Kwanini CHADEMA wanauchukia Mwenge wa Uhuru?

Hujui kitu. Kuzindua mradi hadi mwenge? Ina maana mwenge ukizimwa huwa hakuna miradi? Hivi wajua mwenge ukiwashwa hadi kuzimwa unatumia sh. ngapi ukimbizwa mikoa yote au ni wachache kupata posho.?

Na mbona nchi zingine hakuna mwenge? Zamani ilikuwa ni muhimu kwa kuwa mawasiliano yalikuwa magumu kupeleka ujumbe kwa wananchi kuhusu maendeleo na uzalendo. Dunia ya sasa KIBATALI hakina nafasi zaidi ya kukaa pale makumbusho!
 
Hapa kwenye mwenge,mmh mmh hapana siungi mkono hoja,coz hasara ni kubwa kuliko faida.NAUPINGA MWENGE,SIUKUBALI.
 
Hivi nani huwa anakagua mapato na matumizi ya shughuli za mwenge? Ni huyu huyu CAG tuliyenaye au masuala ya Mwenge ni off limit kwake?

mkuu Ofisi yetu haina mipaka ya kukagua,lakini kwny ili eneo huwa tunakagua level ya local gvt,we do very partial.ni wakati wa cag kufanya special audit ya mwenge.huu ni mgodi wa ccm.btw miradi ya mwenge huweka vizuri sna kwa hofu ya kuumbuka.ikikosekana tunazindua gest
 
Asante ndugu OKW BOBAN SUNZU kwa majibu yako mazuri na kwa kuniibia siri kuwa na wewe ni wa ile kabila ya NAO. Nitakuwa nikikuuliza masuala yanayohusu NAO mara kwa mara.
 
Jibu limejibiwa na Kabila01 japo hutaki kusikia na kasema hivi "Mie sio mwanachama wa chama chochote lakini napinga sana suala la mbio za mwenge. Wananchi wanajichanga wanajenga kadarasa kamoja, harafu unakuja kuzindua mwenge ambao ndani yake watu wamejilipa posho za 80,000 per day times 50 people. Bado wametumia magari waliyojaza mafuta pamoja na gharama za uchakavu. tunatumia milion 10 kwenda kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa choo cha shule? Kwa kweli tubadilike"
Na mimi naongezea, mbali na kuzindua mradi labda wa Zahanati iliyojengwa kwa michango ya wananchi na si serikali lakini mwenge unakuja unachangisha hao watu tena ili wazidue mradi wao, tuseme kwa uchache kila mtu kachanga 500, mfanya biashara 5000 zimepatikana katika kijiji hicho laki tano. Kwa hiyo wamekaribisha mwenge kuzindua zahanati yao kwa gharama za sh. 500000, sasa hao watu wazinduzi au wakimbiza mwenge nao wamelipwa posho ya kila siku 80000 watu 50 yaani (80000x50)+500000(michango ya kijiji)=4,5000,000, je wangemuita mkuu wa wilaya au mganga mkuu wa wilaya angekula hiyo milioni nne na nusu kwa siku moja? Sasa piga hesabu kuukimbiza nchi nzima ni mabilioni mangapi yameteketea. Ndio Chadema wanapinga ufisadi huo.
Nyongeza nyingine mwenge ni source ya ufusika na usambazaji wa ukimwi. Ukiangalia pale mwenge umelala yanayofanyika hapo Mungu tuhurumie, ni ulevi na kusambaza ukimwi tu.
Ningeendelea kukupa hasara za mwenge ila naona uchungu acha tu niishie hapo
Ni upotezaji wa muda na nguvu kazi maana badala ya watu kufanya kazi wako wanakimbiza mwenge tu
Hujajibu swali kwa nini chadema wanaupinga mwenge wa uhuru hata sababu wanazotoa hazina maana.
 
Mwenge ni mzigo kwa Taifa. Gharama ya kukumbiza mwenge ni kubwa sana kama itakavyokuwa kwa serikali 3!
 
chadema kama waliweza kumsapoti kagame watashindwa kupinga mwenge wa maendeleo na uhuru ambao umekuwa ni chachu ya maendeleo katika maeneo mengi.

njaaa hizi zinawafanya watu kujitoa ufahamu
 
haya ni madhara ya viroba na bangi eti nawe unakichwa au umebeba nazi tu.

Nyie maccm vichwa vimejaa maji mnafikiri kwa kutumia matumbo, Mwenge unamsaidia nini mwananchi watoto wake wanaketi sakafuni darasa la vumbi?
 
