Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,082
- 62,001
- Thread starter
- #41
Unataka kusema nini? au wewe uko kundi gani?Wanapata ajali na matajiri hawapati ajali
Wanastress na matajiri hawana
Wanakufa na matajiri hawafi
Unataka kusema nini? au wewe uko kundi gani?Wanapata ajali na matajiri hawapati ajali
Wanastress na matajiri hawana
Wanakufa na matajiri hawafi
Maskini anapotoa ushauri, anashiriki hekima inayotokana na majaribu ya maisha halisi, sio tu nadharia.Okay.....sijajibu mada bali maswali yako.
Maskini akikupa ushauri anatofauti gani na Inspiration Speaker ambaye anakupa mbinu ambazo yeye hazijamsaidia?
Najaribu kufikiria uhusiano wa masikini na mganga wa kienyeji, je ni lazima mganga wa kienyeji awe masikini?Ila kwa waganga wa kienyeji mnaenda
Unakuta kijana kaendelea kimaisha ila wazazi wake ni masikini, lakini hawaulizi ushauri bali ataenda kwa mganga choka mbaya
Ni ubinafsi na upuuzi, umimi, majivuno, ujeuri na kiburi. Wakati baadhi ya wasomi ndiyo mafisadi wa kufa mtu, wezi, walaghai, matapeli, walanguzi, ovyo kwelikweliSababu kuu inaweza kuwa nini?
Amina🙌Mungu nifundishe kunyamaza
Uliona wapi mganga tajiri hata kama anatapeli watu hata siku moja uchumi wake haukuiNajaribu kufikiria uhusiano wa masikini na mganga wa kienyeji, je ni lazima mganga wa kienyeji awe masikini?
Si kila ushauri huleta faida, Maskini akikushauri hutapenda na hata ukifanikiwa utanyuti kudhani ni fedheha kumshukuru kwa ushauri wake ila ukiangukia pua ushauri wa Tajiri utaugulia maumivu kimya kimya kuhofia akikusikia atakufyekelea mbali 🤣Maskini ni kama Inspiration Speaker anashauri vitu ambavyo yeye mwenyewe hafanyi.
Au mganga anayekupa utajiri wakati Watoto wake ni maskini wa Kutupwa.
Labda wanaogopa tusije tukawaibia Mali zaoKatika ukuaji wangu huu sijawahi kuona mtu yeyote yule akienda kuomba ushauri kwa maiskini.
Sababu kuu itakuwa ni nini?
Tunawadharau, Hawana mawazo, Hawana dira, Ubongo wao haufanyi kazi au Sababu inaweza kuwa ipi?
Kwa nini wanakuwa wajuaji?Maskini wengi ujuaji mwingi
HahahaSi kila ushauri huleta faida, Maskini akikushauri hutapenda na hata ukifanikiwa utanyuti kudhani ni fedheha kumshukuru kwa ushauri wake ila ukiangukia pua ushauri wa Tajiri utaugulia maumivu kimya kimya kuhofia akikusikia atakufyekelea mbali 🤣
Kama kweli tunawapenda, kwa nini sasa hatuwabadilishi?Huu ni mtazamo wako, kwangu mimi kila mtu ana haki ya kusikilizwa bila kujali hali yake kifedha.
FafanuaKama kweli tunawapenda, kwa nini sasa hatuwabadilishi?
Ni kitu gani kinamfanya asiwe tajiri?Uliona wapi mganga tajiri hata kama anatapeli watu hata siku moja uchumi wake haukui
Ujumbe wa kibabe huu 😉Ni ubinafsi na upuuzi, umimi, majivuno, ujeuri na kiburi. Wakati baadhi ya wasomi ndiyo mafisadi wa kufa mtu, wezi, walaghai, matapeli, walanguzi, ovyo kwelikweli
Hatuwabadilishii maisha yaoFafanua
Sababu kuu ukitaka ushauri kwa masikini nae atataka helaKwa hiyo sababu kuu ya kutotaka ushauri wao ni nini?
HahahaSababu kuu ukitaka ushauri kwa masikini nae atataka hela
Badilisha mfumo mbovu wa uongozi na sera zisizowajibika zinazowazuia maskini kupata fursa za kweli za kubadilisha maisha yao.Hatuwabadilishii maisha yao
TrueBadilisha mfumo mbovu wa uongozi na sera zisizowajibika zinazowazuia maskini kupata fursa za kweli za kubadilisha maisha yao.