Kwanini hakuna mtangazaji wa kiume?

atakuwa anapakuliwa maana taarbu lazima ujijambie jambie kwanza ndo wanatoa vicheko vyao vya kimbea mbea
 
Haya mambo yana ufundi waachie wenyewe...Taarabu ya redion inahitaji umama mwingi...waachie malkia wa nguvu segment zao hizo
 
Hii ni sawa na kuuliza, kwa nini porn huangaliwa sana bila sauti na bado watu wakainjoi??
 
Back
Top Bottom