Kwanini CHADEMA wanamwona Mbowe wa kipekee (exceptional)?

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
19,461
Reaction score
15,251
Nawasalimu kwa jina la Lowassa

Hivi karibuni naona vijana wa CHADEMA wanamwagia sifa sana mzee baba Mbowe, naombeni mtuambie ni nini haswa kinachomfanya Mbowe apokee sifa zote hizo wakati kila mtu anajua ni kada mtiifu wa CCM.

Whats so special about him?
 
Nawasalimu kwa jina la Lowassa!

Hivi karibuni naona vijana wa Chadema wanamwagia sifa sana mzee baba Mbowe, naombeni mtuambie ni nini haswa kinachomfanya Mbowe apokee sifa zote izo wakati kila mtu anajua ni kada mtiifu wa CCM.

Whats so special about him?
He has got his owner weakness but for more than two decade he has shown to posses very important leadership skills including the sense of humor, a comforter, and or with political tolerance.
 
Nawasalimu kwa jina la Lowassa!

Hivi karibuni naona vijana wa Chadema wanamwagia sifa sana mzee baba Mbowe, naombeni mtuambie ni nini haswa kinachomfanya Mbowe apokee sifa zote izo wakati kila mtu anajua ni kada mtiifu wa CCM.

Whats so special about him?
BAVICHA_&_CHASO_on_Instagram:_“Enzi_hizo_Lijuakali_hapajui_mjini._%0A%0ALeo_anamtukana_Mwe...jpg
Tutamtoa_Mkoloni_Mweusi_Soon_on_Instagram:_“Mwenyekiti_wa_Chadema_Taifa_akisalimiana_na_Waziri...jpg
No_Hate_No_Fear_on_Instagram:_“Uongozi_ni_kusikiliza.”%22_.jpg
FB_IMG_1589397986327.jpg
FB_IMG_1595009729173.jpg
 
Nawasalimu kwa jina la Lowassa!

Hivi karibuni naona vijana wa Chadema wanamwagia sifa sana mzee baba Mbowe, naombeni mtuambie ni nini haswa kinachomfanya Mbowe apokee sifa zote izo wakati kila mtu anajua ni kada mtiifu wa CCM.

Whats so special about him?
kada mtiifu wa ccm huwa anafilisiwa au kufungwa na watawala?
 
Nawasalimu kwa jina la Lowassa

Hivi karibuni naona vijana wa CHADEMA wanamwagia sifa sana mzee baba Mbowe, naombeni mtuambie ni nini haswa kinachomfanya Mbowe apokee sifa zote hizo wakati kila mtu anajua ni kada mtiifu wa CCM.

Whats so special about him?
Wafuasi wa wanasiasa wote hufanana, kama kwa hayati JPM nani angeweza kutofautiana naye?
 
Nawasalimu kwa jina la Lowassa

Hivi karibuni naona vijana wa CHADEMA wanamwagia sifa sana mzee baba Mbowe, naombeni mtuambie ni nini haswa kinachomfanya Mbowe apokee sifa zote hizo wakati kila mtu anajua ni kada mtiifu wa CCM.

Whats so special about him?
Ni kama ccm kwa mwendazake
 
Nawasalimu kwa jina la Lowassa

Hivi karibuni naona vijana wa CHADEMA wanamwagia sifa sana mzee baba Mbowe, naombeni mtuambie ni nini haswa kinachomfanya Mbowe apokee sifa zote hizo wakati kila mtu anajua ni kada mtiifu wa CCM.

Whats so special about him?
basi kuanzia leo tutaanza kukumwagia wewe sifa.
 
Nawasalimu kwa jina la Lowassa

Hivi karibuni naona vijana wa CHADEMA wanamwagia sifa sana mzee baba Mbowe, naombeni mtuambie ni nini haswa kinachomfanya Mbowe apokee sifa zote hizo wakati kila mtu anajua ni kada mtiifu wa CCM.

Whats so special about him?
Ni kwa sababu; Mbowe ni exceptional! Au nenda Kisongo ukamtembelee jambazi, utaje jina Mbowe, uone matokeo!!
 
Kwa uchache operation uhuru,haki na maendeleo umekuwa wimbo wa wa Tanzania wote ,wapenda haki na wasiopenda haki. Na kazi inaendelea. Hata vijana wa kijani tumejumuishwa.

hicho ndo kinawafanya mumwagie sifa?
 
Kwa sababu kila mtu ni wa kipekee
 
Back
Top Bottom