Kwanini Hatuna Watangazaji wa Kike wa Mpira Miguu?. Tanzania Alijitokeza Mmoja, Halima Mchuka, Leo ni Miaka 10 Toka Afariki, Kwanini Hana Mrithi?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,468
113,583
Wanaspoti

Kwanini sisi Tanzania hatuna watangazaji wa kike wa mpira wa miguu?. Tanzania alijitokeza mmoja, Sports Lady Halima Mchuka, leo ni kumbukumbu ya miaka 10 toka alipofariki, kwanini mpaka leo hujawahi kupata mrithi?.

Tujikumbushe enzi zake

Video kwa hisani ya Aboubakar Liongo.

Soma pia

na hapa hapa ni siku ya kifo chake, tarehe kama ya leo, miaka 10 iliyopita
 
Kwa Fujo DJ huyu legendary yupo bado?

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Pasco, siku hizi wanawake wamepiga hatua zaidi. Kuna wachambuzi wa soka wanawake ambao kimsingi wanaujua mpira wa miguu kuliko hata wanaume wengi wanavyoujua

Kuna marefarii wa kike wanachezesha hadi ligi kuu ya wanaume tena kwa weledi wa hali ya juu na mida si mrefu kutakua na makocha wa kike (kina Edna John) watakua wanafundisha wanaume!

Pale TBC yupo Jane John lakini yule dada ni kama ripota tu wa habari za michezo na hajui kuichambua soka inavyopaswa

Tunamkumbuka Halima Mchuka(Mungu Amrehemu) kama mfungua njia kwa wanawake wanaojihusisha na habari za michezo hasa soka. Lakini kwa sasa tuwapongeze. Wameweza
 
Mkuu Pasco, siku hizi wanawake wamepiga hatua zaidi. Kuna wachambuzi wa soka wanawake ambao kimsingi wanaujua mpira wa miguu kuliko hata wanaume wengi wanavyoujua

Tunamkumbuka Halima Mchuka(Mungu Amrehemu) kama mfungua njia kwa wanawake wanaojihusisha na habari za michezo hasa soka. Lakini kwa sasa tuwapongeze. Wameweza
Mkuu Sesten Zakazaka , Halima Mchuka ametimiza miaka 10 tangu afariki, kwanini mpaka leo, hakuna mtangazaji wa Kike wa Mpira wa miguu?.
P
 
Back
Top Bottom