Kwanini CHADEMA wanamwona Mbowe wa kipekee (exceptional)?

He has got his owner weakness but for more than two decade he has shown to posses very important leadership skills including the sense of humor, a comforter, and or with political tolerance.

na bila kusahau kuwasafisha baadhi ya mafisadi..
 
Uspesho wake ni huo ukada mtiifu wa ccm lakini anaisaidia chadema inazidi kupaa, we unaona ni kawaida hii?

kinapaa kwenda wap sasa mkuu? mbna ndo kwanza hamvuti wapya kutoka vyama vingine kama mwanzoni
 
Nawasalimu kwa jina la Lowassa

Hivi karibuni naona vijana wa CHADEMA wanamwagia sifa sana mzee baba Mbowe, naombeni mtuambie ni nini haswa kinachomfanya Mbowe apokee sifa zote hizo wakati kila mtu anajua ni kada mtiifu wa CCM.

Whats so special about him?
Nyie ni kinawafanya mwenyekiti wenu asiwaamini ,MPAKA kuchukua vijana waliopikwa na Chadema chini mwenyekiti Mbowe ili wamsaidie kazi,? Ya Mbowe waachie wanachama wa Chadema,
 
Nawasalimu kwa jina la Lowassa

Hivi karibuni naona vijana wa CHADEMA wanamwagia sifa sana mzee baba Mbowe, naombeni mtuambie ni nini haswa kinachomfanya Mbowe apokee sifa zote hizo wakati kila mtu anajua ni kada mtiifu wa CCM.

Whats so special about him?
Mbona sababu iko wazi tu; level yao ya uelewa mambo ni chini ya ile ya mbowe
 
Back
Top Bottom