Kwanini Chadema haiwalipi hawa?

Kwanini Chadema haiwalipi hawa?

Mgaya!

Hata huoni HAYA!. Hata kuandika Kilimanjaro hujui. Sio watano wanaotoka Kilimanjaro wewe. Maulidan Anna Komu(Toka Znz mgombea mwenza 2005 mkazi wa Zanzibar, mzaliwa wa Kwabijokha Zanzibar), Mhonga Saidi(Toka Kigoma). Halima Mdee(Mpare, Mwakilishi wa DSM, toka Jimbo la Ubungo). Lucy Owenya(Mchaga, Mwakilishi wa Kilimanjaro); Suzan Lyimo(Mchaga, Mkazi wa DSM, ameteuliwa kama mwakilishi wa Vyuo Vikuu. Mfanyakazi wa Miaka zaidi ya 10 UDSM). Grace Kiwelu(Mchaga, Mbunge wa Viti maalum term ya pili. Huyu wanachama wengi waliomba aendelee kutokana na mchango wake 2000-2005 hususani katika kujenga chama mikoani. Znz tuliunga mkono.).
Sasa we hujui hesabu? Hapa wachaga ni watano?

Na kwani uliambiwa kigezo cha kuteuliwa kilikuwa uchaga wao? Kwa hiyo unataka kusema kamati kuu iliyokuwa na watu wakigoma wengi kuliko kabila lingine ilipitisha vigezo vya kuwapendelea wachaga? Au kamati ya wazee iliyokuwa na wajumbe 5 mchaga akiwa mmoja tu ilipendelea wachaga? Au uongozi wa kitaifa, ambao mchaga ni mmoja tu. Wakati huo nakumbuka Zitto alikuwa mkurugenzi wa uchaguzi ndiye aliyehusika na kupitisha majina kama katibu wa kamati aliamua kupendelea wachagga? Au unataka kusema Zitto naye ni mchagga? Hebu muulizeni Zitto hapa kama aliamua kupendelea wachagga kama kigezo chake.

We haya tu

Asha

Asha,

Nadhani unamuongelea MkamaP hapo juu na sio Mgaya
 
Swali langu moja, Chadema ikianzisha miradi ya kuwaingizia pesa itakuwa kosa kisheria?
 
Utakimbia huku na kule lakini hoja iko palepale ya kwamba kigezo kikubwa cha kuchagua kilikua uchaga na ukilimanjaro.

Yani hadi DAR ikawakilishwa na mchaga ,duuuu

Wewe unajua maana ya ndoa au unavunga kua hujui Komu kaolewa na nani??

Acha kujifanya kiziwi kwa vitu vinavyoonekana.
Kama kweli nyie ni wawazi tajeni list ya wafanyakazi hapo makao makuu ili tuone UONGO wa WANGWE na tumkemee vilivyo.

Kwaza hilo la wabunge linatosha kabisa kudhihirisha uongo wa CHACHA, haiwezekani kabisa mikoa 26 watu watano kati ya sita watoke mkoa mmoja ,kama ingekua kura hapo ningekubali.Enzi zile mlijidai watu walikua hawajasoma leo hii kila sehemu huwezi kosa watu walioenda shule na badala yake mwaendekeze huo ukabila kwa kujidai kamati ilikua na watu wa kigoma .
 
Swali langu moja, Chadema ikianzisha miradi ya kuwaingizia pesa itakuwa kosa kisheria?

nope. As long as waanzishe kwa kufuata sheria.

I guess then wanahitaji kufikiria sana channel ya miradi ku-compliment michango ambayo inatokana na well wishers na michango ya kadi. Nimekumbuka kuwa CCM walikuwa na bendi ya Muziki au taarab TOT sina uhakika kama ilikuwa ni mradi wa kuingiza pesa au awareness na kutangaza sera za chama. Time is not very much against Chadema ila inabidi wa-move fast kidogo kama ni kuanzisha miradi au channel yoyote itakayo hakikisha kuwa kuna continuos income kuwezesha mambo ya chama kuendelea.
 
