Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

Hawa wahuni wamemtorosha mara ya kwanza tuliambiwa waliomsindikiza mgonjwa ni Mh,Mbowe,Mh Msigwa na mke wa Lissu sasa hv kaongezeka tena na dreva hahaaaaaaaaaaaa. Get well soon Tundu Lissu na pumzika kwa amani Chacha Zakayo Wangwe
Alikuwepo hospitali amepigwa na mapicha mlikuwa wapi kumuuliza? Ndio hata mie naunga mkono uamuzi wa kumpeleka kenya mlitaka mumuue sio?
 
Jiulize kwa nini hizo nguo hazijaenda hospitali?
Ndio akili yenu hii! Kwa hiyo unataka nguo ziende zenyewe hospitali, dereva aende mwenyewe polisi na mwisho mtasema hata hao watu wasijulikana waende wenyewe polisi.
 
Mie naamini kabisa dereva sio aliempiga lissu risasi,bali anaweza kusaidia kujua walianza kufuatiliwa tokea wapi,wakati anavamiwa alifanya nini kujiokoa n.k
Amsaidie muuaji kujua alikosea wapi akamkosa sio? Mbn alikuwepo pale hospital muda wote jwanini umuhimu wake umeonekana wakati keshaondoka kwenda kutibiwa?
 
hebu jaribu kuwaza mkuu.mimi nashinndwa kupata majibu. je gharama za huyu dereva za saikolojia nani anatoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Anything that can go wrong, will go wrong. Mwaka huu ccm lime buma.
Lissu ameshaanza kuongea na tahamaki dereva mshamkosa mumpangie aseme nini.
 
kuwa suspect sio eti yey ndio amempga bunduki. suspect maana yake ni kuhusika kwa namna moja au nyingine. hata ukituma message tu na kusema tumefika umehusika

Sent using Jamii Forums mobile app

Umeshajiuliza walinzi wa eneo hilo lote la makazi ya viongozi walikuwa wapi? Waliiruhusu vipi gari isiyojulikana kuingia eneo husika? Waliiruhusu vipi kutoka eneo husika? Na mengine zaidi ya hayo? Tuwaachie vyombo vya dola vije na majibu ndio tuyatafakari majibu yao
 
Dereva yupi simoni au Adamu[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mi nadhani Polisi ndo wenye makosa kwa kuchelewa kumuita dereva kituoni,kwani angetakiwa kuwa mtu wa kwanza kwa haraka Polisi kumuhoji ila kwakuwa jambo baya likiwapata wapinzani Polisi wanakuwa wazito kama wajawazito wamejikuta siku nzima imepita ndo wakatangaza kumtaka dereva aripoti Polisi...fuc off
 
Back
Top Bottom