utajiri huo

Hivi wakitunishiana misuli ngoma hapo itakuwaje?

Hebu weka ukweli hapa 😜
Itategemea nguvu zao wamezipata kwa nani, muhimu kila mmoja asimuingilie mwingine, kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake.​
 
Back
Top Bottom