Asha,

Nadhani unamuongelea MkamaP hapo juu na sio Mgaya

Najua Najua anaongelea mimi lakini ningefanya kosa hilo mimi ungesikia mayowe ,nimekosea tu kuandika mkoa wao jamaa anacaptalize kwamba mie sijui nini yani hata kuandika huo mkoa(kilimanjaro) sijui.du Asha taratibu
 
Yameongewa mengi na sasa ni wakati wa matendo.

Wazalendo naona ni vyema tukakisaidia chama hiki.

Basi mwenye nacho kidogo tuanze kuchangia ili kukipa nguvu ya kupambana na kupigania haki.

Katika pita pita kwenye website ya chadema nimekutanana na haya:

Kama hutaweza kufika kwenye ofisi za CHADEMA basi tuma fedha katika akaunti zetu zifuatazo:

Akaunti ya "CHADEMA"

NBC Corporate Branch (Local currency) 011103010075
NBC Samora Branch (Foreign currency) 012105019310

au

Akaunti ya "Freeman A. Mbowe and W.P. Slaa"

NBC Corporate Branch (Local currency) 011101016268
NBC Corporate Branch (Foreign currency) 011105010534

Jambo muhimiu na la lazima ni kwamba ili kufanikisha lengo letu la kuimarisha utawala bora na maendeleo endelevu ya kuridhisha, hatuna budi kudumisha misaada hii. MwanaCHADEMA hakikisha kadi yako unailipia ada ya mwaka, na kama una uwezo changia tawi lako ili CHADEMA kiweze kununua makaratasi na mabango ya uenezi. Wewe mzalendo mwenye uwezo zaidi tupe mchango wa kweli utakaodhihirisha mapenzi yako kwa chama. Kila fedha itakayopokelewa CHADEMA itaambatana na stakabadhi yenye jina la mtoaji au jina la 'kificho' kama mtoaji atapendelea. Tunaelewa na tunaheshimu sababu zao wale wote wasiotaka majina yao yahusishwe na CHADEMA hadharani.

Hivyo ndivyo kuchangia kwa hali na mali. Tunaamini na kudhihirisha kwamba hii ndiyo nguvu ya Umma.

Changia CHADEMA! Changia Maendeleo endelevu!

Asanteni sana

Source🙁http://www.chadema.net/maoni/changia.php)
 
Swali langu moja, Chadema ikianzisha miradi ya kuwaingizia pesa itakuwa kosa kisheria?

Filosofia yao ni kwamba wao kama chama nikusubiri watu wawachangie ndio maana ya CHADEMA .
 
Yameongewa mengi na sasa ni wakati wa matendo.

Wazalendo naona ni vyema tukakisaidia chama hiki.

Basi mwenye nacho kidogo tuanze kuchangia ili kukipa nguvu ya kupambana na kupigania haki.

Katika pita pita kwenye website ya chadema nimekutanana na haya:

Kama hutaweza kufika kwenye ofisi za CHADEMA basi tuma fedha katika akaunti zetu zifuatazo:

Akaunti ya "CHADEMA"

NBC Corporate Branch (Local currency) 011103010075
NBC Samora Branch (Foreign currency) 012105019310

au

Akaunti ya "Freeman A. Mbowe and W.P. Slaa"

NBC Corporate Branch (Local currency) 011101016268
NBC Corporate Branch (Foreign currency) 011105010534

Jambo muhimiu na la lazima ni kwamba ili kufanikisha lengo letu la kuimarisha utawala bora na maendeleo endelevu ya kuridhisha, hatuna budi kudumisha misaada hii. MwanaCHADEMA hakikisha kadi yako unailipia ada ya mwaka, na kama una uwezo changia tawi lako ili CHADEMA kiweze kununua makaratasi na mabango ya uenezi. Wewe mzalendo mwenye uwezo zaidi tupe mchango wa kweli utakaodhihirisha mapenzi yako kwa chama. Kila fedha itakayopokelewa CHADEMA itaambatana na stakabadhi yenye jina la mtoaji au jina la 'kificho' kama mtoaji atapendelea. Tunaelewa na tunaheshimu sababu zao wale wote wasiotaka majina yao yahusishwe na CHADEMA hadharani.

