Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

Mheshimiwa Mbowe anasema eti dereva ameenda Nairobi kwa ajili ya kuwekwa sawa kisaikolojia. Kwa nini asingeojiwa kwanza ndio akaenda huko Nairobi. Kulikuwa kuna uharaka gani wakati yeye alikuwa mzima kabisa? Je hao wanasaikolojia hapa hawapo mpaka Nairobi? Au kwa usalama wake nae kama Lissu? Najaribu kuwaza tu wadau.

​

Sent using Jamii Forums mobile app

kwanini dereva hakuhojiwa day one
 
Tatizo la mapimbi wa Lumumba ni elimu ndogo. Kama polisi wangekuwa na nia ya kuchunguza lile tukio dakika ile ile baada ya kutokea wangegeuza nyumbani kwa Lissu ni crime scene na kuanza Forensic investigation. Zile nguo za Lissu tusingeziona na dereva zimejaa damu kule hospital, wangezichukua wapelelezi. Ukiona dereva anatafutwa siku ya tatu na ndio shahidi namba moja ujue hakuna upelelezi ni just Cover Up. Huenda polisi walimtafuta kumuua wakamkosa
umeongea point ya maana sana.mimi nilitegemea siku ile ile waanze uchunguzi na kama ni kumtia nguvuni dereva ilitakiwa siku ile ile na si vinginevo
 
MTU kauliza swali tu..
Lkn cha kustaajabisha mamtu washaanza kutoa POVU..labda niwasaidie Mimi kumjibu huyo mleta mada hilo swali.
DEREVA AMEKIMBIZWA NAIROBI FASTA ILI AKAPANGILIWE STATEMENT JINSI YA KUONGEA NA KUJIBU MASWALI ATAKAYOHOJIWA NA JESHI LA POLISI...SIKU ZOTE KWENYE TUKIO AU AJALI YA BARABARANI IKITOKEA MTU WAKWANZA KUCHUKULIWA MAELEZO NI DEREVA..kama nimekosea kujibu naomba mnirekebishe..
NATAMANI NIMJIBU KUA NI MGONJWA LKN KAMA NAE NI MGONJWA ANGEONGOZANA NA MWENZAKE WKT AKISAFIRISHWA!!!!!

Sent from Calculator Phone vesion007
kwa Sababu wapangaji wa tukio ni wapumbavu mno kiasi ambacho walishindwa kupanga tangu mwanzo statements za dereva atakapohojiwa na polisi baada ya tukio..kwa hiyo ndo wamemnyakua sasa hivi wakammezeshe statements...
Na mimi nimemwongezea majibu.
 
haya naswali wa kujibu ni lissu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama haya maswali anatakiwa ayajibu Lisu wewe umepata wapi hiyo akili ya kusema kuwa dereva ni suspect kwamaa yeye ndo alimpeleka Lisu eneo la tukio? Ndo maana nikakusaidia kureason akili yako kuwa mahali pa tukio unapajua? je walifika hapo kwa matakwa ya dereva au boss?
 
Mheshimiwa Mbowe anasema eti dereva ameenda Nairobi kwa ajili ya kuwekwa sawa kisaikolojia. Kwa nini asingeojiwa kwanza ndio akaenda huko Nairobi. Kulikuwa kuna uharaka gani wakati yeye alikuwa mzima kabisa? Je hao wanasaikolojia hapa hawapo mpaka Nairobi? Au kwa usalama wake nae kama Lissu? Najaribu kuwaza tu wadau.

​

Sent using Jamii Forums mobile app

CHADEMA ni Genge la Mafia hilo..Wanajua wanachokifanya hao.....wanaitafuta huruma ya wananchi kupitia damu za watu.....washenzi tu hao!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona dalili zote za cover up badala ya investigation kufanyika
 
Chadema inawajua ccm sana..walishajua kuwa wakimuacha dereva angetishwa na polisi kuwa apotoshe uma...au wangemlazmisha afiche ukweli hata kwa rushwa...eko chadema kw kuwaza mbaliiiii...hiii ngoma tutaicheza na muuaji Bashite tutamtia kizuizini as soon as possible
 
Tatizo la mapimbi wa Lumumba ni elimu ndogo. Kama polisi wangekuwa na nia ya kuchunguza lile tukio dakika ile ile baada ya kutokea wangegeuza nyumbani kwa Lissu ni crime scene na kuanza Forensic investigation. Zile nguo za Lissu tusingeziona na dereva zimejaa damu kule hospital, wangezichukua wapelelezi. Ukiona dereva anatafutwa siku ya tatu na ndio shahidi namba moja ujue hakuna upelelezi ni just Cover Up. Huenda polisi walimtafuta kumuua wakamkosa

Umemaliza, sasa hivi naona dalili zote za kutaka kupoteza poteza hili na siyo uchunguzi kufanyika.
Bahati nzuri Lissu yupo hai.
 
Mheshimiwa Mbowe anasema eti dereva ameenda Nairobi kwa ajili ya kuwekwa sawa kisaikolojia. Kwa nini asingeojiwa kwanza ndio akaenda huko Nairobi. Kulikuwa kuna uharaka gani wakati yeye alikuwa mzima kabisa? Je hao wanasaikolojia hapa hawapo mpaka Nairobi? Au kwa usalama wake nae kama Lissu? Najaribu kuwaza tu wadau.

​

Sent using Jamii Forums mobile app

Kati ya watu bogus nadhani wewe ni bogus wa kiwango cha kimataifa. Nimepata mashaka na jinsia yako.
 
Mheshimiwa Mbowe anasema eti dereva ameenda Nairobi kwa ajili ya kuwekwa sawa kisaikolojia. Kwa nini asingeojiwa kwanza ndio akaenda huko Nairobi. Kulikuwa kuna uharaka gani wakati yeye alikuwa mzima kabisa? Je hao wanasaikolojia hapa hawapo mpaka Nairobi? Au kwa usalama wake nae kama Lissu? Najaribu kuwaza tu wadau.

​

Sent using Jamii Forums mobile app

Mulikuwa munataka abaki ili mupoteze ushahidi mapema
 
Mbona mnatumia nguvu kubwa sana kumsaka dereva wa Tundu Lisu badala ya kuwasaka "WatuWasioJulikana"..?
 
Tatizo la mapimbi wa Lumumba ni elimu ndogo. Kama polisi wangekuwa na nia ya kuchunguza lile tukio dakika ile ile baada ya kutokea wangegeuza nyumbani kwa Lissu ni crime scene na kuanza Forensic investigation. Zile nguo za Lissu tusingeziona na dereva zimejaa damu kule hospital, wangezichukua wapelelezi. Ukiona dereva anatafutwa siku ya tatu na ndio shahidi namba moja ujue hakuna upelelezi ni just Cover Up. Huenda polisi walimtafuta kumuua wakamkosa
Hizi akili tafuta wanalumumba duniani pote hutazipata.
 
Mheshimiwa Mbowe anasema eti dereva ameenda Nairobi kwa ajili ya kuwekwa sawa kisaikolojia. Kwa nini asingeojiwa kwanza ndio akaenda huko Nairobi. Kulikuwa kuna uharaka gani wakati yeye alikuwa mzima kabisa? Je hao wanasaikolojia hapa hawapo mpaka Nairobi? Au kwa usalama wake nae kama Lissu? Najaribu kuwaza tu wadau.

​

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani yeye ndiye alikuwa na Nissan nyeupe mpaka ahojiwe??au kwa nini hawakumuhoji aliyepigwa risasi??
 
Back
Top Bottom