Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,052
- 12,906
Halafu CHADEMA wanajimaliza kisiasa kwa kanda ya ziwa tuonane 2025 CCM itapeta tena hawajui kucheza na siasa.Nimekuwa nikisikia hizi maneno ama uzushi wa maneno kua Hayati Magufuli ni mkabila, ana upendeleo wa Wasukuma, mara hili mara lile.
Uzushi huu umekuwa ukipigiwa chapuo na watu wa kanda moja lakini pia uzushi huu umebebwa na Chadema kama mojawapo ya tuhuma dhidi ya Magufuli...
Oya wewe sukuma gang unasemajeNimekuwa nikisikia hizi maneno ama uzushi wa maneno kua Hayati Magufuli ni mkabila, ana upendeleo wa Wasukuma, mara hili mara lile.
Uzushi huu umekuwa ukipigiwa chapuo na watu wa kanda moja lakini pia uzushi huu umebebwa na Chadema kama mojawapo ya tuhuma dhidi ya Magufuli...
Umefika shule za juu kidogo?Ni vema na wewe unae kanusha utuambie nafasi za kuteuliwa wasukuma wapo wangapi ili wasisingiziwe,kwa hiyo wewe huna tofauti na anaye walalamikia nyie sukuma gang
Kwa takwimu Watu wa Kanda ya ziwa ndio wanatoa mstakabali wa urais nchi hii kwa sababu ya wingi.Halafu CHADEMA wanajimaliza kisiasa kwa kanda ya ziwa tuonane 2025 CCM itapeta tena hawajui kucheza na siasa.
Wanasiasa lazima tuwe tunawa fact check mkuu, wasijiropokee tu.Usihangaike na wanasiasa Mkuu watakuchosha kichwa,wote ni wasaka tonge.
Na hilo ndilo tatizo kubwa la wasukuma UKABILA ndio maana namshukuru sana mungu kwa kutuondolea mkabila mkuuHalafu CDM wanajimaliza kisiasa kwa kanda ya ziwa tuonane 2025 CCM itapeta tena hawajui kucheza na siasa.
Huo ukabila wa Magufuli mbona mimi sikunufaika nao?
Hoja ya msingi sanaKwani tanzania inakadiriwa kuwa na watu wa ngapi?
Na je wasukuma ni asilimia ngapi ya wa tz?
Wewe utakaa milele,Na hilo ndilo tatizo kubwa la wasukuma UKABILA ndio maana namshukuru sana mungu kwa kutuondolea mkabila mkuu
Anaye ongelewa hapa ni magufuli dhidi ya tabia zake chafu alizo anza kupandikiza tanzania na bahati nzuri mungu kamuwahi sasa hayo ya kanda ya ziwa sijuu kukubalika yametokea wapi? Kwani hapa inasemwa kanda ya ziwa au magufuli?
Mkuu hebu njo hapa msikiti wa vioo kungeniTunaendelea kusubiri ili tujionee
Ni rahisi sana kuelewa machungu ya viongozi wa Chadema na wafuasi wake kufuatia kushindwa Uchaguzi wa mwaka 2015.Nimekuwa nikisikia hizi maneno ama uzushi wa maneno kua Hayati Magufuli ni mkabila, ana upendeleo wa Wasukuma, mara hili mara lile.
Uzushi huu umekuwa ukipigiwa chapuo na watu wa kanda moja lakini pia uzushi huu umebebwa na Chadema kama mojawapo ya tuhuma dhidi ya Magufuli.
Leo kwenye press, mwenyekiti wa Chadema Bw. Mbowe amesisitiza kwenye mabaya ya Hayati Magufuli kua alikua na upendeleo wa kindugu(neportism). Kwa maana kwamba Magufuli alijaza ndugu zake na jamaa zake kweye taasisi za serikali na vyombo vya dola kwa upendeleo wa undugu na ukabila.
Kwa Dunia hii ya teknolojia, nilitegemea Chadema na wenzake walete ushahidi wa numbers, mfano, Wakurugenzi wa Halmashauri wako 250, Wasukuma wako 80, ama wakurugenzi wa mashirika ya umma wako 200, wasukuma wako 100, ama wakuu wa vyuo vya serikali wako 50, wasukuma ama ndugu zake na Magufuli wako 20.
Ama nilitegemea Chadema waje na takwimu za mawaziri wako labda 30, wasukuma 12, labda majaji nchi nzima wako 100, wasukuma wako 40.
Wangekua na hizo statistics hapo unaweza kufanya analysis na ukasema kweli kuna ukabila na upendeleo ama kweli Magufuli alikua mkabila na mwenye upendeleo wa kindugu kwenye kutoa nafasi.
Nashindwa kuwaelewa Chadema, hoja ya ukabila na upendeleo wa Magufuli uko kwenye kitu gani? Kwa nini chama kama Chadema waamue kutunga uzushi kama huu usio na ushahidi wowote na waupigie debe hadi kwenye vyombo vya habari?
Kwa nini Chama mjikite kwenye kutunga na kusambaza uzushi kama huu?
CHADEMA, msisahau tunajua ukabila mlionao kwenye CHama, kuanzia mwenyekiti, katibu mkuu, mkurugenzi wa fedha, mkurugenzi wa itikadi na wakurugenzi wote kua wa kabila moja.
Nimekuwa nikisikia hizi maneno ama uzushi wa maneno kua Hayati Magufuli ni mkabila, ana upendeleo wa Wasukuma, mara hili mara lile.