Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,843
- 40,479
Hayo maswali muulize Rpc asiyejitambua Wa Dodoma na RCO wake. Tukio limetokea SAA 7 mchana mpaka SAA 12 jioni yaani masaa 5 baadaye shahidi muhimu hajahojiwa, kuanzia SAA 12 jioni hadi SAA 5 usiku helkopta inaondoka na mgonjwa kwenda Nairobi yaani masaa mengine 5 shahidi no. 1 hajahojiwa!! Siku 2 baadaye polisi sijui baada ya kuona upepo unatulia ndo wanamtafuta dereva. Yaani tangu tukio limetokea hawakuona umuhimu Wa maelezo yake au umuhimu Wa kumpa ulinzi kwa ajili ya usalama wake hadi baada ya siku 2?? Hivi angeachwa hapa na akafuatwa na WASIOJULIKANA (probability 90%), hao polisi Leo wangekuwa wanamtafuta nani awape maelezo? Msijitoe ufahamu, kitendo cha polisi kutomuhoji dereva ambaye ni shahidi muhimu Mara tu baada ya tukio kinatoa taswira kwamba; Aidha polisi wanawajua au polisi ndio "WATU WASIOJULIKANA".kwani kina mbowe hawakujua kama dereva wa lissu lazima atatakiwa kuhojiwa? je huyu dereva atawah kurudi au atarudi na mgonjwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
ACHA nikae KIMYA...!