Jibu limejibiwa na Kabila01 japo hutaki kusikia na kasema hivi "Mie sio mwanachama wa chama chochote lakini napinga sana suala la mbio za mwenge. Wananchi wanajichanga wanajenga kadarasa kamoja, harafu unakuja kuzindua mwenge ambao ndani yake watu wamejilipa posho za 80,000 per day times 50 people. Bado wametumia magari waliyojaza mafuta pamoja na gharama za uchakavu. tunatumia milion 10 kwenda kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa choo cha shule? Kwa kweli tubadilike"
Na mimi naongezea, mbali na kuzindua mradi labda wa Zahanati iliyojengwa kwa michango ya wananchi na si serikali lakini mwenge unakuja unachangisha hao watu tena ili wazidue mradi wao, tuseme kwa uchache kila mtu kachanga 500, mfanya biashara 5000 zimepatikana katika kijiji hicho laki tano. Kwa hiyo wamekaribisha mwenge kuzindua zahanati yao kwa gharama za sh. 500000, sasa hao watu wazinduzi au wakimbiza mwenge nao wamelipwa posho ya kila siku 80000 watu 50 yaani (80000x50)+500000(michango ya kijiji)=4,5000,000, je wangemuita mkuu wa wilaya au mganga mkuu wa wilaya angekula hiyo milioni nne na nusu kwa siku moja? Sasa piga hesabu kuukimbiza nchi nzima ni mabilioni mangapi yameteketea. Ndio Chadema wanapinga ufisadi huo.
Nyongeza nyingine mwenge ni source ya ufusika na usambazaji wa ukimwi. Ukiangalia pale mwenge umelala yanayofanyika hapo Mungu tuhurumie, ni ulevi na kusambaza ukimwi tu.
Ningeendelea kukupa hasara za mwenge ila naona uchungu acha tu niishie hapo
Ni upotezaji wa muda na nguvu kazi maana badala ya watu kufanya kazi wako wanakimbiza mwenge tu

tarifa hizi uhakika wake ni upi,
chanzo chako ni nini huu ni uongo wa wazi data za kupika hizi.
 
chadema kama waliweza kumsapoti kagame watashindwa kupinga mwenge wa maendeleo na uhuru ambao umekuwa ni chachu ya maendeleo katika maeneo mengi.

CCM ndo wako makini? mbona mlimsapoti Uhuru Kenyatta na leo kawafutilia mbali!!!
 
Nyie maccm vichwa vimejaa maji mnafikiri kwa kutumia matumbo, Mwenge unamsaidia nini mwananchi watoto wake wanaketi sakafuni darasa la vumbi?

wanaotumia tumbo ni warafi kama wewe ulivyo mrafi unawaza tumbo tu.
 
Maneno mengi lakini ya maana ni mawili tu,
kunahaja ya chadema kuacha kuropoka kwa kupinga kila kitu badala yake ijikite kuendeleza jamii zaidi kuliko kupinga.

Baada ya kusoma comments zako nyingi nimegundua yafuatayo.

  • Wewe unahusika moja kwa moja na kunufaika na hizi Mbio za mwenge ndio maana hukubaliani na hoja za msingi za wachangiaji wengine wanaopinga
  • Umetumwa au kwa maksudi unatetea hizi mbio za mwenge ili uendelee kunufaika pasipokujali kama kuna gharama nyingi zinapotea ukilinganisha na Miradi inayozinduliwa.
  • Menge umepoteza maana yake halisi na hivyo ungekuwa sehemu ya utalii kwani hauleti TUMAINI, AMANI, HAUANGAZI NJE YA MIPAKA WALA KULETA HESHIMA tena badala yake unatumiwa tofauti na maazimio yake.
Hayto ni kwa uchache tu mengine nitarudi kuongezea ukipenda.
 
Piga hesabu ni kiasi gani kinatumika kwa shughuli hizo za mwenge, kisha linganisha na jumla ya thamani ya miradi ilyozinduliwa na mwenge, halafu utaona kama kuna maendeleo?
 
Baada ya kusoma comments zako nyingi nimegundua yafuatayo.

  • Wewe unahusika moja kwa moja na kunufaika na hizi Mbio za mwenge ndio maana hukubaliani na hoja za msingi za wachangiaji wengine wanaopinga
  • Umetumwa au kwa maksudi unatetea hizi mbio za mwenge ili uendelee kunufaika pasipokujali kama kuna gharama nyingi zinapotea ukilinganisha na Miradi inayozinduliwa.
  • Menge umepoteza maana yake halisi na hivyo ungekuwa sehemu ya utalii kwani hauleti TUMAINI, AMANI, HAUANGAZI NJE YA MIPAKA WALA KULETA HESHIMA tena badala yake unatumiwa tofauti na maazimio yake.
Hayto ni kwa uchache tu mengine nitarudi kuongezea ukipenda.

ngoja nikusaidie Mkuu
Simiyu yetu =Mwigulu Nchemba
 
wanaotumia tumbo ni warafi kama wewe ulivyo mrafi unawaza tumbo tu.

Nchi imefika hapa ilipo kwa kukosa watu makini serikalini na ndani ya chama cha maccm, mnafanana na ukoo wa panya
 
Back
Top Bottom