Kwanini CHADEMA wanamwona Mbowe wa kipekee (exceptional)?

Kwanini CHADEMA wanamwona Mbowe wa kipekee (exceptional)?

Nyie ni kinawafanya mwenyekiti wenu asiwaamini ,MPAKA kuchukua vijana waliopikwa na Chadema chini mwenyekiti Mbowe ili wamsaidie kazi,? Ya Mbowe waachie wanachama wa Chadema,

Umeelewa swali lakini?
 
Nawasalimu kwa jina la Lowassa

Hivi karibuni naona vijana wa CHADEMA wanamwagia sifa sana mzee baba Mbowe, naombeni mtuambie ni nini haswa kinachomfanya Mbowe apokee sifa zote hizo wakati kila mtu anajua ni kada mtiifu wa CCM.

Whats so special about him?
KWANINI WEWE UMEAMUA KUPOST THREAD KUHUSU MBOWE???🤣🤣🤣😃
 
Nawasalimu kwa jina la Lowassa

Hivi karibuni naona vijana wa CHADEMA wanamwagia sifa sana mzee baba Mbowe, naombeni mtuambie ni nini haswa kinachomfanya Mbowe apokee sifa zote hizo wakati kila mtu anajua ni kada mtiifu wa CCM.

Whats so special about him?
Kwa sababubalishindana na shetani na akashinda
Ila shetani kafa
 
Khaaaaaaaa,Huyo mjuba achana nae.nasikia hata Uvccm wanatamani akawahutubie.

Nijue tu,aliwahi kukufanyia mini baya labda.
 
Kwa sababu anajua kung'ata na kupuliza han'gati tu Kama wengine.
 
Mataga vipi ukuu wa wilaya? Vijana wa mbowe wamejazana kwenye ukuu wa wilaya kina nasari kina msando. Nyie uvccm mnabwabwaja tu

vijana gan hao wa mbowe mkuu? mbna walihamia upande wa pili mda mrefu
 
mkuu mbna yeye anamtaja mama samia na ccm mda wote akishika mike
Kwa sababu ndyo Rais wa nchi. Umewahi kumsikia akimtaja Clatou Chota Chama? Mbowe n mwanasiasa ila hataji wasiohusika na uongoz wa nchi.
 
Kwa sababu ndyo Rais wa nchi. Umewahi kumsikia akimtaja Clatou Chota Chama? Mbowe n mwanasiasa ila hataji wasiohusika na uongoz wa nchi.

hata mm naweza nkamtaja raisi wa nchi kuanzia asubui mpaka jion lakini hainipi sifa yoyote kama ya mbowe. understood? kwahio jibu swali
 
Back
Top Bottom