Kwanini CHADEMA wanamwona Mbowe wa kipekee (exceptional)?

Nawasalimu kwa jina la Lowassa

Hivi karibuni naona vijana wa CHADEMA wanamwagia sifa sana mzee baba Mbowe, naombeni mtuambie ni nini haswa kinachomfanya Mbowe apokee sifa zote hizo wakati kila mtu anajua ni kada mtiifu wa CCM.

Whats so special about him?
KAULI CHONGANISHI!
 
Mbowe anawatisha sanaaa! Hamuishiwi maneno juu yake ama kweli lile ni JEMBE LIOGOPENI!

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom