Nzi ni nyuki mjinga
JF-Expert Member
- Jan 13, 2020
- 1,073
- 1,569
😅😅😅😅😅😅[emoji16][emoji16][emoji16] hapo mwisho umemaliza
Basi huko mliachana kinafki. Au alitengeneza sababu tu.Wengine unakuta wameachana kwa wema tu ila akiona tu kapata mpenzi mpya chuki inaanza papo hapo
There is a.....Is a thin line between love and hate
Mm najiuliza kwa nn kwenye herufi zote itumiwe X au kwa kua mlikua mnaect ngono labda ibadilishwe hii herufi huenda ikakumbusha mema mengine ilaa hii inamaanisha mlikua mnafanya tu ngono hamna mawazo ya kimaendeleo ndo maana mnachukuiana mkiachana.I stand to be corrected maana sina experience na tukio kama hilo.Kuna x bado mnaongea
kuna x bado mnafanyana
kuna x ambae hamuongei kabisa
kuna x bado unamhonga/unapokea pesa kutoka kwake nk....
Hiyo namba mbili imetulia[emoji483], vipi na wewe unatumia sio?Kuna x bado mnaongea
kuna x bado mnafanyana
kuna x ambae hamuongei kabisa
kuna x bado unamhonga/unapokea pesa kutoka kwake nk....
[emoji777] Means it is cease and dead... Unataka nini kujua zaidiMm najiuliza kwa nn kwenye herufi zote itumiwe X au kwa kua mlikua mnaect ngono labda ibadilishwe hii herufi huenda ikakumbusha mema mengine ilaa hii inamaanisha mlikua mnafanya tu ngono hamna mawazo ya kimaendeleo ndo maana mnachukuiana mkiachana.I stand to be corrected maana sina experience na tukio kama hilo.
None of above can make such justification mmeachana muachane tu kila mtu aende njia yakeInategemea mliishije,mliachanaje na baada ya hapo ulimpata nani
Kuna watu wengine kuachana ni ngumuNone of above can make such justification mmeachana muachane tu kila mtu aende njia yake
Kama kawaida mkuu hamna namnaHiyo namba mbili imetulia[emoji483], vipi na wewe unatumia sio?
Tobaaaaaaàaaamimi nadhani ni kutokuelewa tu....unajua mtu ukimchukia...unaumia mwenyewe...mimi nililigundua hilo mapema hivyo sina muda wa kuwekeana kinyongo na mtu...sijawahi kugombana na ex wangu...nina msululu wa maex kama 30 hivi na wote nina mawasiliano nao...mmoja tu kati ya hao ndie aliniacha akanikatia laini yeye mwenyewe....ila sijagombana nae na ata tukionana nina imani nitachangamkiana nae labda yeye akatae kuchangamkiana na mimi...
N.B
CHUKI ukiihifadhi INAKUUMIZA mwenyewe