ulimbukeni, unakuta mtu ameajiri wakati hana uwezo Wa kumlipa.
Umemaliza mkuuHizo familia zilizoendelea hawatumii mkaa kupika Wala masufuria dhaifu ya aluminum yanayopoteza mvuke.
Pia hawafui nguo kwa mikono, Wala hawaendi umbali mrefu kutafuta maji.
Usione maisha ya kwenye tv ya huko Ulaya ukafikiri ndio hivyohivyoNimekuwa nikitafakari kwa muda sasa.
Kwanini familia za waafrika bila dada wa kazi au housegirl mambo hayaendi?
Mke atalalamika, nyumba itakuwa chafu, chakula hakitaiva kwa wakati yaani mambo yote yatakuwa vurumai.
Lakini ukiangalia wenzetu walioendelea familia nyingi ni baba,mama na watoto na wote wanajituma katika majukumu yao.
Ni familia chache za matajiri sana wenye mansions ndio utakuta kuna maids.
Je ni uvivu?
Je ni kwasababu wanapatikana kwa bei chee?
Ni tabia zetu tu kupenda ubwanyenye?
Hizo familia zilizoendelea hawatumii mkaa kupika Wala masufuria dhaifu ya aluminum yanayopoteza mvuke.
Pia hawafui nguo kwa mikono, Wala hawaendi umbali mrefu kutafuta maji.
Wanaume wao wanajitoa kwenye kufanya kazi za familia,hata kikombe hatoi akinywa chai
Ulaya ukitaka maid unamlipa mshahara kama mfanyakazi wa serikali au sekta binafsi ana haki zote Hadi mafao,..so wachache wanamudu kuwaajiri...sio kama huku kwetu unamtupia ka hamsini flani kwa mwezi..
Usione maisha ya kwenye tv ya huko ulaya ukafikiri ndio hivyohivyo
Kwanza, wanao hao wafanyakazi (kama kweli wanaishi kwenye mamansions)
Pili, si kila tajiri wa huko ulaya anaishi katika majumba yenye nafasi wengi wanaishi kwenye apartment juu ghorofani, nafasi ni ndogo, wafanyakazi wao ni sale wa kuja na kuondoka
Tatu, maseries na muvi ni maseries na muvi sio maisha halisi ya huko
Huyo namsajili awe ndugu kabisaKabla hujaajiri mfanya kazi wa ndani Ulaya ni lazima uthibitishe una uwezo wa kumlipa kima cha chini na mshahara, utampa malipo yake kama kawaida akiwa mgonjwa, utampa likizo ya mwezi mmoja kwa mwaka yenye malipo. Shift itakua masaa nane na zaidi ya hapo umlipe over time. Atafanya kazi siku tano kwa wiki na weekend na usiku malipo yanaongezeka kwakua anafanya untisocial hours.