Kwanini CHADEMA wanauchukia Mwenge wa Uhuru?

Kwanini CHADEMA wanauchukia Mwenge wa Uhuru?

Hata mm nauchukia sana tu kwn michango yake haijawah kutolewa mapato na matumz.
 
Mwenye ule wimbo wa kusifia mwenge tuiouwa tunauimba auweke hapa, nahisi utatusaidia kidogo
 
Kwa mda mrefu sasa wabunge wa Chadema wamekuwa wakiendesha harakati za kupinga mwenge wa uhuru.

Najiuliza chadema wanachukia mwenge wa uhuru au wanachukia shughuri zinazofanywa na mbio za mwenge, Pengine wanadhani mwenge usipopita wao watazidi kuungwa mkono kwenye maeneo mengi.

Lakini imani yangu ni kuwa chadema wanapingana na maendeleo yanayozinduliwa na kufunguliwa wakati wa mbio za mwenge kwani wao ni wapinga maendeleo ili serikali ionekane haijafanya kitu,hizi siyo siasa bali ni kupotoka kwani siyo busara kupinga kila kitu.

tunapojadili hoja kama hii ni vizuri kuangalia maudhuii ya kuanzisha kwa mbio za mwenge baada tu ya kupata uhuru wetu. Nia ya mwalimu ilikuwa si ku zindua miradi bali kutokomeza unyonyaji, choyo, unyanyasaji, chuki kati ya mtu na mtu, kabila na kabila na dini na dini, kutokomeza rushwa na ufisadi miongoni mwa jamii na kuwatoa watu katika giza (ambaolo mkoloni alishindwa) kwa kuwapa elimu bora ili kila mtu aelewe potentiality yake na sasa dhana hii haipo . Kama tuna hittaji mbio za mwenge ziedelee lazima tukubaline ka taifa mwenge tuupe maudhui gani ili ulete tija iliyo kusudiwa
 
Wewe ulishaona wapi watu wanapinga kila kitu hata cha manufaa kama siyo kupoteza utashi wa kimaendeleo ni nini?,
tafuta hotuba yoyote ya kiongozi wa chadema hutasikia akihamasiasha au kupongeza maendeleo fulani.

Nina hamu ya kuona jibu la huyu jamaa. Nimejaribu kuvuta kumbukumbu nimeshindwa. Jamani mwageni hutuba tuzisome.
 
Hujui kitu. Kuzindua mradi hadi mwenge? Ina maana mwenge ukizimwa huwa hakuna miradi? Hivi wajua mwenge ukiwashwa hadi kuzimwa unatumia sh. ngapi ukimbizwa mikoa yote au ni wachache kupata posho.?[/QU

hata mimi sihitaji kutmia nguvu nyiiiingi,kusema HUJUI KITU,lala kwanza!! Kwa kifupi2,kukimbiza mwenge nchi nzima co chni ya bil 60. Posho,chakula,malazi,mafuta NUKTA. LALA KWANZA
 
Kwani menge unatoa hotuba za kupumbaza watu au kunakazi gani inayofanywa na mwenge ya kufunika watu wasijue kinachoondelea au umekurupuka kuchangia bila kujua msingi hoja yenyewe.

Unapoleta hoja inatakiwa usiwe na majibu yako kichwani. Na kama unayo inakuwa si hoja tena. Kwa kuwa niweshatambua una majibu yako basi amini hayo ndio sahii. Wakati wako utafika ambapo utajua siri gani imefichika kwenye mwenge. Kwa ushauri fanya utafit lakin usitumie jf kwani humu wengi wamejua siri ya mwenge kwa hyo utakuwa unapinga mawazo ya wenzio wakati inatakiwa utafakari kwa majibu yanayotolewa.
 
Kwa akili yako mwenge ndio unaoleta maendeleo basi utabaki hivyohivyo. Maendeleo yanaletwa na watu. Unadhani marekani wamekuwa na maendeleo kwa kukimbiza mwenge? Wewe utabaki na mawazo ya kizee mpaka ufe. Chadema wanakwenda na maendeleo ya kisasa sio kula hela za wananchi kwa kukimbiza kibatari kinachoishia kueneza ukimwi. CCM chama kikongwe kanataka kuleta maendeleo ya kileo kwa mbinu za kizamani
...leo wananchi wa Morogoro walikuwa wanalalamika kuwa "mwenge ulikolala' eneo lote lilikuwa limejaa kondomu zilizotumiki, zikizagaa kila sehemu ya eneo lao, pia wamelalamikia kuwa wengi waliolala kwenye mkesha huo ni wanafunzi.
 
Kwa mda mrefu sasa wabunge wa Chadema wamekuwa wakiendesha harakati za kupinga mwenge wa uhuru.

Najiuliza chadema wanachukia mwenge wa uhuru au wanachukia shughuri zinazofanywa na mbio za mwenge, Pengine wanadhani mwenge usipopita wao watazidi kuungwa mkono kwenye maeneo mengi.