Hivyo ndivyo kuchangia kwa hali na mali. Tunaamini na kudhihirisha kwamba hii ndiyo nguvu ya Umma.

Changia CHADEMA! Changia Maendeleo endelevu!

Asanteni sana

Source🙁http://www.chadema.net/maoni/changia.php)

Huwezi kumtumia mtu hela kama hana daftari la fedha analofunuliwa kila mtu.

Daftari lingekuwepo, Wangwe na Mbowe wasingekuwa wanabishana kwamba kuna malfeasance ya matumizi ya hela.

Anaesema hela hazijaliwa au zimeliwa tungemwambia fungua daftari.

Hawa watu hawana daftari la hesabu hawa.
 
Akaunti ya "CHADEMA"

NBC Corporate Branch (Local currency) 011103010075
NBC Samora Branch (Foreign currency) 012105019310

au

Akaunti ya "Freeman A. Mbowe and W.P. Slaa"

NBC Corporate Branch (Local currency) 011101016268
NBC Corporate Branch (Foreign currency) 011105010534

Jambo muhimiu na la lazima ni kwamba ili kufanikisha lengo letu la kuimarisha utawala bora na maendeleo endelevu ya kuridhisha, hatuna budi kudumisha misaada hii. MwanaCHADEMA hakikisha kadi yako unailipia ada ya mwaka, na kama una uwezo changia tawi lako ili CHADEMA kiweze kununua makaratasi na mabango ya uenezi. Wewe mzalendo mwenye uwezo zaidi tupe mchango wa kweli utakaodhihirisha mapenzi yako kwa chama. Kila fedha itakayopokelewa CHADEMA itaambatana na stakabadhi yenye jina la mtoaji au jina la 'kificho' kama mtoaji atapendelea. Tunaelewa na tunaheshimu sababu zao wale wote wasiotaka majina yao yahusishwe na CHADEMA hadharani.

Hivyo ndivyo kuchangia kwa hali na mali. Tunaamini na kudhihirisha kwamba hii ndiyo nguvu ya Umma.

Changia CHADEMA! Changia Maendeleo endelevu!

Asanteni sana
Personal Accounts zinatumika vipi katika mambo ya chama?
 
Nataja wafanyakazi wa Makao Makuu ya CHADEMA kadiri ninavyowafahamu nikimsahau mwingine najua nitasahihishwa na wengine.

Wakurugenzi/Maafisa waandamizi.
1.Antony Komu.-Mchagga wa Oldmoshi
2.John Mnyika -Msukuma sijui wa wapi.
3.Erasto Tumbo-Msukuma wa KisesaShinyanga.
4.Hemed Sabula -Msukuma sijui wa wapi
5.Benson Kigaila Masalamakali-Wa Dodoma sijui kabila gani.
6.Tundu Lissu-wa Singida sijui kabila gani
7. Mama Naomi-Mbeya
8.Suzan Kiwanga -Morogoro Kilosa sijui kabila gani
9.John Mrema -Mchagga wa Marangu.
10.Victor Kimesera -Mmasai wa Kiteto.
11.Erasto Shija -mwanza msukuma
12.Mama Mary Jumbe-Pwani Bagamoyo sijui kabila gani.
13.David Kafulila -Kigoma Muha.
14.Danda Juju -Iringa sijui kabila gani.
15.Omary Chitanda -Lindi sijui kabila gani.
16.Msafiri Mtemelwa Lipombo Nyamagano bin Musa -Rufiji sijui kabila gani.
17.Suzan Lyimo (MB)-Mchagga oldmoshi.
18.Regia Mtema -Tanga sijui kabila gani.
19.Jorojik Lawi-Manyara sina uhakika na kabila lake.

