KayScarpetta
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,251
- 776
Kulikuwa kuna uharaka gani wakati yeye alikuwa mzima kabisa?
Unapo conclude kuwa alikuwa mzima kabisa unamaanisha nini? Alikuwa ameshaonwa na daktari akasema ni mzima kabisa?
Kulikuwa kuna uharaka gani wakati yeye alikuwa mzima kabisa?
Hayo ndio maajabu yenyewe. Kama dereva tu ambaye ni mtu muhimu sana kwenye uchunguzi lakini polisi imewachukua siku tatu baada ya tukio ndio wanamuhitajiTatizo la mapimbi wa Lumumba ni elimu ndogo. Kama polisi wangekuwa na nia ya kuchunguza lile tukio dakika ile ile baada ya kutokea wangegeuza nyumbani kwa Lissu ni crime scene na kuanza Forensic investigation. Zile nguo za Lissu tusingeziona na dereva zimejaa damu kule hospital, wangezichukua wapelelezi. Ukiona dereva anatafutwa siku ya tatu na ndio shahidi namba moja ujue hakuna upelelezi ni just Cover Up. Huenda polisi walimtafuta kumuua wakamkosa
Mheshimiwa Mbowe anasema eti dereva ameenda Nairobi kwa ajili ya kuwekwa sawa kisaikolojia. Kwa nini asingeojiwa kwanza ndio akaenda huko Nairobi. Kulikuwa kuna uharaka gani wakati yeye alikuwa mzima kabisa? Je hao wanasaikolojia hapa hawapo mpaka Nairobi? Au kwa usalama wake nae kama Lissu? Najaribu kuwaza tu wadau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani nyie bana... hao polisi kama waliona dereve ni wa kuhojiwa kwanini hawakumchukua dereve pale kwenye scene of crime, kwanza kwa utaratibu wampeleke hospitali, alafu doctor akiwapa clearance wamuhoji?kwani kina mbowe hawakujua kama dereva wa lissu lazima atatakiwa kuhojiwa? je huyu dereva atawah kurudi au atarudi na mgonjwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Chaaaaa... mnatia aibu sanahebu jaribu kuwaza mkuu.mimi nashinndwa kupata majibu. je gharama za huyu dereva za saikolojia nani anatoa?
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa usalama wake kwani washambuliaji wake bado hawajakamatwaMheshimiwa Mbowe anasema eti dereva ameenda Nairobi kwa ajili ya kuwekwa sawa kisaikolojia. Kwa nini asingeojiwa kwanza ndio akaenda huko Nairobi. Kulikuwa kuna uharaka gani wakati yeye alikuwa mzima kabisa? Je hao wanasaikolojia hapa hawapo mpaka Nairobi? Au kwa usalama wake nae kama Lissu? Najaribu kuwaza tu wadau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo nchi yetu ina polisi wa ajabu mno, pamoja na kupata mafuzo ya kazi zao lakini huwa hawafanyi kitu chochote mpaka waelekezwe cha kufanya. Haingii akilini tatizo litokee lakini mtu muhimu katika uchunguzi aje kuhitajike baada ya siku kadhaa kupita, muda wote huo walikuwa wapi? . Inaonyesha kuna maagizo wamepewa sasa ndio wanayafuata.Hii forum yetu ingekuwa na watu kama kumi hivi wanaofikiri kama wewe kweli tungekuwa ni greater thinkers but waliowengi wamesoma ila hawajaelimika;hapo juu umeongea yote muhimu mno lile eneo lilitakiwa kuwa ni crime scene,sasa tuna polisi ambao hawana hata police tape za kuzuia wasiohusika kuingia kwenye eneo lile,ndio maana nchi yetu ni ya wateule wachache wanaopata sehemu kubwa ya pie ya taifa,huyu dereva kama yupo Nairobi lazima alipita through immigrations and customs kwa hiyo wahusika wanajua ila tuna watu hapa wanaropoka ovyo na kutia hasira,elewa kabla ya mtu kuvuka mpaka regardless of situation lazima uhamiaji na customs wahusike.
we ni mjinga waajabu sana swala la gharama anatoa nani Tena? Natoa mimi...unasemaje?hebu jaribu kuwaza mkuu.mimi nashinndwa kupata majibu. je gharama za huyu dereva za saikolojia nani anatoa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakikuwa wanamtafuta Adam huyu wa lisu sio Adam, afu mbn polisi wanamtafuta kupitia vyombo vya habari kwake hawapajui? Amempa mbowe nguo za lissu hadharani polisi walikuwepo kuzuia watu wasijae kujua hali ya mpendwa wao tu, lakini lisu akitumia vyombo vya habari kuwahabarisha kama anafuatiliwa mnasema afuate utaratibu aende polisi kutoa taarifa, sasa mmeshaambiwa yupo kenya kwa uzembe wenu wa kumuacha mpaka kaondoka mfuateni huko mkamuulize.Ndugu yangu acha ushabiki maandazi
Walimtafuta ijumaa kimyakimya wakashindwa kumuona thn wakabidi jumamosi wamtangaze ili ajisalimishe
Kuna tatizo hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mheshimiwa Mbowe anasema eti dereva ameenda Nairobi kwa ajili ya kuwekwa sawa kisaikolojia. Kwa nini asingeojiwa kwanza ndio akaenda huko Nairobi. Kulikuwa kuna uharaka gani wakati yeye alikuwa mzima kabisa? Je hao wanasaikolojia hapa hawapo mpaka Nairobi? Au kwa usalama wake nae kama Lissu? Najaribu kuwaza tu wadau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Lissu alimuona mpaka muuaji...tusubiri apone tu ukweli utajulikana...Umemaliza, sasa hivi naona dalili zote za kutaka kupoteza poteza hili na siyo uchunguzi kufanyika.
Bahati nzuri Lissu yupo hai.