Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

Mhhhh...Hii wanaiita "synchronization"...lazima story ya Lissu na Dereva waziweke ziendane sawa...aisee...kuna uwalakini hapa...am smelling a rat!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wtf? Ulitaka polisi ndo wafanye naye hiyo "synchronization"? Au hujui kuwa washambuliaji nao wamejipanga na upande wao wa story.

Kwasababu Lissu hajafa, dereva mnaona ndo kama asset kubwa sana kwenu!
 
Hamuaminiki ninyi, hata kwa sekunde 1. Hapa dereva kabla ya kuwa suspect ni victim wa shambulizi pia, ni lazima apate matibabu kwanza, isitoshe ni ndugu wa karibu wa TL. Ninyi uvccm mbona mnatafuta cheap reasons kama hizo. Mmetoka ya shati mmekuja ya drv... This will not backfire, never.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipo sana kwenye masuala ya kisiasa lakini sioni kama ni tatizo kubwa yeye kwenda Nairobi haswa ukizingatia tayari Chadema waanamini kabisa tukio limefanywa na watu wa vyombo vya ulinzi wa nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kulikuwa na ulazima wa huyo dereva kutokuwepo nchini na kupata sehemu iliyotulia kama kenya kwa ajili ya usalama wake na kupata psychological treament kwa kile alichoshuhudia maana ni tukio la kutisha na la kwanza kutokea TZ
NAWAPONGEZA WALIOTOA MAWAZO YA HUYO DEREVA KUKIMBIZWA KENYA KWA KWEL WANA AKILI SANA
wasingefanya ivo inawezekana angeshatoweka duniani tayar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mheshimiwa Mbowe anasema eti dereva ameenda Nairobi kwa ajili ya kuwekwa sawa kisaikolojia. Kwa nini asingeojiwa kwanza ndio akaenda huko Nairobi. Kulikuwa kuna uharaka gani wakati yeye alikuwa mzima kabisa? Je hao wanasaikolojia hapa hawapo mpaka Nairobi? Au kwa usalama wake nae kama Lissu? Najaribu kuwaza tu wadau.

​


Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani ninyi shida yenu nini...?
 
Back
Top Bottom