Wengine wataongeza kama nitakuwa nimewasahau baadhi ya wakurugenzi na maafisa waandamizi wa makao makuu ya CHADEMA.

Sijui hawa wanaoleta hoja ya uchagga wanataka dunia na watanzania waelezwe kitu gani ama wana maana gani .

Hii nchi tutaigawa kama tukiendelea na hii mijadala ya Kikabila kama hii ,swali la kuuliza ni je?wanasifa waliopo ama waliwekwa kiurafiki tuu?

Are they delivering?
Are they capable?
Do they have qualifications?

Mwisho wa kuchangia mjadala huu ni hapa.
 
Hapana mkuu usikimbie hapa ni sehemu ya kuwaonyesha watanzania kua ule unaosemwa ni uvumi kwa vitendo ,kuacha kuchangia huu mjadala hakuna madhara kwa mwanachama wa jf ila chama chenu.

Nivizuri ulivyoitaja orodha lakini ili iwe ya uhakika ilete hiyo orodha yote ki ofsi zaidi ili tuwanige wote wanao sema ukabila CHADEMA.
kuorodhesha hapa hatutoamini maana unaweza chagua na ukaacha utakavyo ni kama vile tu ktk ripoti ile iliyosomwa na Lisu tamko liko vingine na humu mnaandika vingine.

Na hao wabunge 5 iweje wote watoke kili.?? kati ya mikoa 26??. kusema tu hakusaidii ila doc za uhakika za kuprove unayosema.Siumeona JF ilivyopambana na MAFISADI JF wanaleta hoja ya ufisadi na wanaweka hapo mamikataba yote habishi mtu.Unadhani kama ingekua maneno bila vithibitisho wale jamaa wangeachia uwaziri na wengine kujizushia vifo??
Lete list ya wafanyakazi makao makuu kuanzia mfagiaji hadi =>

Haya mambo ya sifa saizi kila sehemu wanasifa hayo yalikua enzi zile
wewe unadhani KIKWETE tuseme akiamua kuweka waislamu kuanzia juu hadi chini tena maprofesa wote yani hadi dreva awe mwislamu lakini aana doctor watu hawatahoji eti kwa vile wana sifa?? Natambua hii si mahala pake lakini ni mfano tu na isichukuliwe kwa namna yoyote ile zaidi ya kuchukulia ni mfano.
 
Nataja wafanyakazi wa Makao Makuu ya CHADEMA kadiri ninavyowafahamu nikimsahau mwingine najua nitasahihishwa na wengine.

Wakurugenzi/Maafisa waandamizi.
1.Antony Komu.-Mchagga wa Oldmoshi
2.John Mnyika -Msukuma sijui wa wapi.
3.Erasto Tumbo-Msukuma wa KisesaShinyanga.
4.Hemed Sabula -Msukuma sijui wa wapi
5.Benson Kigaila Masalamakali-Wa Dodoma sijui kabila gani.
6.Tundu Lissu-wa Singida sijui kabila gani
7. Mama Naomi-Mbeya
8.Suzan Kiwanga -Morogoro Kilosa sijui kabila gani
9.John Mrema -Mchagga wa Marangu.
10.Victor Kimesera -Mmasai wa Kiteto.
11.Erasto Shija -mwanza msukuma
12.Mama Mary Jumbe-Pwani Bagamoyo sijui kabila gani.
13.David Kafulila -Kigoma Muha.
14.Danda Juju -Iringa sijui kabila gani.
15.Omary Chitanda -Lindi sijui kabila gani.
16.Msafiri Mtemelwa Lipombo Nyamagano bin Musa -Rufiji sijui kabila gani.
17.Suzan Lyimo (MB)-Mchagga oldmoshi.
18.Regia Mtema -Tanga sijui kabila gani.
19.Jorojik Lawi-Manyara sina uhakika na kabila lake.

Wengine wataongeza kama nitakuwa nimewasahau baadhi ya wakurugenzi na maafisa waandamizi wa makao makuu ya CHADEMA.

