Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

Ni kwanini lakini, kwanini wamepeleka Nairobi? Labda kumkinga na assassin wale kwa sababu aliwatambua sura? Au naye kaenda fanyiwa oparesheni ya kutoa rasasi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mheshimiwa Mbowe anasema eti dereva ameenda Nairobi kwa ajili ya kuwekwa sawa kisaikolojia. Kwa nini asingeojiwa kwanza ndio akaenda huko Nairobi. Kulikuwa kuna uharaka gani wakati yeye alikuwa mzima kabisa? Je hao wanasaikolojia hapa hawapo mpaka Nairobi? Au kwa usalama wake nae kama Lissu? Najaribu kuwaza tu wadau.

​

Sent using Jamii Forums mobile app

Bila shaka wew ni miongon mwa watu wasiojulikanaa

Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
 
Mheshimiwa Mbowe anasema eti dereva ameenda Nairobi kwa ajili ya kuwekwa sawa kisaikolojia. Kwa nini asingeojiwa kwanza ndio akaenda huko Nairobi. Kulikuwa kuna uharaka gani wakati yeye alikuwa mzima kabisa? Je hao wanasaikolojia hapa hawapo mpaka Nairobi? Au kwa usalama wake nae kama Lissu? Najaribu kuwaza tu wadau.

​

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu kuwa na fikra ni dalili ya afya njema. Swali, umeambiwa ameonekana nyoka kichaka fulani, je utamtuma mwanao kuchanja kuni huko? Once biten, twice.......malizia
 
Tatizo la mapimbi wa Lumumba ni elimu ndogo. Kama polisi wangekuwa na nia ya kuchunguza lile tukio dakika ile ile baada ya kutokea wangegeuza nyumbani kwa Lissu ni crime scene na kuanza Forensic investigation. Zile nguo za Lissu tusingeziona na dereva zimejaa damu kule hospital, wangezichukua wapelelezi. Ukiona dereva anatafutwa siku ya tatu na ndio shahidi namba moja ujue hakuna upelelezi ni just Cover Up. Huenda polisi walimtafuta kumuua wakamkosa

Kama mlipuaji wa Olasiti Arusha-kafia mikononi mwa polisi. Mtekaji watoto kafia mikononi mwa polisi Arusha.

Yamkini, dereva naye angefia mikononi mwa polisi.

ANGALIZO: Siku zote ukimtambua jambazi kwenye tukio la ujambazi lazima uliwe na huyo jambazi uliyemtambua
!
 
MTU kauliza swali tu..
Lkn cha kustaajabisha mamtu washaanza kutoa POVU..labda niwasaidie Mimi kumjibu huyo mleta mada hilo swali.
DEREVA AMEKIMBIZWA NAIROBI FASTA ILI AKAPANGILIWE STATEMENT JINSI YA KUONGEA NA KUJIBU MASWALI ATAKAYOHOJIWA NA JESHI LA POLISI...SIKU ZOTE KWENYE TUKIO AU AJALI YA BARABARANI IKITOKEA MTU WAKWANZA KUCHUKULIWA MAELEZO NI DEREVA..kama nimekosea kujibu naomba mnirekebishe..
NATAMANI NIMJIBU KUA NI MGONJWA LKN KAMA NAE NI MGONJWA ANGEONGOZANA NA MWENZAKE WKT AKISAFIRISHWA!!!!!

Sent from Calculator Phone vesion007

KWA FIKRA ZANGU NAULIZA ,JEE ANGEPIGWA RISASI DEREVA TUU TENA KWA UPANDE WAKULIA .INGE KUAJE?
 
Ni amri ya polisi dereva aripoti tena kwa mujibu wa sheria za nchi. Mbowe kaongea kama yuko juu ya sheria. Hii nchi inahitaji maombi au arudi Kambarage.
 
Yaani hawataki polisi wafanye uchunguzi wanataka habari zote zipitie kwenye magazeti kwa kuwa wao ni watakatifu sana. Lord have mercy!
 
Wachukue jeshi la Kenya basi lije kufanya uchunguzi.
Huu muziki waliouanzisha tuombe Mungu tu. Sijui utachezwa vipi. Kama Tanzania haina usalama kwa Lisu atarudi vipi sasa.
 