Lakini imani yangu ni kuwa chadema wanapingana na maendeleo yanayozinduliwa na kufunguliwa wakati wa mbio za mwenge kwani wao ni wapinga maendeleo ili serikali ionekane haijafanya kitu,hizi siyo siasa bali ni kupotoka kwani siyo busara kupinga kila kitu.

kwani kuna haja ya kutumia nguvu nyingi kusema HUJUI KITU. Kwa kifupi gharama za kukimbiza mwenge nchi nzima co chini ya bil 60.. LALA KWANZA au KAOGE then tuje tuendlee na chadema
 
Hata mm nauchukia sana tu kwn michango yake haijawah kutolewa mapato na matumz.
Sehemu zote hapa nchini unajua mapato na matumizi yake,
kunawanasiasa wanachangisha watu majukwaani unajua hizo pesa zinavyotumika au uliwahi kusomeawa matumizi yake,
Pamoja na hayo yote mwenge unamanufaa makubwa kwa taifa pengine uelewa wako siyo mpana.
 
kwani kuna haja ya kutumia nguvu nyingi kusema HUJUI KITU. Kwa kifupi gharama za kukimbiza mwenge nchi nzima co chini ya bil 60.. LALA KWANZA au KAOGE then tuje tuendlee na chadema
Kumbe uko chadema ndiyo maana mawazo yako yamekaa kibavicha tu huna unachojua.
 
Siyo chadema tu, hakuna mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kushabikia ushenzi kama mwenge.
 
We jamaa acha ubishi! Ina maana hizo comment za wadau kukwambia hasara za Mwenge na kwa nini wanaupinga hauzioni? Au unataka comment nyingi na wewe uonekane umepost Jf?
Hujajibu swali kwa nini chadema wanaupinga mwenge wa uhuru hata sababu wanazotoa hazina maana.
 
Matusi ne sehemu ya maisha ya wanachadema unadhani ukitukana unabadili mantiki ya hoja si kweli,
chadema kumekuwa na desturi ya kupinga kila kitu lakini wao hawasemi watafanya nini pale wanapopinga kitu watu kama hawa sijui tuwape jina gani ambalo linawafaa kama siyo waharibifu wa maendeleo ya jamii yetu.[/QUOTE]

YOU ARE WRONG MR/MS NEW PRESIDENT!!...
The truth is that,matusi ni sehemu ya maisha ya wana CCM!!.."Ujinga" na "Upumbavu" hayo si matusi ndugu bali ni sifa zitokanazo na matokeo ya kufanya mambo na mipango ya kijinga na kipumbavu.Sasa hapo utamulaumu nani? Aliokuonesha matokeo ya matendo yako au wewe mwenyewe kwa matendo yako?.....Acheni kurusha lawama kwa CHADEMA, ni kupoteza muda wenu bure badala ya kutenda kwa nguvu na ari mpya kwa kuhakikisha kuwa mnatumia ipasavyo nyenzo zote mlizokabidhiwa na umma. Jitazameni ninyi wenyewe because always ACTIONS SPEAK LOUDER THAN WORDS!!

Kupinga kila kitu?? May be YES kwa sababu, na mimi nafikiri, lazima kipingwe kwa sbb you will never get anything good kwa SERA na MIPANGO mibovu na ya hovyo!!

Halafu umesema wao hawasemi watafanya nini kila wanapokosoa? Una uhakika kabisa?....Anyway, nikukumbushe na hasa kuhusu swala hili tunalojadili la "MBIO ZA MWENGE".....Chadema wako wazi sana kuhusu hii kitu "MWENGE WA UHURU" kwa sbb ni kitu kilchopitwa na wakati kwa sasa ni aina tu nyigine ya UFISADI,ni fedheha na adha tu kwa mwananchi.....wao km watachukua serikali wamesema utawekwa katika JUMBA LA MAKUMBUSHO kama zilivyo picha za Nyerere na waasisi wengine wa taifa hili!!

Na mimi hili naliunga mkono kwa asilimia 100. Na mwisho kabisa ni kuwa,ondoa dhana ya si kila anayekosoa serikali na CCM ni CHADEMA. Mfano ni mimi si mwanachadema kwa "kadi" ila naunga mkono sera na mipango yao mingi, nawa support kwa nguvu zote. Na kura yangu kuanzia kwa mwenye kitongoji hadi kwa Rais nitawapa!!

Na CCM na SERIKALI yao ni lazima tuwaseme na kuwakosoa kila siku kwa sababu SERA na MIPANGO yao ndiyo inayoathiri maisha yetu ya kila siku. Tatizo lao kubwa ni moja tu, si wasikivu,si waelewa na wanadhani kila wanachokianzisha wao si sahihi tu na yeyote anayepingana/kosoa ni adui yao.....NI CHADEMA, na hili ni KOSA KUBWA SANA!!!
 
unazindua miradi ya mil 5 unakimbiza mwenge kwa bil 5 , akili au matope ?
 
BY MONJA: Watanzania wenzangu ifike sehemu tutumie akili na fedha nyingi kwenye mambo ya msingi kama vile kujenga miundo mbinu,kujenga maabara ktk shule zetu za kata,kununulia vitendea kazi vya kilimo,kujenga viwanda,nk kuliko kutumia akili na fedha nyingi kwenye mambo ya kijinga kama haya ya mwenge. Mwenge umekuwa ni mradi wa mafisadi sasa,kwa kutumia mwenge miradi hewa imefunguliwa, miradi iliyo chini ya viwango ime zinduliwa kama vile zahanati imezinduliwa na kiongozi wa mbio za mwenge wakati ni msingi tu ndo ulijengwa mpaka leo haijaendelezwa,kufungulia mirdi ya kifisadi ya viongozi wa serikali na chama tawala(ccm) kama gests,gereji nk. Kwa hiyo mwenge hauna maana tena kwa tanzania hi maskini kiasi hichi.
 
Nyumba ya Sanaa unatakiwa uwe pale. Na kuingizwa ktk vitabu vya history na siasa kwa ajili ya kumbukumbu kwa baadae.
 
mkuu rais mpya wa cccm ukisoma comments za wadau kwenye huu uzi,umepata jibu la swali lako?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom