Kwanini DSTV ni ghali sana?

Kwanini DSTV ni ghali sana?

kwa ubora dstv ni bora tatizo ni bei tu za malipo ya mwezi ila wanamuonekano mzuri sana wana dekoda mbalimbali na utafurahi mwenyewe chaneli za uhakika kama ni mpenzi wa kuangalia tv autachoka
 
cha ajabu channel nyingi za dstv,hawa star times wanazo. Labda ni hiyo hakimiliki ya kuonyesha world cup tu!

Unajidanganya na ile Mtv na Bet tumia dstv uone kama utakuwa na hamu ya kuangalia tena hizo startimes, yani channel unazozisema wewe hata robo hazifikii ukilinganisha na zile zinazopatikana dstv. Channel nyingi za startimes. Zuku n.k ni za bure ambazo hata ukiwa na zile satelite dish na ukiwa mjanja utazipata zote kuliko kulipishwa kila mwezi wakati channel zenyewe kwenye dish ni free.
 
Kuna topic iliwahi kuwekwa humu juu ya gharama kubwa wanayotoza hawa DSTV kwa package zake. Nafikiri ni kwa kuwa hawana mshindani. Otherwise hizo gharama haziko justified. Kule North Africa na middle East wanatumia Eljazeera Sports siku hizi inaitwa "be in sports" malipo ni dola 12 kwa mwezi na wanaonyesha channel zile zile za mpira na michezo mingine. Kwa nini hapa kwetu iwe zaidi ya dola 70?

Tiba
 
Unallia nini kikla. Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake mbona hulalamiki bia maisha club inauzwa 5000 wakati kitaa ni 2500?? Kama huwezi hamia bongo muvi chanel jiunge library Mia 5 tu au hamia vibanda umiza ukishindwa kabisa uende baa sh 600 tu ya soda unaona mechi zootee

halafu utakuta watu kama wewe ndio mafukara haswaa hapa mjini.
 
DSTV ni level nyingine kabisa huwezi fananisha na vinga'muzi vingine aisee. Mfano Ukiwa na PVR EXPLORA aisee mkuu utajua nini nakwambia japo ndio hivyo kununua hiyo decoder na kufugiwa ni 1,000,0000 tsh na malipo ya mwezi kwa premium ni 159,000 tsh but uta enjoy sana na features zilizopo humo.

duh milioni? halafu kazini unaenda kuanzia saa moja asb unarudi saa mbili usiku unaangalia saa ngapi? duh kweli wenye nazo watabaki kuwa nazo ...mbura mie ote
 
duh milioni? halafu kazini unaenda kuanzia saa moja asb unarudi saa mbili usiku unaangalia saa ngapi? duh kweli wenye nazo watabaki kuwa nazo ...mbura mie ote

Ni kweli mkuu hatuna muda mwingi sana na TV but the least time that you get inatosha ku relax mind with something more comfortable. Besides you are not the only one watching TV there is the rest of the family pia.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Package zao zinalipwa kwa dola ila wao hubadilisha na kuzifanya zilipiwe kwa Tsh na hubadilika kila mwezi kutokana na rate ya sh yetu na kama ukiona mwezi huu imeongezeka kutoka na shilingi kuyumba. Premium package huwa ni $ 78

Mkuu sio kila mwezi ni kila siku..wanaangalia rate kila siku asubuhi kabla hawajafungua ofisi zao...ole wako ulipie online kwa rate ya jana ,huo usumbufu utakaoupata utajuta...usikute imepungua dola moja tu...system haina msamaha..na mpaka ufanikiwe kulipa iyo ilopungua na kupata channel utakuwa ushapiga simu sanaaa.
 
Kuna topic iliwahi kuwekwa humu juu ya gharama kubwa wanayotoza hawa DSTV kwa package zake. Nafikiri ni kwa kuwa hawana mshindani. Otherwise hizo gharama haziko justified. Kule North Africa na middle East wanatumia Eljazeera Sports siku hizi inaitwa "be in sports" malipo ni dola 12 kwa mwezi na wanaonyesha channel zile zile za mpira na michezo mingine. Kwa nini hapa kwetu iwe zaidi ya dola 70?

Tiba

Hili nalo neno

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
wezi tu hao maana walipokuwepo gtv walikosa haki ya kuonyesha ligi ya uingereza na jamaa wa gtv walionyesha kwa bei ya chini
GTV walikuwa Waingereza na wenzetu huwa wanathamini vtu vyakwao au watu wao kwanza!
 
huwa wanachangia kwenye ilani ya uchaguzi ya ccm
 
Unajidanganya na ile Mtv na Bet tumia dstv uone kama utakuwa na hamu ya kuangalia tena hizo startimes, yani channel unazozisema wewe hata robo hazifikii ukilinganisha na zile zinazopatikana dstv. Channel nyingi za startimes. Zuku n.k ni za bure ambazo hata ukiwa na zile satelite dish na ukiwa mjanja utazipata zote kuliko kulipishwa kila mwezi wakati channel zenyewe kwenye dish ni free.

Tunaomba tumegee na cc wengine huo ujanja Queen.
 
Hivi na ajira hizi na mifoleni ya bongo TV mnatazama saa ngapi, nilipe 159K while naangalia saa moja tu kwa siku!! NO WAY AZZAM YATOSHA !!!111QUOTE=Ngahekapahi;9846274]DSTV ni level nyingine kabisa huwezi fananisha na vinga'muzi vingine aisee. Mfano Ukiwa na PVR EXPLORA aisee mkuu utajua nini nakwambia japo ndio hivyo kununua hiyo decoder na kufugiwa ni 1,000,0000 tsh na malipo ya mwezi kwa premium ni 159,000 tsh but uta enjoy sana na features zilizopo humo.[/QUOTE]
 
cha ajabu channel nyingi za dstv,hawa star times wanazo. Labda ni hiyo hakimiliki ya kuonyesha world cup tu!

haaaah ndugu hapo unatupiga changa la macho...kama hizo channels zipo hazizid kumi....startimes hwana chaannel za dstv labda mtv,bet,e-africa,e-entertainment,discovery na nyinginezo
 
Back
Top Bottom