Sijui hawa wanaoleta hoja ya uchagga wanataka dunia na watanzania waelezwe kitu gani ama wana maana gani .

Hii nchi tutaigawa kama tukiendelea na hii mijadala ya Kikabila kama hii ,swali la kuuliza ni je?wanasifa waliopo ama waliwekwa kiurafiki tuu?

Are they delivering?
Are they capable?
Do they have qualifications?

Mwisho wa kuchangia mjadala huu ni hapa
.

Hizi ndizo zinaitwa dataz hapa JF..... Natumaini sasa wale wenye kudai kuwa makao makuu kumejaa wachagga watakuja na majina tofauti. Asante sana MK kwa dataz.

Huu ndio uzuri wa JF, data na hoja nzito zinashinda vioja na udaku.
 
Hapana mkuu usikimbie hapa ni sehemu ya kuwaonyesha watanzania kua ule unaosemwa ni uvumi kwa vitendo ,kuacha kuchangia huu mjadala hakuna madhara kwa mwanachama wa jf ila chama chenu.

Nivizuri ulivyoitaja orodha lakini ili iwe ya uhakika ilete hiyo orodha yote ki ofsi zaidi ili tuwanige wote wanao sema ukabila CHADEMA.
kuorodhesha hapa hatutoamini maana unaweza chagua na ukaacha utakavyo ni kama vile tu ktk ripoti ile iliyosomwa na Lisu tamko liko vingine na humu mnaandika vingine.

Na hao wabunge 5 iweje wote watoke kili.?? kati ya mikoa 26??. kusema tu hakusaidii ila doc za uhakika za kuprove unayosema.Siumeona JF ilivyopambana na MAFISADI JF wanaleta hoja ya ufisadi na wanaweka hapo mamikataba yote habishi mtu.Unadhani kama ingekua maneno bila vithibitisho wale jamaa wangeachia uwaziri na wengine kujizushia vifo??

Kama wewe unayo orodha inayopingana na hii si uiseme tu? ukisikia ubishi kwa ajili ya kubisha ndio huu sasa.
 
the burden of proof iko kwa wale wanaosema kuna ukabila... wauoneshe..!
 
Hizi ndizo zinaitwa dataz hapa JF..... Natumaini sasa wale wenye kudai kuwa makao makuu kumejaa wachagga watakuja na majina tofauti. Asante sana MK kwa dataz.

Huu ndio uzuri wa JF, data na hoja nzito zinashinda vioja na udaku.

Vipi kuhusu hoja ya Chacha:

Wabunge watano kati ya sita wa kuchaguliwa ni wachaga/wapare?
 
Kama wewe unayo orodha inayopingana na hii si uiseme tu? ukisikia ubishi kwa ajili ya kubisha ndio huu sasa.

wewe subiri uje sikia sehemu walipoandika sijui kabila gani ndio utajua ,harafu huoni anaweza kutoka bagamoyo,lindi lakini ni mchaga
wewe waja kweli ndugu yangu

Huoni wabunge wakuteuliwa wanatoka mikoa mingine lakini wachaga .Taratibu mkulu

Mkuu wewe ndio mbishi yawezekana ukabishana hata na RADIO hadi ikazima ,yani vitu vya wazi bado unabisha tuu wabunge 5 kati ya 6 ni KILI lakini wewe bado wabisha tuu
 
wewe subiri uje sikia sehemu walipoandika sijui kabila gani ndio utajua ,harafu huoni anaweza kutoka bagamoyo,lindi lakini ni mchaga
wewe waja kweli ndugu yangu

Huoni wabunge wakuteuliwa wanatoka mikoa mingine lakini wachaga .Taratibu mkulu

wewe mbona unajichanganya? umepewa majina hapo na imeonekana hao watu sio wachaga kwa standard ya mpaka kieleweke. Kama wewe unabisha kuwa hao watu ni wachaga, taja majina ya ambao unasema ni wachaga na sio kuchanganya mambo hapa.
 
Back
Top Bottom