Kwanini alienda dar na akazungumza na press na baada ya jeshi la polisi kumuhitaji atoe ushirikiano mbowe anasema yupo Nairobi mpaka apone wakati huo huo alisema awali anawaomba polisi wafanye uchunguzi huoni wanajaribu kuzuia uchunguzi usifanyike

Kila unapokaribia uchaguzi wa cdm lazima matukio yaje haya rejelea chacha wangwe ajali na sumu kwa zito kabwe
Tutaona mengi

sent from Korea kaskazini
 
nijuavyo mimi dereva wa lissu ndio first suspect. yaani ndio angekuwa mtu wa kwanza kuhojiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi kweli kweli - huu ukakasi wa MaCCM unaudhi sana- dereva alikuwepo Nao Dodoma muda wote - kwanini waingemhoji halafu kama kweli wanamhitaji kwanini wasimpigie simu ? Anayetafutwa ni Adam sio Dereva wa Lissu
 
sasa mtu anatibiwa saikolojia nairobi atapatikana kweli kwenye sim?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MTU kauliza swali tu..
Lkn cha kustaajabisha mamtu washaanza kutoa POVU..labda niwasaidie Mimi kumjibu huyo mleta mada hilo swali.
DEREVA AMEKIMBIZWA NAIROBI FASTA ILI AKAPANGILIWE STATEMENT JINSI YA KUONGEA NA KUJIBU MASWALI ATAKAYOHOJIWA NA JESHI LA POLISI...SIKU ZOTE KWENYE TUKIO AU AJALI YA BARABARANI IKITOKEA MTU WAKWANZA KUCHUKULIWA MAELEZO NI DEREVA..kama nimekosea kujibu naomba mnirekebishe..
NATAMANI NIMJIBU KUA NI MGONJWA LKN KAMA NAE NI MGONJWA ANGEONGOZANA NA MWENZAKE WKT AKISAFIRISHWA!!!!!

Sent from Calculator Phone vesion007
Mkuu uko sawa
Na tuwe na kumbukumbu
Chacha Wangwe alipofariki kwa ajari dreva wake alitoka salama
Mchungaj Mtikila alipofariki dreva wake alitoka salama lakini gari nyanganyanga!
Lisu amepata mvua ya risasai na ni Mungu tu kamfanyia miujiza ila dereva hana hata mchubuko
Akili kichwani, hata Ben Saanane mhhhh!
 
Acha ujinga,tukio lilitokea lini?Mbowe,lisu,dereva na wengine walienda lini Nairobi?Polisi walimwita dereva kuripoti polisi lini? Kwa nini dereva hakuchukuliwa na polisi siku ile ya tukio? Kutibiwa kisaikolojia:Ni kweli dereva angeweza kutibiwa hata hapa tanzania,lakini slazima ujiulize kuwa ni kwa nini lissu alipelekwa Nairobi?
 
Acha ujinga,tukio lilitokea lini?Mbowe,lisu,dereva na wengine walienda lini Nairobi?Polisi walimwita dereva kuripoti polisi lini? Kwa nini dereva hakuchukuliwa na polisi siku ile ya tukio? Kutibiwa kisaikolojia:Ni kweli dereva angeweza kutibiwa hata hapa tanzania,lakini ni lazima ujiulize kuwa ni kwa nini lissu alipelekwa Nairobi?
 
Sababu iliyosababisha Lissu apelekwe Nairobi ndiyo hiyohiyo iliyosababisha dereva pia apelekwe Nairobi.
 
Akimbizwe au Akimbiziwe Nairobi? Baada ya kukimbizwa Nairobi amekimbilia wapi sasa mkuu? Ili tukusaidie kumtafta...
 
Mkuu ongezea nyama kidogo.. Kwa nini wale wapiga risasi hawakumujeruhi hata kigodo? Kwanini ashuke ndipo wamimine risasi? Kwa nini wamimine risasi zote 30 bira hata kumtishia yeye hadi waondoke?
 
Sababu iliyosababisha Lissu apelekwe Nairobi ndiyo hiyohiyo iliyosababisha dereva pia apelekwe Nairobi.
Kwani Dereva alipigwa risasi kwamba nae anatibiwa. By the way mbona hatusikii akichangiwa hata senti.
Changanya na zako.
 
Mheshimiwa Mbowe anasema eti dereva ameenda Nairobi kwa ajili ya kuwekwa sawa kisaikolojia. Kwa nini asingeojiwa kwanza ndio akaenda huko Nairobi. Kulikuwa kuna uharaka gani wakati yeye alikuwa mzima kabisa? Je hao wanasaikolojia hapa hawapo mpaka Nairobi? Au kwa usalama wake nae kama Lissu? Najaribu kuwaza tu wadau.

​

Sent using Jamii Forums mobile app

French vipi?Akimbie kwa kosa gani hasa ?
 
Back
Top Bottom