Ni ujinga ambao unataka kujengwa katika taifa hili, kwa watu wenye akili hawawezi kuchukia mwenge kwani imekuwa.ikihamasisha miradi mingi sana ya serikali na binafsi na michango yake ni ya hiyari na kila mwaka imekuwa ikibeba ujumbe maalum ktk kuhamasisha jambo fulani la kitaifa, watanzania mbinu zinazorumiwa na cdm kutaka kuingia madarakani ni za kuchungwa na kuogopwa sana maana wanatumia kila njia kuonyesha kila jambo linalofanywa na serikali halina maana, hata kuchangia maendeleo wao ni dhambi huku wao wamekuwa wakitembeza bakuli kila mkutano wao kuchangisha pesa ambazo hata matumizi yake hayana maelezo ya kutosha.
Mkuu umepinga nini na umekubari nini,sioni kama kuna gharama zozote za kuendesha mwenge ukilinganisha na faida zinazopatikana.
Hujajibu swali kwa nini chadema wanaupinga mwenge wa uhuru hata sababu wanazotoa hazina maana.

Na wewe pia ni Great thinker?Kwa mda mrefu sasa wabunge wa CHADEMA wamekuwa wakiendesha harakati za kupinga mwenge wa uhuru.
Najiuliza chadema wanachukia mwenge wa uhuru au wanachukia shughuri zinazofanywa na mbio za mwenge, Pengine wanadhani mwenge usipopita wao watazidi kuungwa mkono kwenye maeneo mengi.
Lakini imani yangu ni kuwa chadema wanapingana na maendeleo yanayozinduliwa na kufunguliwa wakati wa mbio za mwenge kwani wao ni wapinga maendeleo ili serikali ionekane haijafanya kitu,hizi siyo siasa bali ni kupotoka kwani siyo busara kupinga kila kitu.
We ni mtu wa ajabu sana ,pia wazazi wako wanakazi ya ziada. Pole sana ndugu kichwani mwako ziko negativeKwa mda mrefu sasa wabunge wa CHADEMA wamekuwa wakiendesha harakati za kupinga mwenge wa uhuru.
Najiuliza chadema wanachukia mwenge wa uhuru au wanachukia shughuri zinazofanywa na mbio za mwenge, Pengine wanadhani mwenge usipopita wao watazidi kuungwa mkono kwenye maeneo mengi.
Lakini imani yangu ni kuwa chadema wanapingana na maendeleo yanayozinduliwa na kufunguliwa wakati wa mbio za mwenge kwani wao ni wapinga maendeleo ili serikali ionekane haijafanya kitu,hizi siyo siasa bali ni kupotoka kwani siyo busara kupinga kila kitu.
Mwenge wa Uhuru, Uhuru upi ?Kwa mda mrefu sasa wabunge wa CHADEMA wamekuwa wakiendesha harakati za kupinga mwenge wa uhuru.
Najiuliza chadema wanachukia mwenge wa uhuru au wanachukia shughuri zinazofanywa na mbio za mwenge, Pengine wanadhani mwenge usipopita wao watazidi kuungwa mkono kwenye maeneo mengi.
Lakini imani yangu ni kuwa chadema wanapingana na maendeleo yanayozinduliwa na kufunguliwa wakati wa mbio za mwenge kwani wao ni wapinga maendeleo ili serikali ionekane haijafanya kitu,hizi siyo siasa bali ni kupotoka kwani siyo busara kupinga kila kitu.
hili liko wazi chadema ni wapinga maendeleo hatushangai kupinga maendeleo yanayofanywa na serikali.
Kwa mda mrefu sasa wabunge wa CHADEMA wamekuwa wakiendesha harakati za kupinga mwenge wa uhuru.
Najiuliza chadema wanachukia mwenge wa uhuru au wanachukia shughuri zinazofanywa na mbio za mwenge, Pengine wanadhani mwenge usipopita wao watazidi kuungwa mkono kwenye maeneo mengi.
Lakini imani yangu ni kuwa chadema wanapingana na maendeleo yanayozinduliwa na kufunguliwa wakati wa mbio za mwenge kwani wao ni wapinga maendeleo ili serikali ionekane haijafanya kitu,hizi siyo siasa bali ni kupotoka kwani siyo busara kupinga kila kitu.[/:ban: