Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

Tatizo la mapimbi wa Lumumba ni elimu ndogo. Kama polisi wangekuwa na nia ya kuchunguza lile tukio dakika ile ile baada ya kutokea wangegeuza nyumbani kwa Lissu ni crime scene na kuanza Forensic investigation. Zile nguo za Lissu tusingeziona na dereva zimejaa damu kule hospital, wangezichukua wapelelezi. Ukiona dereva anatafutwa siku ya tatu na ndio shahidi namba moja ujue hakuna upelelezi ni just Cover Up. Huenda polisi walimtafuta kumuua wakamkosa
Jiulize kwa nini hizo nguo hazijaenda hospitali?
 
Hili sakata ni kama Novel za CHASE,maana ni tata. Vyuo vya intelligence vipo wapi nipeleke mtt akasomee.
Get well soon comrade LISSU.
 
Hatakiwi kukosa majibu kama alivyokosa malya kipindi kile cha kwa Chacha akafanya bosi mkuu kuumbuka kwa kukutwa na hatia wakati yeye alikuwa anamtetea,hivyo huyu nae amekwenda kufundishwa majibu ili asiharibu.
 
Ndio basi tena ,kesi polisi watasema wansubiri dereva ndio waanze uchunguzi,wapiga dili chadema watasema hayupo sawa kwa kuhojiwa.
Muda utaenda,wabongobtutaaminishwa kuwa Jeshi Letu halijafanya lolote kufuatilia suala hili.
Niulize tu umevamiwa ,umepigwa risasi suala la kutipot polisi ni la wewe uliyevamiwa na sio lazima polisi wakutafute uje utoe maelezo.
Naomba Siasa usichukue mkondo wake.
 
Lissu anaongea na ana fahamu zake. Apigwe bunduki na dreva wake halafu asijue! Hivi umesikia alichoongea leo kuhusu waliotaka kumuua? Hebu peleka upumbavu wako mtaa wa Lumumba.
Msitufanye wajinga!huwezi amka toka kwenye dawa za usingizi (aneathesia)na kuongea maneno kama yale. ....si kweli!ndiyo maana mlimpeleka Nairobi ...mnajua angesema ukweli!na kitendo cha kumkimbiza dereva Nairobi kinatia mashaka na kuibua maswali mengi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kibao kitamgeukia. Subiri tuone.


Kitamgeukia kwa polisi kuutangazia umma kuwa mbali na kuliendesha gari la Mh.Lissu pia ndiye aliyekuwa anaiendesha Nissan Patrol nyeupe na ndiye aliyeshika silaha na kumshambulia Lissu?

Si dereva peke yake, hata Lissu akipata ahueni atahitajika kutoa maelezo juu ya kushambuliwa kwake,sasa kwa nini mtumie nguvu kubwa kumtaka dereva,au mnahisi atakuwa amewatambua katika uhalifu huo na mnataka kumdhuru ili kupoteza ushahidi?
 
MTU kauliza swali tu..
Lkn cha kustaajabisha mamtu washaanza kutoa POVU..labda niwasaidie Mimi kumjibu huyo mleta mada hilo swali.
DEREVA AMEKIMBIZWA NAIROBI FASTA ILI AKAPANGILIWE STATEMENT JINSI YA KUONGEA NA KUJIBU MASWALI ATAKAYOHOJIWA NA JESHI LA POLISI...SIKU ZOTE KWENYE TUKIO AU AJALI YA BARABARANI IKITOKEA MTU WAKWANZA KUCHUKULIWA MAELEZO NI DEREVA..kama nimekosea kujibu naomba mnirekebishe..
NATAMANI NIMJIBU KUA NI MGONJWA LKN KAMA NAE NI MGONJWA ANGEONGOZANA NA MWENZAKE WKT AKISAFIRISHWA!!!!!

Sent from Calculator Phone vesion007
Mnajitekenta mnacheka wenyewe. Kama wanahaja na dereva walingoja nini mpaka siku ya tatu? Tuambieni hao watu wasiojulikana ni kinanani, siyo mtafute cover up. Tunajua ninyi ndio wahusika wakuu, kila mtanzania mwenye akili timamu analijua hilo. Stupid Lumumba guys.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlitaka mumlazimishe dereva aseme kuwa cdm ndio wamepanga kumuua Lissu hapo mmeumia hahahaha tengenezeni move nyingine majuhaa nyinyi
We ni mbumbumbu wa maswala ya sheria...hata confession lazima iwe supported na ushahidi...leo wewe ukijitokeza ukasema ulimpiga risasi TL, bado mahakama itataka ushahidi...kama ushahidi ukikosekana, utaachiwa huru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mheshimiwa Mbowe anasema eti dereva ameenda Nairobi kwa ajili ya kuwekwa sawa kisaikolojia. Kwa nini asingeojiwa kwanza ndio akaenda huko Nairobi. Kulikuwa kuna uharaka gani wakati yeye alikuwa mzima kabisa? Je hao wanasaikolojia hapa hawapo mpaka Nairobi? Au kwa usalama wake nae kama Lissu? Najaribu kuwaza tu wadau.

​


Sent using Jamii Forums mobile app

kwa nini wasingemhoji siku ya tukio,wamesubiri siku zipite ndo wamhoji,mtu wa kwanza kumhoji alikuwa ni dereva....au ww ni mmoja wa watu wasiojulikana?
 
Naona juhudi kubwa ya Lumumba Fc kumdondoshea dereva jumba bovu! Hii kazi ingekua rahisi kama Lissu angekufa ila kama yupo hai hamuwezi nadhan Lissu mwenyewe ndio atamtetea huyo dogo
 
Back
Top Bottom