Nimekuwa nikitafakari kwa muda sasa.
Kwanini familia za waafrika bila dada wa kazi au housegirl mambo hayaendi? Mke atalalamika, nyumba itakuwa chafu, chakula hakitaiva kwa wakati yaani mambo yote yatakuwa vurumai.
Lakini ukiangalia wenzetu walioendelea familia nyingi ni baba, mama na watoto na wote wanajituma katika majukumu yao. Ni familia chache za matajiri sana wenye mansions ndio utakuta kuna maids.

- Je ni uvivu?
- Je ni kwasababu wanapatikana kwa bei chee?
- Ni tabia zetu tu kupenda ubwanyenye?